kazi yoyote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali yenye kukidhi mahitaji

    Nichukue nafasi hii kuomba nafasi yoyote ya kazi Kwa mtu ambaye yupo tayari kunisaidia kwa hili namba zangu ni 0676917970 Cheti Cha form 4, 6 na Chuo kikuu ninavyo N:B Kazi yoyote Ile nipo tayari
  3. JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya kazi ya Storekeeper au kazi yoyote na popote anisaidie

    Habari wakuu! Nina ujuzi wa maswala ya store / Warehouse. Niliwahi kuwa stock controller kwenye deport Fulani ya kuuza vinywaji Kwa zaidi ya miaka mitatu. Nilikuwa na deal na operation za pale deport, pia mahesabu ya bidhaa zinazoingia na zinazotoka na kuangalia stock kama ipo kwenye uwiano...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kazi yoyote ya halali. Mimi ni Mhitimu mpya wa Chuo

    Habari, Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA. Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Wasifu wangu; JINSIA; Me UMRI; 24-26 ELIMU; Bachelor of business administration MAKAZI; Dar- kigamboni Naombeni mwenye mchongo wa kazi yoyote halali anisaidie nikakomboe cheti changu chuoni kuna kiasi flani cha ada nadaiwa.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, angalau kipato kuanzia 10k+ per day

    Wakuu, rejea hapo juu. Vyeti vilivyopo JKT & EACCFFC na nina uzoefu wa mda mrefu. Niko tayari kwenda mkoa wowote, ila Dar es Salaam hapana Asanteni
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote nina bachelor of science in chemistry (Mkemia)

    Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu kwa mwenye connection naomb msaada🙏. Update:
  8. JamiiForums Tanzania Muhitimu wa shahada ya sheria natafuta kazi yoyote

    Habari wakubwa mbele yenu ni mdogo wenu fresh graduate wa degree ya sheria Niko mkoa wa Mwanza lakini niko tayari kwenda sehemu yoyote muhitimu wa shahada ya sheria Naomba ajira au nafasi ya internship sehemu yoyote Nina ujuzi wa na ninaweza yafuatayo i/ legal research and writing skills, ii/...
  9. JamiiForums Tanzania Bodaboda ni kazi iliyo na vijana wengi kuliko kazi yoyote nchini

    Hayaa sasa anaye bisha aje na yake anayoona inaizidi bodaboda tumuone.Na ukiwekeza kwenye boda boda ujue unakula faida nyingi sanaa . Shtuka
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote Nina Diploma ya Banking and Finance

    Natafuta kazi yoyote, Nina diploma ya banking and finance, ninaishi Dar es salaam, ni mwanamke.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya education ila nimeahirisha mwaka

    Habari viongozi, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar, Nina ELIMU ya chuo kikuu na nimehairisha MWAKA kutokana na changamoto mbalimbali ila nahitaji kufanya KAZI itakayo nipa kipato ili niweze kukusanya pesa za Kuni somesha ,KAZI YOYOTE ila kikubwa iwe halali, namba 0785598033
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi, nina degree ya IT

    habari za muda huu ndugu zangu, mimi kijana wenu mkazi wa Ubungo, Dar es salaam na muhitimu wa shahada ya habari mawasiliano na biashara (IT with Business) mwaka 2020. Nimejikita zaidi kwenye web application na graphics design. Nilikuwa naomba msaada wenu wa kuniwezesha kupata kazi iwe kazi...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kazi yoyote halali

    Habiri wanaJF, Mimi ni kijana wa kiume umri22, nilihitimu form 6 mwaka jana lakini sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi. LENGO: Tafadhali naombeni mnisaidie kazi yoyote halali kama ni kulima, kuuza duka n.K, niweze kujikwamua. Natanguliza shukrani
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wa kitanzania ,mwenye nia ya kufanya mabadiliko kwa kuleta chachu ya maendeleo kwa kushiriki kulipa kodi na kufanya majukumu mengine kama raia Changamoto yangu ni kama vijana wengine wa kitanzania tuliozqliwa kwenye wimbi la umaskini kukosa hata mitaji ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi yoyote

    .
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Habari wanandugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 niko kwenu hapa kutafuta kazi yoyote ile Kwa mkoa wa Dar es salaam au Kahama.. Uzoefu nlionao driving. Kulinda. Kufuga. Na kazi yoyote ile manual Kwa maelekezo tu. Pia ni graduate wa social protection katika chuo Cha IFM. Niko juu ya mawe...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, huku mtaani sio poa

    Habari zenu wakuu Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu. Mwenye connection za saidi...
  18. JamiiForums Tanzania Nina degree ya IT, natafuta kazi yoyote nipo DSM

    Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam. Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote mkoa wa Tanga

    Ni mhitumu wa chuo, kama kuna Kazi mkoa wa Tanga naomba connection. Weka namba yako hapa au nitumie meseji PM.
  20. JamiiForums Tanzania Paul Makonda hapigi kazi yoyote. Anafanya usanii tu

    Huyu jamaa juzi kapita hapa hometown kwangu, BRD. Ana bahati nilikuwa nimeenda shambani mida aliyoingia na punda wake la sivyo ningemfurusha. https://youtu.be/HuL99sGZsQU?si=XcITaZdUwXk_d3Tp Pulling up in donkey drawn carriages, dump trucks, bodabodas, and whatnots, is not work. It’s...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…