Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na majukumu ya Bunge, mbunge hana mamlaka ya kukusanya kodi, kuidhinisha matumizi ya fedha moja kwa moja, kuajiri watendaji au kutekeleza miradi. Majukumu yake makuu ni:
Kuwakilisha wananchi;
Kutunga sheria;
Kuisimamia na kuishauri Serikali;
Kushiriki kujadili...
Nauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini?
Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni?
Wananchi wanadai Katiba Mpya, Uchaguzi Huru na wa Haki, wanataka waweze kukosoa serikali kwa uhuru bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.