Ilianza kama utani kwenye Bandari za Tanganyika,Mbuga n.k
Leo naona za Nchimbi ,kama ni kweli itoshe sema mstari mwekundu kwa Tanganyika umevukwa , hii ni history chafu kuwa katika tafa hili, Mzee Warioba wenda hali yake sio nzuri kama baba wa Taifa.
Ni wakati sasa Mungu kuamua Ugonvi kama...