Hii ndio dawa yao kwa hawa machawa wa CCM lazima wanyooshwe na ujinga wao
=============
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Tarime, Hamza Kyeibanja, amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya kuzomewa na wananchi ukumbini wakati akitoa tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA...
Kwa mtazamo wangu.
Huyu binti anachoangalia ni pesa anayopata bila kujali njia anayotumia kuzipata.
Asha Rose Migiro miongoni mwa waanzilishi wa Tanzania Gender Network Program (TGNP) akaja baadaye kupata teuzi enzi za Kikwete na hata kufikia kupata nafasi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa...
Nawakilisha kwa Uchungu Mkubwa sana ukiwa ndani ya moyo wangu kutokana na Dhulma tunayofanyiwa na Katibu wa CCM Mufindi bwana Clement Bakuli.
Soko la Sabasaba lilizuka baada ya sisi wahanga tuliounguliwa na moto katika soko la Mandela mwaka 2016 kupewa nafasi tuanzishe soko lingine. Tulianza...
Anonymous
Thread
ccmkatibukatibuwaccm
mufindi
sabasaba
soko
soko la sabasaba
sumbawanga
uovu
wafanyabiashara
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mafia mkoani Pwani, Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Mji Handeni, Mkoa wa Tanga.
Taarifa ya kifo hicho imetolewa na Katibu wa CCM, Wilaya ya Handeni, Mayassa Kimbau leo Jumanne Agosti 26, 2025 kupitia...
Katika kikao cha hivi karibuni cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro, katibu wa mkoa, Mercy, alikabiliwa na hali ya kushangaza na kusikitisha.
Kikao hicho kilikuwa na jukumu la kukutana na kupitisha majina ya wagombea wa udiwani wa kata na viti maalum kwa kata mbalimbali za mkoa huo...
Katibu wa Wilaya ya Ilala CCM akimpigania Mgombea wake dhidi ya Mgombea wa anayekubalika na wengi, ambaye ameonekana kuwa mwiba kwa Mgombea wa Katibu huyo.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mwanamasod Pazi akielezea sababu za matokeo ya Uchaguzi wa Kura za Maoni ya Ubunge ndani ya CCM kuchelewa kutangazwa.
Pia soma ~ Nini kinaendelea majimbo ya CCM Mkoa wa Katavi mbona majibu hayawekwi wazi?
Mchakato wa Upigaji Kura Jimbo la Siha umeanza kuingia doa baada ya kudaiwa kuwa upigaji Kura umekamilika lakini imetokea hali ya kutoelewana kati ya Wasimamizi wa Mchakato na baadhi Mawakala.
Inadaiwa kuwa Katibu wa CCM Wilaya ametoa maelekezo kuwa msafara wa kubeba Kura uondoke bila kufuatwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga.
Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi...
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu amesema uchaguzi mkuu utafanyika kama ulivyopangwa hivyo wanachama wa chama hicho na Watanzania wanatakiwa kujiandaa kuchagua viongozi watakaowaongoza.
Semindu ameyasema hayo kwenye ziara ya kuimarisha chama kwenye Jimbo la...
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Kata ya Mlali Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro Herieth Ngonde amedai kushambuliwa na Diwani wa kata hiyo aliyetambulika kwa Frank Mwananziche kwa kupigwa wakati wa kikao cha siasa kilichokuwa kinajadili maendeleo ya chama hicho
Akizungumza na wanahabari katibu wa...
Kada wa CCM, Godfrey Sitta amedai kuwa Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu, Naboth Manyonyi amenunuliwa na mfanyabiashara mkubwa ambaye amekua akisumbua kwa kugawa hela mchana na usiku na kukigawa Chama na matokeo yake 'tutaingia vita ya sisi kwa sisi' na kuwapa wapinzani nafasi.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Saidi Goha, akiambatana na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM mkoa, ameendesha semina kwa viongozi wa chama na jumuiya zake kuanzia ngazi ya matawi na kata katika Wilaya ya Iringa Vijijini.
Katika mkutano huo, Goha alieleza kufurahishwa na...
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Marry Sule amefariki dunia jana usiku Machi 18, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Huruma.
Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku huohuo zikieleza kuwa Katibu huyo amefariki...
Watu wanne mkoani Rukwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kumuua kwa kumkata kwa panga ndugu yao Mashaka Sichone, mkazi wa kijiji cha Kalepula, wilaya ya Kalambo ambaye alikuwa Katibu wa CCM Tawi la Kalepula. Baada ya kufanya ukatili huo walitenganisha kichwa na kiwiliwili kisha...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam.
Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni...
Naona Polisi lipo na kasi ya 5G kuwakamata watuhumiwa waliofanya makosa kwa viongozi wa CCM ila upande wa vyama vingine uchunguzi unachukua muda mrefu sana.
Kwani kuna siri gani kwenye chunguzi zao?
================
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa Limesema limewakamata Watuhumiwa watatu kufuatia...
Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita kimeonyesha kujiamini kushinda Vijiji na Vitongoji vyote Wilayani Nyang’hwale baada ya Vijiji 39 kukosa wapinzani, huku vyama vya Upinzani vikifanikiwa kusimamisha Wagombea katika vijiji 23 pekee.
Kwa upande wa vitongoji, CCM imepita bila kupingwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.