katibu mkuu wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ex Spy

    PostGE2025 Tume ya Samia: Yumo Balozi Radhia Naima Mtengeti Msuya, mdogo wake Asha-Rose Mtengeti Migiro (Katibu Mkuu wa CCM)

    Balozi Radhia Naima Mtengeti Msuya ni mdogo wa tumbo moja (ndugu wa damu) wa Dkt. Asha-Rose Mtengeti Migiro ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM – Mtendaji Mkuu wa shughuli za chama. Balozi Radhia Naima Mtengeti Msuya ni sehemu ya wajumbe saba wa kinachoitwa “Tume Huru ya kufanya uchunguzi wa matukio...
  2. U

    UMMY MWALIMU umekosea barua yako ilitakiwa ielekezwe kwa katibu mkuu CCM ni mamlaka kinidhamu na mdhaminini wako siyo kwenye mitandao ya kijamii

    Nimesima kwa jicho la tatu na kuona ni kama kushtaki kwa wananchi badala ya kushukuru. Umeandika siyo kwa unyenyekevu au kukubali maamuzi ya kamati kuu na hiyo ni ishara isiyo nzuri Tambua kuwa Mamlaka yako ni katibu mkuu wa CCM na ndiye mdhamini wako mkuu mbele ya wananchi ambao unawashukuru...
  3. S

    GE2025 Asha-Rose Mtengeti Migiro ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Achukua nafasi ya Balozi Nchimbi

    Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa imemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ambaye ni Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho.
  4. Waufukweni

    GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

    Wakuu! Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka." "Lakini hatutapokea...
  5. peno hasegawa

    GE2025 Mchezo mchafu kupitia kamati za Siasa Wilaya na Mkoa, taadhari kwa Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi

    Ufuatiliaji wa Chaguzi za Chama Tunakuomba ufuatilie kwa umakini mkubwa mambo yafuatayo katika chaguzi za Chama, hasa wakati wa kupitishwa wajumbe. Ni muhimu kuzingatia majina matatu ya madiwani ngazi ya kata kwenda ngazi ya wilaya/jimbo na mikoani kwenye vikao vya maamuzi. Hali ya Mchezo...
  6. President of China

    Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Nchimbi, akiwasalimia na kuwapatia pole familia ya Hayati Mzee Cleopa David Msuya

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwasalimia na kuwapatia pole familia, ndugu na jamaa wa Hayati Mzee Cleopa David Msuya, mara baada ya kuweka mchanga na shada la maua kwenye kaburi wakati wa mazishi ya kitaifa ya Hayati Mzee Msuya, ambaye aliwahi...
  7. L

    Ungependekeza nani awe Katibu Mkuu wa CCM baada ya Dkt Nchimbi kuanza majukumu ya Ugombea Mwenza na hatimaye Umakamu wa Rais?

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa kila mmoja wetu anafahamu ya Kuwa Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi Ndiye Mgombea Mwenza Wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Lakini pia Ni ukweli ulio wazi kuwa Balozi Dkt...
  8. Tlaatlaah

    PreGE2025 Huenda ndugu Adam Omar Kimbisa akarithi mikoba ya ukatibu mkuu wa CCM taifa, baada ya Dr. Nchimbi kuteuliwa kua mgombea mwenza wa urais 2025

    Kulingana na hali ya kisiasa nchini, kuna uwezekano kwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa Dodoma Alhaji ADAM OMAR KIMBISA kuteuliwa na kupewa jukumu muhimu la ukatibu mkuu wa ccm taifa, kurithi mikoba ya Dr. Emanuel Nchimbi, ambae alieteuliwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm taifa, kua mgombea mwenza wa...
  9. Cute Wife

    PreGE2025 Dodoma: Yanayojiri Miaka 48 ya Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa CCM

    Wakuu, Leo ndio ile siku ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM baada ya kuona matangazo mengi toka kwa chawa wa mama. Watakuja na kubwa gani leo, wacha tuone. https://www.youtube.com/live/8aNDV9Y2klA?si=CGbtC53BNZ6A5_yt Huyu hapa msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz akiwa anaingia kutumbuiza...
  10. Mganguzi

    PreGE2025 Najiandaa kumburuza katibu mkuu wa CCM mahakamani kwa kuninyima haki yangu ya kikatiba ya kugombea urais 2025 kupitia CCM

    Mimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM ! Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni wangapi wana nia ya kugombea nafasi hiyo ! Sijalizishwa na maamuzi yaliyotolewa hivyo najiandaa...
  11. Poppy Hatonn

    Katibu Mkuu wa CCM amesema CCM itafanya marekebisho ya Katiba yao.

    Ni marekebisho gani hayo.?
  12. K

    Gerald Hando: Ni rahisi kumhoji Katibu Mkuu wa CCM, Emanuel Nchimbi, kuliko Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

    "Kumpata na kumhoji Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emanuel Nchimbi ni rahisi kuliko Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika," Gerald Hando - Mwandishi wa Habari.
  13. G

    Nini kilizingatiwa katika kumteua Amos Makalla kuwa katibu Mwenezi wa CCM?

    Makalla hana :- 1. Hoja na hajui kujenga/kupangua hoja (argumentative ability) 2. Mvuto kwa watu na hawezi kuiteka hadhira anapoongea. 3. Uwezo wa kutangulia mbele ya hoja yake na kuangalia athari za anachotaka kukiongea. Kwasababu hiyo Amos Makalla amekuwa akiongea vitu vidogo sana (petty...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dkt Nchimbi: Tofauti ya Mpina na WanaCCM au Wabunge wengine ni tofauti ipo kwenye Familia yoyote

    Naomba nikiri kwamba Mh. Mbunge ni Mdogo wangu na ni Rafiki yangu pia, amekuwa Mwenyekiti wangu wa UVCCM wa Wilaya ya Meatu wakati nikiwa Mwenyekiti UVCCM Taifa lakini pia wakati nasoma degree ya pili Mzumbe yeye alikuwa anasoma degree yake ya kwanza na hajawahi kuacha kuwa mtatamtata hivi hata...
  15. Waufukweni

    Boniphace Mwabukusi: CHADEMA njia waliyoitumia ni sahihi, hata Katibu Mkuu wa CCM anakubali kuna shida

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilikuwa sahihi kutumia njia ya maandamano kufikisha ujumbe pamoja na kushinikiza serikali pamoja na jeshi la polisi kutoa majibu na kuwajibika juu ya kupotea na...
  16. S

    Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Emmanuel Nchimbi, jitokeze kujibu hoja hizi za Bonifa Jacob alizozitoa kupitia mtandao wa X

    CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina chembe ya uongo...
  17. Roving Journalist

    PreGE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

    https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
  18. Determinantor

    PreGE2025 Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kukimbia mdahalo

    Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kutokushiriki mdahalo huru, huu huenda ukawa mtazamo Wangu binafsi tu. 1. Nchimbi aliona sio vyema kubeba Aibu kama yeye binafsi 2. Huenda haamini Sana kwenye uongo (msisitize "huenda") 3. DHAMBI ya Uongo ni Mbaya na karma yake haiwezi kukuacha huru KAMWE 4...
  19. J

    Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Nchimbi aweka shada la mauwa kwenye kaburi la Shujaa Magufuli, ammwagia Sifa za Utumishi Uliotukuka!

    Ni jambo jema Kanisa Moja Takatifu La Mitume Mlale Unono 🌹🌹 --- Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa kazi kubwa anayoifanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiyo namna sahihi ya...
Back
Top Bottom