katiba

  1. GE2025 CCM, Msiruhusu mtu abadilishe Katiba ya Chama kwa maslahi yake binafsi. Atakuja huyu atafanya hivi, mwishowe itazoeleka na kila mtu

    Msiruhusu mtu abadilishe katiba ya chama kwa maslahi yake binafsi atakuja huyu atafanya hivi mwishoe itazoeleka na kila mtu, Hakikisheni mtu akivunja katiba anapaswa kuomba radhi au kujihuzuru sio anavunja katiba alafu mkisema anaibadilisha ili iendane na makosa yake na sio kuona makosa yake...
  2. CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  3. P

    Wana CCM tutegemee nini marekebisho ya katiba ya chama?

    Kwa ufupi kabisa niseme: Ngoja tuone. Kumbe lolote linawezekana.
  4. Hofu ya Wajumbe kupindua Meza ya Genge la Samia, imewafanya Waitishe Mkutano mitandaoni ili kurekebisha Katiba Imfae Samia na Genge lake !

    Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar. Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni ! Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja. Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe...
  5. W

    Kumbe CCM wanaweza kubadilisha katiba yao tena mtandaoni lakini ya Wananchi aaah!

    Katibu wa CCM, Amos Makala ametangaza leo kuwa CCM wanatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa na utatanguliwa na vikao vya Kamti Kuu Halmashauri Kuu Taifa kupitia njia ya Mtandao. Pia ameeleza kuwa ajenda ya kikao hicho ni Marekebisho ya Katiba ya Chama hicho ila najiuliza kama...
  6. W

    Maliki Marupu amememjibu Dkt Malisa amemwambia akasome Katiba vizuri

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa . Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt...
  7. Angetulia, nahisi angekumbukwa na wengi kwa kutuletea Katiba Mpya na zile 4R zake (kama angetimiza)

    Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana. Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza. Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
  8. D

    Je, wajua kuwa kwa sasa katiba ya CCM inasomwa, kuchambuliwa na kutetewa zaidi na chadema kuliko CCM?!!!

    Kweli siasa ni sayansi, ukiijua michanganyiko yake Wala hupati tabu.......watu wanapiga practicals vizuuuuri na zinaleta majibu mujarabu kabisa. Kwa wiki hizi mbili humu jukwaani ni uchambuzi tu wa katiba na vifungu vyake ya ccm mwanzo mwisho kutoka kwa chadema waliojaa humu. Kuna wazee...
  9. Samia alishasema Katiba ni Kijitabu tu. Msitegemee Jipya toka kwake

    Hayo ni maneno yake muda fulani huko nyuma. Na sasa anafanya kwa vitendo. Anazarau hadi katiba ya CCM anaio ni kakijitabu tu. Iwapo atashinda tena urais, asiapishwe kwa kutumia hako kakijitabu.
  10. Mobutu aliweka kipengele kwenye katiba ya kongo ili aweze kutawala milele

    Naam viongozi wa kiafrika wanafanana kwa hulks zao wanatofautiana vipindi tu. Sikazi watu kuona wanauana kule Congo, Sudan na kwinginepo lakini hakuna chochote wanafanya. Wengine wanajipitisha kuwa wagombea URAIS. Ukiwauliza machawa wanasema ni mwanamke wa shoka wengine wanakimbilia DINI yake...
  11. B

    Majina yasiyopungua matatu vs majina yasiyozidi matatu, huyu alitaka kusemaje? Je Katiba ya chama haikuvunjwa?

    Wapendwa wana jukwaa, ni matumaini yangu mko salama. Lengo la uzi huu ni kutaka kueleweshwa endapo katiba ya chama haikuvunjwa kwa mujibu wa clip fupi hapa chini
  12. N

    Ikiwa CCM ilikiuka katiba yake, Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa imechukua hatua gani?

    Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais. Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani? Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe? Wanaionea chadema hata inapokuwa haina...
  13. GE2025 Haki itendeke CCM nao wanyimwe Ruzuku, Kwa kutofata katiba yao

    Hii nimeipenda sana, na itatumika kama reference siku za mbeleni, sijui Msajili wa vyama atachomoka vipi. Jaji Mtungi amekuwa mwiba mkali kwa kukandamiza CHADEMA, amewafanyia ushetani mkubwa eti katiba yao haikufatwa. Mara paa kimewakuta CCM ambapo ilimpitisha Rais Samia kiharamu bila kufata...
  14. Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru

    Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru. Kuna uvunjifu mkubwa wa katiba ya CCM hasa kipindi hiki ikiwemo mchakato wa wagombeaji kupatikana kinyume cha katiba. kama mtu atavunja katiba ya chama basi atavunja katiba ya nchi hatoweza kuheshimu ni...
  15. Katiba ijayo isiruhusu mwenyekiti/ kiongozi mkuu wa chama cha siasa kuwania nafasi ya uraisi ili kuleta mizania katika uongozi wa Taifa

    Katika muktadha wa uongozi wa Taifa letu la Tanzania, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu namna bora ya kuhakikisha uongozi unaendeshwa kwa misingi ya uwazi, demokrasia, na uwajibikaji. Miongoni mwa hoja zenye uzito mkubwa ni ile ya kutenganisha madaraka ya chama na dola. Nikiwa Mtanzania...
  16. Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?

    Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ? Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui hili halioni ?
  17. Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi

    Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi. Maneno haya nime yatafsiri kutoka kwa pole pole, katika uhalisia mtu anaweza kuwa kiongozi mbaya kutokana na mazingira anayo yaongoza, mfano samia amevunja katiba wazi wazi ya chama...
  18. Tusimwonee Samia, Tusimbeze Polepole - Katiba ya nchi inasemaje? SAMIA HANA KOSA!

    Team! Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani. # Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao...
  19. Waliokusudia kuinajisi Katiba ili Samia asiapishwe kuwa Rais waanza kujitokeza

    Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado..... Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka...
  20. PolePole alipaswa kuisoma na kuielewa Katiba ya CCM IBARA YA 99 (2 na 3)

    Katika Ibara hii ndio unapata ni nini haswa nguvu na mamlaka ya Mkutano mkuu. Tusipotoshe umma kwa kutokusoma vyema katiba ya CCM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…