katiba ya chama

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Dira mbovu ya 2050 ndani ya katiba ya chama kimoja 1977

    Li KATIBA libovu la ccm ndio imetusababishia majanga tulionayo tangu 1992. Tunao maviongozi mengi t kwenye kila idara low IQ failures tablalasa nothing in their heads
  2. Kimbesa11

    GE2025 Katiba ya ACT inatamka wazi sifa za mtu kugombea Urais kuwa awe anamwezi ndani ya chama Sasa sijui huwa hawasomi Katiba yao au ni uzembe tu

    Inakuwaje mnaandika wenyewe Katiba kujipiga kitanzi halafu mnasahau Kama mlijipiga kitanzi au mnaanda Katiba kwa kutumia AI? How comes mtu anasiki 3 ndani ya chama halafu anapata sifa ya kugombea Urais inamaana hakuna kuhoji huko ACT? Halafu wanajifanya wanashituka huku hayo mashart...
  3. Ojuolegbha

    Mzee Baraka Shamte: Wanaosema uteuzi wa Samia haujafuata katiba ya CCM, hawajaisoma

    MZEE BARAKA SHAMTE AUNGURUMA KUHUSU KANUNI NA KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI Mzee Baraka Shante ni Mtoto wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Zanzibar kabla ya Mapinduzi na Kada Mbobezi wa CCM na miongoni mwa waanzilishi wa Afro Shirazi Party Youth League Wing. Baraka Shamte amesema wanaosema uteuzi wa...
  4. Genius Man

    GE2025 Je, kuharakisha uchaguzi haraka hata kwa kuvunja katiba ya nchi na chama kunaweza kuwa na tija yoyote na kuzima mabadiliko nchini

    Je, kuharakisha uchaguzi haraka hata kwa kuvunja katiba ya nchi na chama kunaweza kuwa na tija yoyote na kuzima mabadiliko nchini. Tutazamie nini baada ya kuonekana mgombea wa chama tawala ambaye ni raisi kushutumiwa kuvunja katiba za nchi na chama ili kugombea uraisi tena bila kuangalia alipo...
  5. Genius Man

    Aliyesimamia mkutano wa CCM leo ni yule mvunjifu wa katiba ya chama cha CCM msitegemee majibu ya hapana

    Aliyesimamia mkutano wa CCM leo ni yule mvunjifu wa katiba ya chama cha CCM msitegemee majibu ya hapana kwenye kubadilisha katiba. Kama unakumbuka vizuri alivunja katiba ya chama kwenye kupitishwa kugombea uraisi, hakuomba radhi wala hakukanusha kuivunja, kwasasa CCM ni kama uchaguzi upo tu kwa...
  6. Genius Man

    GE2025 CCM, Msiruhusu mtu abadilishe Katiba ya Chama kwa maslahi yake binafsi. Atakuja huyu atafanya hivi, mwishowe itazoeleka na kila mtu

    Msiruhusu mtu abadilishe katiba ya chama kwa maslahi yake binafsi atakuja huyu atafanya hivi mwishoe itazoeleka na kila mtu, Hakikisheni mtu akivunja katiba anapaswa kuomba radhi au kujihuzuru sio anavunja katiba alafu mkisema anaibadilisha ili iendane na makosa yake na sio kuona makosa yake...
  7. H

    Muda Wa Kubadilisha Katiba Ya Chama Unatosha Ila wa Kubadilisha Katiba Ya Nchi na Sheria za Uchaguzi, Hautoshi

    Matukio yanayoendelea yanazidi kutudhihirishia nchi yetu imejawa na matapeli na watu waongo. Watanzania wamekuwa wakililia katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi kwa miaka mingi, na madai hayo yamepewa nguvu na msimamo wa CHADEMA kutokubali kuingia kwenye uchaguzi wa kihuni, uchaguzi usio haki...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  9. P

    Wana CCM tutegemee nini marekebisho ya katiba ya chama?

    Kwa ufupi kabisa niseme: Ngoja tuone. Kumbe lolote linawezekana.
  10. R

    Mzee Butiku, Warioba na wengine wa busara, taasisi za dini zenye busara , inusuru Tanzania mkiwa hai. Kama inavunjwa katiba ya chama ya nchi itakuwaje

    1. Kama mtu anayetegemewa kugombea urais anavunja katiba ya chama chake, akipewa nchi na kipindi cha mwisho, nawahakikishia ataivunja vipande vipande katiba ya nchi 2. Kama kaita Katiba ya Nchi Kijitabu, kwenye urais wa kupata kwa ngekewa, kipindi cha lala salama itakuwaje? 3. Butiku, Warioba...
  11. B

    Majina yasiyopungua matatu vs majina yasiyozidi matatu, huyu alitaka kusemaje? Je Katiba ya chama haikuvunjwa?

    Wapendwa wana jukwaa, ni matumaini yangu mko salama. Lengo la uzi huu ni kutaka kueleweshwa endapo katiba ya chama haikuvunjwa kwa mujibu wa clip fupi hapa chini
  12. Genius Man

    Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru

    Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru. Kuna uvunjifu mkubwa wa katiba ya CCM hasa kipindi hiki ikiwemo mchakato wa wagombeaji kupatikana kinyume cha katiba. kama mtu atavunja katiba ya chama basi atavunja katiba ya nchi hatoweza kuheshimu ni...
  13. Doctor Mama Amon

    Changamoto ya Uongozi Usiohamasika na Utii wa Misingi ya Katiba ya Nchi na Katiba ya Chama: Wahuni watamzidi nguvu Polepole au atawamudu?

    Na Mwandishi WETU HUMPHREY POLEPOLE anafahamika kwa harakati zake kupambana na watu anaowaita wahuni; akimaanisha watu wasiofuata taratibu katika uongozi. Amewahi kuwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Uenezi, Itikadi na Mafunzo. Huyo ndiye Polepole, ambaye hadi jana mchana – Jumapili ya...
  14. I

    Ushindi wa Lembrus Mchome dhidi ya CHADEMA ni somo kwa waliopuuza katiba ya chama. Tujirekebishe

    Mdogo wetu Lembrus Mchome ni zao halisi la CHADEMA amekulia ndani ya mfumo wa chama hiki, akitumikia nafasi mbalimbali ikiwemo Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro, Katibu wa Mwanga, na Mratibu msaidizi wa Mkoa. Kwa sifa hizi pekee asingefaa kupuuzwa. Kama uongozi ungempa nafasi ya kusikilizwa...
  15. Mwande na Mndewa

    Reform Part 1;Kwa nini tunahitaji mabadiliko kwenye katiba ya Nchi na katiba ya Chama

    Salaam kwako Tundu Lissu uko Gerezani ulipo,Sera yako au yenu Chadema imenifanya nirudie kusoma Mwalimu Julius Nyerere Epilogue of his collective work inayojulikana kama Uhuru na Umoja ili kuweza kujua ama kupata sababu ya Chadema kuja na fikra ya mabadiliko kwenye katiba ama Reformation kwenye...
  16. The Palm Beach

    Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

    https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp ➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi.. ➡Mzee...
  17. milele amina

    Kama CCM imeshindwa kuisimamia katiba ya chama chake, inawezaje kuisimamia katiba ya nchi?

    Utangulizi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na historia ndefu na yenye umuhimu katika siasa za Tanzania. Hata hivyo, kwa miaka ya hivi karibuni, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu ufanisi wa CCM katika kusimamia katiba yake yenyewe. Hali hii inatupa swali muhimu: kama chama hakiwezi...
  18. Genius Man

    Kama CCM imevunja katiba ya chama kwa kumpitisha mgombea wao bila kufuata utaratibu tutegemee kuvunjwa pia kwa katiba ya nchi kwenye uchaguzi mkuu

    Katika uhalisia kupitishwa kwa mgombea uraisi wa chama cha CCM haukuwa wa utaratibu na ulikiuka katiba ya CCM ambapo mgombea alipitishwa tu kwasababu ni raisi hii inapeleka taifa kwenye siasa mbaya sana. Nilisema CCM isipitishe mtu kwasababu ni raisi au ni nani tukifanya hivi tutaharibu siasa...
  19. Wakusoma 12

    Msajili wa vyama vya siasa kwanini CCM hawakufata katiba ya chama chao kumpitisha mgombea Urais?

    NB. JK ameonekana rasimi ni adui wa Demokrasia nchini, aliamia kuchukua mamlaka ya kujimilikisha uenyekiti wa kikao na kutoa pendekezo la udikteta kwa kulazimisha kupitishwa majina ya wagombea Urais bila kufuata utaratibu wa chama. Hii maana yake ni kuwa chama kimekiuka miongozo ya katiba ya...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Kaka yake Tundu Lissu: Atakayechaguliwa CHADEMA arekebishe Katiba ya Chama

    Alute Munghwai, kaka wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza kuwa ni muhimu kurekebisha katiba ya chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani ya chama. Pia, Soma: Sijawahi kumsikia Mbowe akizungumzia Katiba Mpya ya JMT, Nadhani hicho siyo Kipaumbele chake bali ni Kipaumbele Cha Chama...
Back
Top Bottom