katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu: Uchaguzi huu umeisha na sasa tujipange upya na turudi kwenye hoja za msingi ikiwemo Katiba Mpya na Mfumo huru wa uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu amesema katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu 2024 umekishwa kikubwaa watapigania wagombea waliobaki tu lakini huu kifupi umekwisha. Aidha amesema sasa na wanapaswa kujipanga upya na kurudi na hoja za msingi kama Katiba mpya, Mfumo uhuru...
  2. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma baada ya miaka 15 ijayo ndiyo itakayoleta Katiba Mpya Tanzania, na si CCM

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Kudai katiba mpya kwa CCM au wanasiasa ni sawa na kudai uhuru kutoka kwa "mkoloni" kwa sababu ya ubinafsi (egoism). Katiba ndio injini ya nchi yoyote ile duniani. Watanzania ni kama mgonjwa wa akili tu! Ambaye anamini kuwa katiba mpya italetwa na CCM au...
  3. JamiiForums Tanzania Katiba mpya iwe na ukomo wa Kuoa na Kuolewa

    Mmoja wa wachangiaji katika Kongamano la Katiba lilioendeshwa na Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) mwishoni mwa wiki mkoani Katavi amedai: "Kama katiba inatambua umri wa mtu kuoa na kuolewa kwamba miaka 14 kwa miaka 18, basi iwekwe ukomo kwa mtu kuolewa na kuoa kwasababu tumekuwa na taifa...
  4. JamiiForums Tanzania Sitashiriki chaguzi za serkali za mitaa wala serikali kuu mpaka KATIBA mpya yenye maoni yetu itakapothaminiwa.

    Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
  5. JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania ni bora zaidi ya Katiba ya Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla

    Kwa mfano katiba ya Kenya ya 2010 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo. Mbaya zaidi, inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naungana na Dkt. Lwaitama kuhusu Katiba Mpya

    Kwanza niwashukuru wale wate waliotoa mada na waliotoa maoni kwenye Kongamano lililopangwa na TLS. Ahsanteni sana. Kipekee naungana na wazo la Dr. Lwaitama kuwa ni muda muafaka suala la Katiba mpya lianze na wakati wa kuandika katiba hiyo wasijumuishwe Vyama vya Siasa na jukumu hili waachiwe...
  7. JamiiForums Tanzania Hongereni Chadema kwa kufanikisha maandamano, ninaomba mpokee ushauri wangu

    Kupitia maandamano, kwamba tumejifunza hatuna jeshi la polisi lenye uwezo wa kudhibiti watu 5Mil tu walioamua kutafuta haki yao. Ili kufanikisha maandamano ya watu mil 5 tu , ni lazima Chadema mtengeneze main Objective ambayo ndio tatizo kuu la Tanzania na hiyo Objective itamgusa kila...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Nakushauri tangaza kuanza kwa mchakato wa Katiba mpya, itakuletea heshima kubwa baada ya kustaafu

    Heshima yako Dr, Heshima yako ya kutukuka ilianzia kwenye Bunge la katiba, uongozi wako na usimamizi wako wa Bunge hilo ulikubeba katika hiyo nafasi uliyonayo. Ninaiona ikikujengea heshima zaidi kwa kuamua kutoka ndani ya moyo ukikamilisha zoezi hilo. Tangaza kwa maslahi mapana ya Taifa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ili kuweka Shinikizo la Katiba Mpya wananchi wakikatae Chama Tawala kwenye Uchaguzi wa 2024 na 2025

    Ndugu wananchi hususani "Paskali" kumekuwa na juhudi mbali mbali za kukitaka Chama Tawala kuweka mazingira mazuri ya uongozi Kwa kuwa na Katiba Mpya na yenye kuakisi Hilo. Zaidi ya hadithi njoo uongo koleaau kwakuwa wao ndio waneshikulia siri zao na uwazi wa kila moja wetu (mpini Sisi...
  10. JamiiForums Tanzania Binafsi huwa sioni tija ya maandamano ya CHADEMA nadhani ni bora kuandamana kudai katiba mpya

    Huwa tunakosa focus , mabango mengi kila bango lina ujumbe wako ,sasa watawala wafanyie kazi kipi ? Katiba mbovu ndio chanzo cha kila kitu hasa upande wa madaraka ya Rais na muundo wa tume ya uchaguzi . Wateuliwa wa rais ni wengi sana na wote wanafanya ili waendelee kubaki kwenye hizo nafasi...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

    Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji. Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi Katiba mpya wala Demokrasia

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi. Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni lini Katiba ikakoma kuwa kitabu tu?

    Jana wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JWTZ ulitutaka wananchi kulinda na kuheshimu katiba katika kulinda nchi. Kilichonishangaza ni kuwa ni wewe mwenyewe uliwahi kusema katiba ni kitabu tu wakati viongozi wa vyama vya siasa walipokuwa wakijadili umuhimu wa kupata Katiba mpya ili kuendeleza...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya katiba mpya ya kupunguza mamulaka kwa rais

    Katika kuzungumzia mamlaka ambayo yanaweza kutolewa kwa Rais wa Tanzania katika Katiba mpya, inahitajika kufikiria juu ya uwiano kati ya nguvu za kiutawala na uwajibikaji wa serikali. Hapa kuna baadhi ya mawazo kuhusu mamlaka hayo: 1. Kupunguza Mamlaka ya Kuteua: Rais awe na uwezo wa kuteua...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya Katiba Mpya

    Katika mapendekezo ya katiba mpya nchini Tanzania, kuna maeneo kadhaa ambayo watu wengi wanapendekeza yafanyiwe marekebisho. Haya ni baadhi ya mambo muhimu: 1. Mipaka ya Madaraka ya Rais: Pendekezo ni kupunguza nguvu za madaraka ya Rais ili kuwe na uwiano bora wa madaraka kati ya mihimili...
  16. JamiiForums Tanzania Haya maneno ya Rais Mstaafu Kikwete yataishi milele

  17. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu: Tatizo siyo Awadh au Polisi bali Mfumo mzima wa CCM kumiliki Dola, ndio sababu nikiingia madarakani nitaleta Katiba Mpya!

    Huyu Mwamba wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameiva kisiasa na kiuongozi kweli kweli Lisu pamoja na kuvutwavutwa na mapolisi lakini anasema tatizo siyo Awadh bali ni Mfumo mzima Ni kama Yesu aliposema " baba uwasamehe hawajui watendalo" katika yale maneno 7 ya Msalabani kabla Ukombozi...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Harold Sungusia ataka mjadala wa Kitaifa kujadili mkwamo wa Katiba Mpya

    Akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho unaofanyika leo, Alhamisi Agosti 01.2024, jijini Dodoma, Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Wakili Harold Sungusia amesema Katika eneo la utoaji wa elimu kwa umma TLS (Chama cha Mawakili Tanganyika) tumeweza kufanya makongamano...
  19. JamiiForums Tanzania Ni muda sahihi Rais Samia kutupatia Katiba Mpya kwa manufaa mema ya Taifa letu

    So far Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi ya kimaendeleo na ameona hali ya kisiasa nchini(to me, mama Hana deni at all, ameeendeleza miradi na kutuletea maendeleo, Amewajua fake and real kwa nchi yetu, briefly hana cha kupoteza) Naamini mama aliletwa kwa mipango ya Mungu ya kuifanya...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inawezekana tukapata KATIBA MPYA Mizengo Pinda akiwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Pamoja na mapungufu yake mengi, ninachomkubali Mizengo Pinda ni uumini wake kwenye Katiba Mpya. Nilishawahi muangalia akitoa maoni TBC akiwa mjumbe wa kikosi cha kutazama hali ya demokrasia nchini na kusema kweli aliunga mkono suala la Katiba Mpya. Pamoja na mapungufu yake mengi ,ninachomkubali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…