Habari za muda huu wadau
Napenda kuuliza wataalamu wa mambo derby ya jumamosi ipo kwelii?? Simba ambao ni wenyeji hadi muda huu hawajatangaza viingilio halafu promo ni ndogo sio kama miaka yote na timu mgeni yaani yanga wao wapo kimya na hapo ni bado siku tatu,,je derby ipo kwelii au...