karia

Karia is a settlement in Kenya's Central Province. It is part of the Nyeri Town Constituency.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Karia ana power hangover and arrogance. Anajiona yeye ni second to none. Ajitafakari

    Leo nimeona waandishi baadhi wa habari wakimsifia Karia kwa mafanikio yake mbalimbali ya soka ikiwemo timu yetu ya taifa kufuzu AFCON mara nyingi kuliko kipindi chochote kile.Sifa hizi ndio zinamfanya awe na kiburi na kujibu watu bila kuzingatia madhara ya kauli zake. Nashauri ajitafakari saana...
  2. Nakubaliana na Manara: Karia na TFF yake wameonyesha chuki yao Kwa Yanga hadharani

    Nimekuwa nikimpiga mawe Manara hapa jukwaani kutokana na kauli na matendo yake yasiyo na staha, ila Kwa alichokisema Yuko sahihii Karia ana chuki na Yanga na anatumia taasisi zake kuhujumu Yanga hadharani Karia amekaa ushabiki na mapenzi Kwa Simba na kumfanya aache weledi ana aropoke ovyo...
  3. Matamshi ya Karia (kuwa ameibeba sana Yanga) yanatosha kusimamishwa, kuchunguzwa na kushtakiwa BMT, CAF au FIFA

    Rais wa chama cha soka hapa Tanzania (TFF), Wallace Karia siku za karibuni amesikika akitoa matamshi yenye utata kwa kusema kwa kipindi kirefu akiwa Rais wa TFF, yeye na TFF kwa ujumla wake kwa makusudi wamekuwa wakiibeba sana Yanga kwenye ligi kuu ya Tanzania na kwa sasa wamechoka kuendelea na...
  4. Haji Manara nani kakudanganya kuwa Karia kusema Yanga SC "wakaendelee na Sinema zao" ni Kudhalilishwa au wana Filamu nchini / duniani wametukanwa?

    Kwa tuliosoma vyema Lugha na Mbinu za Lugha kwa hakika tumekushangaa sana kwa jinsi Haji Manara ulivyoishupalia hii Kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia aliposema kuwa Yanga SC wakaendelee na Sinema zao kama wamechoka Kucheza Mpira. Na najua wapo wana Yanga SC Wapumbavu nao watakuwa wamekuunga...
  5. Nawaonya Yanga SC msiingie katika Mtego mbaya ambao Haji Manara anataka Kuwaingizeni kwa Chuki zake na Karia na kutafuta Sifa na Uungwaji mkono Wenu

    Kwanza mtambue kuwa Haji Manara hajawahi kuwa mwana Yanga SC kutoka Moyoni bali ni mwana Simba SC lia lia aliye Yanga SC kwasababu tu za Maslahi mapana ya Kiuchumi. Pili alichokifanya Haji Manara ni kutafuta tu Uungwaji mkono wake wa Taasisi yake aliyoizindua kutoka kwa wana Yanga SC na hasa...
  6. Tetesi: Press ya Haji Manara kumshambulia Wallace Karia imelipiwa na uongozi wa yanga..dhahiri makomandoo walitumwa kuizuia simba..kama uongozi utakaa kimya

    Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa..Manara anapata wapi ujasiri wa kuisemaea yanga..Manara ni nani kwenye uongozi wa yanga...Manara ndio mratibu mkubwa wa mambo ya kitoto kwa kisingizio cha utani wa jadi...Manara anasahau kama anadhalilisha watu....juzi kati alimdhalilisha askari...
  7. Rais Karia umetaka mwenyewe kuiona nguvu ya Yanga

    Nimeshangaa Rais wa TFF kuonesha upande wake kuwa yeye anaiunga mkono Simba kwenye uvunjifu wa kanuni Simba walioufanya makusudi na kusababishwa mechi kuvunjwa Inaonekana dhahiri Rais Karia ambaye ni Shabiki wa Simba anatumia mamlaka yake kuhujumu timu ya Yanga wazi wazi Karia ulituhujumu...
  8. Haji Manara amtaka Rais wa Yanga, Eng. Hersi kuitisha Kikao kujadili kauli ya Rais Karia

    Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amezungumzia sakata la mechi ya dabi ya Kariakoo pamoja na kauli ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuhusu ombi la Yanga SC la kutaka Bodi ya Ligi ijiuzulu. Soma: Manara amchana Rais wa TFF, Wallance Karia...
  9. Manara amchana Rais wa TFF, Wallance Karia, adai anakiburi cha madaraka ya kulevya

    Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amemchana Rais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kauli zake kuhusu sakata la Dabi ya Kariakoo (Simba na Yanga) kuahirishwa. Pia, Soma: Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa Video: Bongo5
  10. U

    Karia Akiendelea Hivi, Yanga hatumpi Kura Mama Samia

    Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia. Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga...
  11. P

    Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa?

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace amejibu tuhuma wanazoshushiwa bodi ya Ligi kufuatia uamuzi wa kuahirisha mchezo wa Kariakoo Derby uliopaswa kuchezwa Machi 8, 2025. Akizungumza katika mahojiano na kituo kimoja cha redio, Rais Karia amedai kuwa Bodi iachwe ifanye kazi...
  12. Wallace Karia aula, ashinda ujumbe wa kamati tendaji Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameibuka mshindi wa kiti cha ujumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo unaofanyika leo huko Cairo,Misri. Karia ameshinda kwa kura nyingi za ndio kwa vile...
  13. K

    Wallece Karia Kwa ili ujitafakari

    RAIS WA TFF Wallece Karia ujitafakari...maana najua utakuja jujuuuu Kwa ukali ila ili kulinda heshema Yako ungekaa pembeni maana hautokuwa wa kwanza kujihudhuru...Mfano ni waziri mkuu wa Canada , Waziri mkuu wa Uingereza Johnson Borrison na Rais wa Korea kusini ....walijihudhuru na maisha...
  14. "The Crew" genge la Karia linalozidi kuharibu mpira wa Tanzania

    Ni genge la siri linaloundwa na mashabiki 12 wa timu 3 za mpira, kazi yake ni kuwaorganize mashabiki kuja uwanjani na picha za mwanasiasa fulani. Sasa wameprint picha na ujumbe wa mitano tena kwa mwana siasa huyo. Sidhani kama FIFA wamemtuma karia kuanzisha The Crew. Na yule mchambuzi yuko...
  15. Karia uongozi wa TFF umemshinda huo ndo ukweli

    Kiukweli ukiangalia matukio mengi ya mpira kwa Tanzania chanzo ni uongozi mbovu tunafanya mambo kwa kubembelezana sana hakuna professionalism kabisa Ligi ya series A wanaadhibu timu bila kujali ukubwa juventus walishashushwa daraja na ac milan kukatwa point Mpira wetu ili uendelee tunatakiwa...
  16. Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Wakuu Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa! == Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
  17. Uwanja mmoja uitwe Karia Stadium

    Wakuu kutokana na rekodi kubwa aliyoweka huyu mwamba kutoka Tanga nashauri kwenye vile viwanja vikubwa vya soka vitakavyojengwa basi kimojawapo kiitwe Karia Stadium Chini ya uongozi wake kwa mara ya kwanza nchi yetu itapeleka team 1.Wanaume afcon 2.Wanawake wafcon 3.Vijana under 20 afcon...
  18. D

    leo kuna game ya community shield simba na yanga princess, VAR ya KARIA iko wapi??

    I will be short. tulisema tutaelewana tu with time, juzi tu hapa alisema games za community shield VAR inaweza kutumika. leo kuna game ya community shield VAR iko wapi? incompetence tu. nothing to show for it. karia should change or leave.
  19. D

    Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR

    BUDGET YA VAR BUNGE LIMEPITISHA✅ PESA WAMEPIGA, VAR AMNA , TUTAELEWANA TU NA KARIA
  20. D

    Tulisema Karia must go ukahisi tunazingua, tutaelewana polepole

    Any way, baada ya mechi ya simba na azam fc. na mechi fountain gate kupanga matokeo. Bodi ya ligi imetoa Mkwala, wadau wa club tusiwaseme WAHAMUZI wala viongozi kwa media au social media. In short, kocha wa Azam fc atapigwa fine, kisa kasema WAHAMUZI awako sawa , magoli yote ni offside...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…