Mafanikio haya tunayoyaona Sasa nchini hayatokani na ujanja Wala akili za Karia, bali jitihada za wafanyabiashara walioamua kwenye mpira wetu na Rais wa nchi kupenda michezo.
TFF ya Karia ameonyesha udhaifu mkubwa katika kusimamia kanuni za mpira kwenye usajili wa wachezaji, uhamaji wa...