kanyaga

  1. W

    Jakaya Kikwete: Dkt. Mwigulu umeanza vizuri, kanyaga twende, UDSM tumefurahi na kufarijika

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM) ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Mwigulu Lameck Nchemba kwa kazi anayofanya akieleza kuwa chuo hicho kinajivunia nafasi aliyonayo kwani naye ni mhitimu wa chuo hicho. Dkt...
  2. J

    GE2025 Rais Samia, hii ahadi ya kuondoa tatizo la umeme mpaka lini?

    Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme. Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa na wazungu wanne wakipata vinywaji. Mara umeme ulipokatika walisikika wakisema, " welcome to...
  3. Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!

    Ushatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k. Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa huko hawatumii fuso wala gari la aina yoyote ile bali hutumia fisi. Jaribu kutumia Fisi kama...
  4. Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana

    Watanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko Ilipokuja mwendokasi walipinga Tukaja na bwana la Nyerere walipinga Tukaja na SGR walipinga Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana nchi hii inahitaji kupata maendeleo Prof Mbarawa na Feleshi mkubali mmekosea...
  5. Rais Samia kanyaga twende

    Mama wa Taifa Samia, mambo mengine ni ya kuziba sikio maadamu unajua ni wapi unataka twende. Mzee wako Mwinyi alipotutoa katika kongwa la uchumi wa chungu kimoja akatuletea uchumi huria tulipiga kelele hakuna mfano, najiuliza leo tungelikuwa bado huko tungekuweje,? Mkapa akapokea kijiti na...
  6. Video: Nyati wamkanyaga kanyaga Simba na kumuua

    Nyati si mchazo Duh, ... Hii ni Kruger National Park, AK !
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…