Mwanae janael kanumba kathibisha hilo, kafariki mkoani Shinyanga alikokuwa anapatiwa matibabu
===
Dar es Saalam. Baba wa marehemu Steven Kanumba amefariki dunia leo Jumapili ya March 8,2020 akipata matibabu katika Hospitali ya rufaa mkoa wa shinyanga.
Taarifa za kufariki kwake zimethibitishwa...