kanisa langu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Pastor Nganga: Sitaki mwanasiasa kwenye kanisa langu, siwezi kumruhusu mwizi kuongea

    Mchungaji wa Kanisa la Neno Evangelism Centre, Pastor James Nganga, amewakosoa vikali wanasiasa na kutangaza kuwa hatawaruhusu kuzungumza mbele ya waumini kanisani kwake. Akizungumza wakati wa ibada, Pastor Nganga aliwashutumu baadhi ya wanasiasa kwa kutumia makanisa kama majukwaa ya...
  2. sonofobia

    Naumia sana navyoshuhudia Kanisa langu Katoliki likishambuliwa na mamlaka

    Niwe mukweli roho inaniuma na ninapata hasira sana nikiona Kanisa Katoliki likishambuliwa na mamlaka zetu. Tunaona mapadre wetu wanatekwa na kudhalilishwa. Wanalazimisha watawa kufanya mambo ya kutufedheesha waumini. Kwa nini awamu hii inatunyanyasa sisi wakatoliki kwani kila mtu lazima...
  3. Kitchener

    Lawyers tusaidieni; Kwa hiyo kanisa langu likifungiwa sitakiwi kuabudu kabisa hata nikikodi ukumbi?

    Ni hoja niliyojiuliza, kwamba watu hawatakiwi kuabudu hata sehemu zingine, walau hata kukodi ukumbi ili kujifunza Neno la Mungu bila kwenda maeneo waliyozungushia utepe, kwa hiyo ile haki yao ya kuabudu imesimamishwa hadi kesi itakapoisha hata kama ni miaka 10? ndivyo katiba inavyotaka ilipotoa...
  4. mcTobby

    Wadau napoteza imani sana na imani ya kanisa langu

    Kiukweli muda unavyoenda na mimi napoteza imani sana kwenda kanisani kama ilivyo desturi kumuomba Mungu . Sababu inayonifanya kupuuzia kanisani ni Aina ya mafundisho yanayofundishwa.. throughout mwinjilisti au mchungaji ni kugusia mambo ya pesa mwanzo mwisho.. ni toa ndugu toa ndugu...
Back
Top Bottom