kanisa la kkkt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 KKKT: Tumehuzunishwa na kusikitishwa na matukio yalitokea Oktoba 29 yaliyokosa UTU, HESHIMA na TAMANI ya binadamu

    Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake. Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
  2. a sinner saved by Christ

    Ukimya wa Maaskofu wa Kanisa la KKKT bila kutoa lolote juu ya yanayoendelea nchini?kulikoni?

    Mimi ni MKKKT wa kuzaliwa wazazi wangu wote ni wa KKKT ,nimekuwa mwanachama na kiongozi wa UKWATA nikiwa shule ya msingi sekondari ,advanced sec school na chuo ,hata sasa pia ni kiongozi wa jumuiya za wana KKKT wa mtaani kwangu. Leo katika jumuiya tulikuwa na somo linalohusu RUSHWA NI ADUI WA...
  3. Waufukweni

    Kanisa la KKKT Makete lamzawadia Rais Samia Tuzo ya Amani na Umoja

    Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia. Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na...
  4. MchunguZI

    Migogoro ya msikiti wa Mwembechai na Kwamtoro, na kanisa la KKKT dayosisi ya mlima Meru, Serikali haikufuta usajili

    Mwembechai na Kwamtoro, ni misikiti miwili ambayo ilisababisha machafuko makubwa ktk nchi. Naweza kusema haijawahi kutokea hapo kabla na baada. Lakini Hatukusikia Serikali Ikifuta dini ya kiislamu. KKKT Dayosisi ya mlima Meru ilikuwa na vurugu za kujeruhiana na baadi kukosa makazi, pia...
  5. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia achangia Milioni 150 na wafanyakazi ofisi yake wachangia milioni 100 Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT

    Rais Samia akishiriki Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maluum Kanisa la KKKT Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam, leo tarehe 5 Juni, 2025. =============================== RC Chalamila: "Nikupe pole Rais Samia. Tunaona kwenye mitandao wachache katika Taifa...
  6. C

    Kanisa la KKKT na malasusa wenu, wapentekoste ,kina Mwamposa na wafananao nae,mnaunga mkono huu unyama wa serikali dhidi ya raia?

    Maana wenye makanisa hayo juu hawajaonekana kukerwa na kinacho fanywa, nadhani inabidi mjitafakari dini yenu inaamini katika nini?au mnathamini fedha na mali na sadaka zao tuu kuliko utu wao?
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Gambo achangia milioni 1 na bati 50 Kanisa la KKKT Sinoni

    TEC na Shura ya Maimamu waongeze sauti, huu upuuzi ukome. Hivi madehebu mengine hawaoni aibu wenzao wakiwa mstari wa mbele kupigania haki wao wakibaki kuwa chawa?🤔🤔 ==== Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameahidi kuchangia uboreshaji wa miundombinu katika Kanisa la Kiinjili la...
  8. Political Jurist

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Shemsa Mohamed ashiriki harambee kanisa la KKKT na kuchangia milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  9. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohamed Ashiriki Harambee Kanisa la KKKT na Kuchangia Milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  10. Roving Journalist

    Mwili wa binti Brigette Mbembela (Pude) aliyefariki ajali ya ghorofa Kariakoo waagwa katika Kanisa la KKKT Songwe

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 26 Novemba, 2024 ameshiriki ibada ya mazishi ya Brigette Mbembela (Pude), iliyofanyika katika Kanisa la KKKT dayosisi ya Konde, Usharika wa Tunduma Mkoani Songwe. Soma Pia...
  11. M

    Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume

    Habari Wanajamvi, familia yangu. Tukirudi nyuma kidogo. Yesu alipofariki, Petro alichukua nafasi ya kuliongoza kanisa, yaani Baba wa kanisa. Yesu aliliacha kanisa Katoliki kwenye utaratibu, hakuliacha hewani tu hovyo hovyo, na nafasi ya Petro inachukuliwa na Papa, Papa ni cheo/nafasi...
  12. Determinantor

    kwa Mara ya Kwanza KKKT tumesomewa barua kutoka kwa Askofu ikilaani utekaji

    Maisha yanaenda faster Sana Sana, Leo nimesali usharika WA KKKT hapo Tegeta. Kwenye matangazo tumesomewa barua iliyoandikwa na Mkuu wa Kanisa KKKT Askofu Dr Malasusa akilaani utekaji na Kwamba Hali inazidi kuwa mbaya. Sijafanikiwa kupata nakala yake ila nimeamini usimkatie tamaa MTU, sikuwahi...
  13. J

    Askofu Dkt. Malasusa: Mambo ya Utekaji yafike mwisho nchi inalaanika Damu zinavyomwagika, Dkt. Biteko Wanasiasa kaeni chini msikilizane!

    Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amemuomba Naibu waziri Mkuu Dr Biteko wafanye kila wawezalo kumaliza tatizo la watu kutekwa na Kuuawa Dr Biteko anawakilisha Serikali kwenye mazishi ya Askofu Dr Sendoro wa Mwanga Askofu Dr Malasusa amesema hali ni mbaya ikiwa ni pamoja na Ongezeko la ajali za...
Back
Top Bottom