Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika kanisa la Dar–Ubungo. Sikiliza shuhuda akieleza vitu vilivyoibiwa wakati kanisa hilo lilipokuwa...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amemuagiza Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, kulifungulia Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, ambalo lilikuwa limekumbwa na changamoto za kiuendeshaji.
“Limetokea tukio kubwa hapa, naye ametoa msamaha. Na sasa ametoa...
Maombi ya waumini wa kanisa la Ufufuo na uzima lilichini ya Askofu Gwajima, kama yameanza kujibiwa na Mungu walikuwa wanamlilia tangu kanisa hilo lifungiwe.
===============
Nuru imeanza kuonekana baada ya Leo Septemba 23, 2025 pingamizi lililowekwa na ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima amesema ndani ya siku 10 serikali ifungue Makanisa ya Ufufuo na Uzima, lakini yasipofanyika hivyo atasema neno ambalo watu wote watastaajabu!
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa sababu za kisiasa hiyo ni namba 2 lakini namba moja ni Gwajima kuwa " Msaliti" Kwa chama chake...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya shambulio dhidi ya waumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima. Tukio hilo lilitokea eneo la Ubungo, Dar es Salaam, tarehe 29 Juni 2025, wakati waumini walipokusanyika kwa...
Apostle Mtalemwa Bushiri akiwa kwenye Ibada alikuwa na haya ya kusema kufuatia Kanisa la Askofu Gwajima kufungiwa na Mamlaka.
Soma: Mchungaji Hananja achukizwa na kauli ya Askofu Gwajima kumwita Mbunge wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro"
Akizungumza mbele ya waumini, Bushiri hakuficha hisia...
Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akizungumza na Clouds TV, Juni 18, 2025, amesema;
"Chama cha Mapinduzi CCM hakimzuii mtu kuhoji. Mtu yoyote anaweza kuhoji chochote na hakatazwi yoyote. Mfano Luhaga Mpina anaongea ulishawahi kusikia amekatazwa na mtu kuongea? Hata juzi ameunga...
Mzozo Mkali umeibuka baina ya Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) na jeshi la polisi.
Mzozo huo ni baada ya jeshi la polisi kuwataka waondoke eneo walilokuwa wakiabudia na kutawanyika jambo ambalo waumini hao wamelikataa.
Baaada ya Gwajima kutangaza jana kuwepo ibada Jimbo kuu la Dar es Salaam eneo la Ubungo leo Juni 15, 2025 Tangazo hilo lilifuatwa kwa tukio la Polisi kuzingira Kanisa hilo na waumini kuonekana kufanya ibada mbali na Kanisa baada ya kuiwa na Polisi kufanya ibada ndani ya Kanisa
===
Wakati...
Wakuu!
Kesho Ibada ipo na itaongoza wa na Askofu Gwajima baada ya kutangaza ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwa atakuwepo kwenye Ibada ya Jimbo kuu la Dar es Salaam Jumapili Juni 15 na itaanza saa 4 Asubuhi
Pia, Soma
Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na...
Askofu Maximillian Machumu wa Kanisa la Askofu Gwajima, Glory Of Christ Tanzania Church amesema Jumapili wataendelea na Ibada kama kawaida kwasababu Kanisa lao halijafungiwa
"Nafasi ya kujitetea hatujapewa, kwahiyo tuna-confirm wazi kwamba Kanisa letu halijafungwa na kwasabau hiyo kwa kuwa...
Maaskofu na Wachungaji wanaohudumu kupitia Kanisa la Glory Of Christ Tanzania Church(Ufufuo na Uzima) 'kanisa la Gwajima' wakiingia na kukaa katika chumba cha mahakama hapa katika Mahakama Kuu Tanzania Kanda ya Dodoma kwa ajili ya kufuatilia shauri la kanisa wanalohudumu ambalo limezuiwa kutoa...
Mawakili wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania, Peter Kibatala na Gloria Ulomi wakiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kwenye kesi ya kupinga kufutwa kwa kanisa hilo. Wengine ni viongozi wa dini mbalimbali wakiwemo wa kanisa hilo waliofika kusikiliza shauri hilo.
Msajili wa Jumuiya za...
Mimi nakupenda sana tangia kipindi cha covid 19. Misimamo yako naipenda sana ikiwa unasema ukweli. Siku unahubiri kanisani kuhusu utekaji nilikuwa nakufuatilisa vizuri. Tangia unaingika kanisani nilikufuatilitia vizuri.
Lakini mh Askofu niliingiwa na hofu kuu sana nikajiuliza hiki nini...
Ungekuwa ni askofu wa Kanisa Katoliki, Gwajima ungebanwa wewe binafsi na sio kanisa lako kufungiwa. Lakini kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la askofu Josephat Gwajima, haya yamewezekana kwasababu kanisa lako lina muonekano wa taasisi inayomilikiwa na mtu mmoja (mali ya mtu binafsi). Ndivyo yaliyo...
Kanisa hilo mpaka sasa limezungushiwa utepe wa njano wenye maandishi meusi, likiwa chini ya ulinzi wa polisi na hakuna muumini anayeruhusiwa kusogea, tangu alfajiri ya kuamkia Juni 3, 2025.
Juni 2, 2025, Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta kanisa hilo kutokana na...
Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam:
"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika...
Dar: Polisi wazingira kanisa la Gwajima la Ufufuo na uzima.
Ni taharuki kwa Wakristo Nchini. Je, Nchi inaenda wapi?
Kanisa lina kosa gani? Kama kakosea Gwajima angekamatwa Gwajima. Kanisa la Ufufuo na Uzima lipo Duniani kote
Msajili kakengeuka.
Risasi za moto Kanisani za nini?
Chezea Siasa...
Mara baada ya kusambaa kwa Barua mitandaoni iliyodaiwa kuwa imetoka kwa Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa ikihusu kufungia shughuli za Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la Ufunuo na Uzima), Kiongozi wa Kanisa hilo, Askofu Josephat Gwajima amesema kuna Mtu amefika Kanisani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.