kampeni za urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dennis Robert Shughuru

    Nimesikia YP & YDash shemsa imenikumbusha mwaka 2005 Kikwete anafunga kampeni za urais

    Wakati kikwete anafunga kampeni mwaka 2005 liliangushwa bonge moja ya performance na moja ya watu walioperform ni YP (marehemu) na Ydash na nyimbo yao shemsa ile performance yao sitakaa niisahau ilikuwa nzuri sana Na ukizingatia TMK ndo walikuwa katika peak yao na style ya mapanga na kauli yao...
  2. W

    GE2025 Salum Mwalimu wa CHAUMMA, atinga Tanga asema asipimwe kwa umri wake, mwaka huu ni wa masela kwenda Ikulu

    Mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Salum Mwalimu, ameanza ziara yake mkoani Tanga kwa ajili ya kuomba ridhaa ya wananchi kumpa nafasi ya kuongoza taifa katika uchaguzi mkuu ujao. Akiwahutubia wananchi katika mikutano wa hadhara...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Luhaga Mpina Kuzindua Kampeni za Urais Saa 6:01 Usiku wa Agosti 28

    Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema atazindua rasmi kampeni zake mara tu baada ya saa sita na dakika moja usiku wa tarehe 28 mwezi huu, muda ambao umetangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa ndio mwanzo rasmi wa kampeni. Akizungumza na wananchi wa Mwandoya, Jimbo la...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa Wamachinga Tanzania: Wafanyabiashara wadogo tuko pamoja na Samia 2025. Tuko tayari kwa lolote

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye hafla ya utoaji wa tuzo za walipa kodi Makamu Mwenyekiti wa Wamaching Tanzania amedokeza kuwa kwa niaba ya wafanyabiashara wadogo wanamuunga mkono Rais Samia kwenye Uchaguzi wa 2025.
  5. econonist

    Kampeni za urais USA zimetumia Shilingi Trillioni 39.7

    Kampeni za urais nchini marekani zimetumia kiasi Cha Dollar Bilioni 15.9 ambazo ni sawa na shilingi Trillioni 39.7 za kitanzania. Kwa maana nyingine ni kwamba pesa zilizotumika kwenye kampeni za urais ni nyingi kiasi Cha kukaribia Bajeti ya mwaka ya Tanzania. Kwakweli Marekani ipo mbali Sana...
  6. Mkalukungone Mwamba

    SI KWELI PreGE2025 Tundu Lissu afungua akaunti rasmi yenye jina la 'Tundu Lissu 2025' kwa ajili ya Kampeni za Urais

    Wakuu, joto la Uchaguzi mkuu limeanza kupamba moto. Tundu Lissu amefungua akaunti rasmi yenye jina la 'Tundu Lissu 2025' kwa ajili ya Kampeni za Urais. Naona yupo tayari kukabiliana na Samia kwenye uchaguzi mkuu.
  7. Mystery

    PreGE2025 Wakati CCM ishaanza kampeni za Urais wa uchaguzi Mkuu wa mwakani, je upinzani unangoja Nini kumtangaza mgombea wake?

    Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini Kwa sasa, ni dhahiri kuwa CCM ishaanza rasmi kumnadi mgombea wake wa Urais wa mwakani, ambaye ni Samia Suluhu Hassan. Tumeshuhudia katika ziara alizofanya majuzi kwa madai kuwa ni ziara za kiserikali katika mikoa ya Rukwa na Morogoro, ambapo ziara hizo bila...
  8. Cute Wife

    PreGE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

    Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli? Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ndio...
Back
Top Bottom