kampeni act wazalendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Nondo: Kumekuwa na mfululizo wa Matukio ya utekaji lakini serikali na bunge ipo kimya, hakuna uchunguzi

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Taifa, ambaye pia ni Meneja wa Kampeni wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Abdul Nondo, amesema miaka mitano iliyopita ya uongozi nchini imeshuhudia ongezeko la matukio ya utekaji watu bila hatua madhubuti kuchukuliwa, huku...
  2. R

    GE2025 Dorothy Semu: Ndani ya siku 100 ACT-Wazalendo itahakikisha inaunda Tume ya Kijaji kuchunguza nani anahusika na Matukio ya Utekaji

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu kuwa chama hicho kikipata ridhaa ya kuongoza nchi kitahakikisha ndani ya siku 100 kinaunda tume ya kijaji ili itoe majibu ya matukio ya nani wanaohusika kupoteza na kuteka watu nchini Ametoa kauli hiyo Oktoba 12, 2025 akiwa Kata ya Pasua na...
  3. R

    GE2025 Frank Ruhasha: Ukiwa CCM hauwezi kupigania wananchi, Magufuli hakuwaogopa ACT wala CHADEMA ni CCM wenzake

    Mgombea ubunge wa jimbo la Buhigwe, Frank Ruhasha alipokuwa anazungumza na wananchi wa Kata ya Buhigwe - Bweranka, alisema: "Hauwezi ukawa mbunge wa ccm alafu upambane na matatizo yanayoletwa na CCM, wapo wana ccm waliotaka kushughulika na wana CCM wenzao wakawekewa vikwazo. Magufuli alipokuwa...
  4. R

    GE2025 Martha Mturano: Wabunge wa CCM huwa wana roho za kishetani, Ndalichako licha ya kuwa Waziri hakuna alichofanya Kasulu

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kasulu Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Martina Mturano, amejinadi mbele ya wananchi wakati wa ziara za kampeni zilizoongozwa na aliyekuwa Kiongozi wa Chama hicho, zilizofanyika katika eneo la Stendi Mpya, Kasulu Mjini mkoani Kigoma, Oktoba 8, 2025 Mturano...
  5. R

    GE2025 Zitto: Tukishinda Mahakamani tutapiga jalamba nchi nzima na Tutaitoa CCM Madarakani

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama hicho kitafanya kampeni katika kila kona ya nchi endapo Mahakama Kuu itatoa maamuzi yatakayoruhusu Luhaga Mpina kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho Akizungumza Oktoba 6, 2025 katika mkutano wa...
  6. R

    GE2025 Zitto: Wananchi Mnaweza kuiondoa CCM Madarakani

    CCM inang'ang'ania madarakani, haitaki kutoka jumlajumla, nyinyi wananchi mnaweza kuiondoa CCM rejareja kwa kuanza na wabunge. Geuzeni uchaguzi huu kuwa ni kura ya maoni, kura ya kutokuwa na imani na CCM kwa kuwachagua wabunge wa ACT Wazalendo, na kule kwenye udiwani madiwani wa ACT Wazalendo"...
  7. R

    GE2025 Zitto: CCM Watueleze wamefanya nini Miaka Mitano

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amehoji utendaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, akieleza kuwa yeye tayari ameonesha dira (vision) yake kwa Ujiji na kueleza mambo ya msingi yanayopaswa kufanyika ili mji...
  8. R

    GE2025 Zitto: ACT ndiyo imeshikilia Ufunguo wa Maendeleo

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kuibua upya Barabara ya Msimba-Ujiji ili kuwaondolea wananchi wa Kata ya Businde changamoto ya kushindwa kufanya safari zao Zitto ameyasema hayo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Businde...
  9. R

    GE2025 Nondo: Kigoma hatupeleki wagonga meza (Baba Levo), Tunapeleka Wapambanaji (Zitto)

    Abdul Nondo, Meneja wa Kampeni wa Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, amecheza sauti za zamani za msanii Baba Levo mbele ya wananchi wa Kata ya Bangwe, zikionesha kauli zake za kumsifia Zitto Kabwe Akizungumza na wakazi hao, Nondo amesema “Zitto amekuwa sauti ya...
  10. McLaren

    GE2025 Salim Bimani: Wagombea wetu wote ACT ni halali. CCM mkome kuwafuata fuata

    Salim Bimani amewataka viongozi wa CCM waache kuwafuatafuata wanachama wa ACT WAZALENDO na kuwarubuni kwa pesa kwani wanachama hao hawawezi tena kudanganywa na kurubuniwa kwa pesa.
Back
Top Bottom