Watu na Washauri wa Samia nini msichoelewa na kuona
Jeshi limesema sasa kwa njia za Kiraia, haliko tayari kufanya kazi na Samia.
Msione Aibu, Rais hana nguvu bila kuungwa mkono na Jeshi, simple and clear.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dar es Salaam, leo Jumanne tarehe 21 , Okt 2025.
CCM ni taasisi kubwa yenye uzoefu mkubwa na ukomavu kisiasa hivyo huendesha mambo yake kisayansi. Wahusika wajirekebishe madhaifu yao waache kulalamika na wajiandae kuwaunga mkono wenzao waliteuliwa.
Kama kichwa cha habari kisemavyo, hata kama wewe una IQ ndogo utajiuliza. CCM ndio chama tawala tangu uhuru, bila shaka kwa namna wanavyowapiga rungu wapinzani, ni wazi kuwa wabunge walioteuliwa na watawala ndio watarudi bungeni kwa wingi. Moja ya kazi ya mbunge ni kuisimamia na kuihoji...
Mkutano Mkuu wa ccm uliofanyika kwa njia ya mtandao,umeibua maswali mengi kuhusu uhalali na uwazi wa mchakato huu. Mwanachama mmoja wa CCM, ambaye alijitokeza kuwania ubunge, amekataliwa kupitishwa na kamati ya siasa ya wilaya na kamati ya siasa ya mkoa.
Hali hii imechochea mjadala mpana, hasa...
Awamu hii ya sasa watasema haikuwa awamu yake,
Muhula wa kwanza 2025 - 2030
Muhula wa pili 2030 - 2035
Kuna wa kupinga Kamati kuu ya Ccm ? NO, HAKUNA !!
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, leo Jumatatu tarehe 26, Mei 2025.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika...
ccmccm taifa
dodoma
halmashauri kuu
halmashauri kuuyaccmkamatikamatikuukamatikuuyaccm
kikao
kuu
maalum
mheshimiwa
mkutano mkuu
mwenyekiti
mwenyekiti wa ccm
rais samia
samia
taifa
Mchezo huu muhimu baina ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa nilivyo pendekeza kwa kuanzia, uchezwe uwanja wa Benjamin Mkapa mchana, na kiingilio kiwe ni bure kabisaa ...
Na kwakua itakuwa kama Bonanza la Kidemokrasia Nchini (BKN) na ufunguzi wa mwaka wa uchaguzi mkuu, mchezo wa CCM na...
DKT. MWINYI ASHIRIKI KAMATI KUU YA CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichokutana Jijini Dar es Salaam leo...
Ndugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, ataongoza vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa Tarehe 29 na 30...
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.
Pia soma...
Wana Bodi,
Salaam, naomba kufahamu msimamo au Kauli au Tamko la Kamati Kuu ya CCM kuhusu mgogoro unaoendelea wa bandari, tunakumbuka mgogoro wa ufisadi mkubwa zaidi ya Trilioni 30 uliobanishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya mwaka 2021-2022 Kamati Kuu ya CCM Taifa...
Kuna mjadala mpana nimeukuta mahali kuhusu mgawanyo wa nafasi za Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama umezingatia umoja wa kitaifa bila ubaguzi wa dini, jinsia, kanda na makabila.
Kwa upande wa CCM...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali, akiambatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, ameondoka Zanzibar kuelekea Dodoma kuhudhuria vikao vya kawaida vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa vya...
Alianza kwa kasi Sana na tuhuma za ugaidi Hadi nchi yetu ikaanza kujulikana kwa tishio la ugaidi kwa mataifa ya nje, na kesi akamfungulia mtuhumiwa Mwisho wa siku kesi ikayeyuka na mtuhumiwa hatari wa ugaidi KILA siku anakaribishwa ikulu Sasa unajiuliza Mbowe aliyekuwa Gaidi Ndio huyu wa...
Kwanza niseme nilikuwa sijui kama Makongoro alikuwepo katika CC ya ÇCM. Hawa CC wengi siwafafahamu, hata sasa naweza kumtaja tu Kinana na Wassira.
Lakini kumuondoa Makongoro kutoka CC ya ÇCM ni kama kumuondoa Rahul Gandhi kwenye CC ya Chama Cha Congress.
Nashangaa kabisa kwamba Makongoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.