kamati kuu ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Kamati kuu CCM yaja na matamko ya dharau

    Hawa watu wametuzoea Watanganyika yaani hawajutii Kwa mauaji waliofanya Wanashindwa kutoa hata kutoa pole
  2. Msanii

    Tetesi: Kamati Kuu CCM kukutana usiku huu. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta

    Baada ya TAMKO la Capt. C. J. Tesha kuwa amemuandikia CDF Jeshi lichukue nchi kabla mambo kuharibika. Tumeona pia Kaimu msemaji wa JWTZ akiongea kwa CODEX kuhusu tamko hilo. Zipo taarifa kutoka ndani ya mzunguko, CCM Taifa imeitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu usiku huu tarehe 04 Oktoba...
  3. W

    GE2025 Wengine wasahaulika Mchujo Kamati Kuu CCM.

    NYONGEZA YA MAJINA YA WATIA NIA WALIOTEULIWA Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotajwa katika taarifa hii, waliteuliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025. Majina yao yalisahauliwa kutangazwa katika orodha iliyotolewa mapema...
  4. W

    GE2025 Waliotimkia CCM kutoka CHADEMA 'kundi la wabunge 19' wametoboa mchujo wa kamati kuu CCM

    Wabunge wa Viti Maalum 13 kutoka 'Kundi la Wabunge 19' waliofukuzwa CHADEMA mwaka 2020 ambao walitangaza kujitosa CCM na kuomba nafasi za kuteuliwa ubunge na ubunge wa viti maalum katika uchaguzi mkuu 2025 wamepitishwa kwenye mchujo uliofanywa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa...
  5. Waufukweni

    GE2025 VIDEO: Kamati Kuu CCM yamaliza kikao saa 5 usiku, yapitia na kuchuja mapendekezo ya majina ya Wagombea

    Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025, Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakitoka kikaoni, baada ya kikao hicho kumalizika usiku huu. Fuatilia...
  6. Mindyou

    GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

    Wakuu, Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo. Ngoja tuone kitachojiri ========= Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa...
  7. Valencia_UPV

    Kamati Kuu CCM wapitisheni Wabunge wanaomaliza muda wao ili kuendeleza 4R

    Wabunge wanaomaliza muda wao. Walipambania Chama Enzi za DP World. Tuwarudishe Bungeni kuendeleza 4R OktobaTUNATIKI Mshana Jr Lucas Mwashambwa Mpwayungu Village
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Mjumbe Kamati Kuu CCM, Namelok Sokoine: Rais Samia anatukanwa kwenye Vyombo vya Habari, Vijana tumeacha Mama azalilishwe, tumeshindwa kujibu?

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Namelok Sokoine, amewataka viongozi na wanachama wa CCM mkoani Arusha kuwa mstari wa mbele kujibu kwa hoja maudhui ya kejeli dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Namelok amesema hayo Juni 14, 2025...
  9. W

    PreGE2025 Mjumbe wa kamati kuu CCM, Salim Asas asimikwa kimila kwa kumvalisha vazi maalum la kichifu Iringa

    Huenda yakawa maandalizi ya kujitosa kwenye ubunge nini? === Wazee wa mila wa Kabila la Wahehe mkoani Iringa, wakiongozwa na Chifu wa Kihehe, Adam Abdul Sapi Mkwawa, wamemsimika kimila Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (MCC), Salim Abri Asas, kwa kumvisha vazi maalum la kichifu na kumkabidhi jina la...
  10. upupu255

    PreGE2025 Mjumbe Kamati Kuu CCM, Mamuya: Hakuna anayeweza kushindana na Dkt. Samia

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Halima Mamuya amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa na mpinzani katika uchaguzi mkuu wa 2025 kwa sababu licha ya kwamba ni Rais lakini pia ni Mama mlezi wa Taifa. Amesema...
  11. Mindyou

    PreGE2025 Mjumbe Kamati Kuu CCM: CHADEMA waendelee na "No Reform No Election", sisi tunaendelea kujenga nchi

    Wakuu, Mjumbe wa Kamati kuu ya Taifa CCM, Charles Mwakipesile amesema kauli ya Chadema ya "No reform no Election" ni kauli ya kisiasa na kauli hiyo hawawezi kuipa nguvu kwani wao ni Chama kinachofata Katiba.
  12. F

    Tetesi: January Makamba kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

    Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia. Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka. Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za...
  13. Mindyou

    PreGE2025 Arusha: Wajumbe wa CCM wamkataa Katibu wa chama hicho kwenye Wilaya ya Monduli kisa kupanga safu ya watakaogombea Ubunge 2025

    Wakuu, Baadhi ya Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wameungana kumkataa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Rukia Omary kwa kile walichokidai kuwa kiongozi huyo amekua akikiuka kanuni za chama ikiwemo uchonganishi wa Viongozi pamoja na upangaji safu ya...
  14. milele amina

    Sasa Demokrasia imekomaa Tanzania: Tangazo la Uchaguzi wa Mrithi wa Kinana!

    Tangazo la Uchaguzi wa Mrithi wa Kinana Tunaeleza kwa furaha kuwa mchakato wa kutafuta mrithi wa Kinana utaanza rasmi mwezi Januari 2025. Huu ni mchakato muhimu kwa chama chetu, na tunawahimiza wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao wana uwezo, nia, na sababu za kugombea nafasi hii...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Marium Mamuya: Ushindi wa serikali za mitaa CCM tumeutolea jasho

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa CCM na mlezi wa chama hicho mkoa wa Njombe, Marium Mamuya amesema ushindi mkubwa walioupata wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024 haukuwa rahisi na unaashiria ugumu utakaopatikana kwenye Uchaguzi Mkuu hapo mwakani...
  16. J

    Tetesi: Mpina atapata adhabu kali kwa sababu hili ni Bunge la Chama kimoja

    Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali. Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu. Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge...
  17. Lexus SUV

    PreGE2025 Watanzania tuombe Rais ajae awe na kaliba ya utunzaji wa rasilimali za taifa

    Tukiendelea kulaumu mikataba ya ki chief Mangungo wa Musovero hatuwezi saidia kitu. Dawa ya yote hata ni Halmashauri Kuu kumtafuta mtu mwenye sifa moja tuuu ya utunzaji wa rasilimali za taifa. Huyu 2025 mwaka uwe wa mwisho. La msingi ni kuomba tu Halmashauri Kuu ya CCM (maana tunajua ni lazima...
Back
Top Bottom