kamanda muliro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tucker carlson

    Kamanda Muliro: Kuhusu stori za Mafwele naona kama riwaya za kusadikika za Shabaan Robert

    Wakati kukiwa na sintofahamu ya ukweli wa alipo Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (ZCO), Faustine Mafwele na kile kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii, Kamanda wa kanda hiyo, Jumanne Muliro ametoa kauli. Hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii, watu...
  2. DuaZaMama

    PostGE2025 Kamanda Muliro : Tusishabikie vurugu, Nchi hii ni yetu. Vurugu zina gharama

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na kwamba kwa pamoja tusisabikie vurugu zitakazopelekea kuharibu nchi Akizungumza kwenye mkutano wa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Gen Z wakabidhi barua rasmi ya notisi ya maandamano ya Desemba 9 kwa Kamanda Muliro

    Gen Z wapo fire wameamua kupeleka barua rasmi kwa kamanda Muliro, ili waakae wajuwe kwamba kuna tukio kubwa sana hiyo 9 Dec ================ Kizazi cha vijana wa Kitanzania kinachojulikana kama Gen Z kimethibitisha kukabidhi barua rasmi ya notisi ya maandamano wanayokusudia kuyafanya tarehe 9...
  4. BICHWA KOMWE -

    Kwanini Kamanda Muliro hakwenda kuzuia maandamano?

    Ni jambo la ajabu sana, mali zinaharibiwa kwenye maandamano kwa kiasi kile halafu hakuna wa kuzuia mpaka baadae sana. Muliro ni aina ya watu wanaomuangusha sana Kipenzi chetu mama Samia, analipwa mshahara mnono bila uwajibikaji unaostahili. Unaambiwa siku ya maandamano October 29 waandamanaji...
  5. M

    (Kumbukizi) - Kamanda Muliro: Kwa jeshi hili, sidhani kama yupo anayependa kufa

    Aliyazungumza hayo Agosti 20 katika Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  6. Muuza madafu wa Ikulu

    Wapi alipo kamanda Muliro

    Amepotelea wapi huyu? Nasikia vijana wa Dar mlikuwa na jambo lenu pale nyumbani kwake. Je ni kweli? Niwapongeze kwa kwenda msalimia na kunywa chai nyumbani kwake. Alafu nasikia anakaribia kustaafu huyu. Kama yule hai, tutamalizana naye mtaani baada ya kustaafu kwake.
  7. Mhaya

    Nchi Ikafanikiwa Kufanyiwa Mageuzi, Kamanda Muliro Afukuzwe Kazi

    Huyu mwamba anayeitwa Muliro Ukimsikiliza vizuri na kama yeye haoni shida kuhusu utekaji. Maswali yote anayoulizwa kuhusu utekaji anachukulia kama ni mzaha tu, na ni kama anatumia cheo chake kuficha uovu wa polisi wenzake na viongozi watawala. Hajawahi kufanya kazi ambayo raia wakaisifia...
  8. Mafyangula

    Kamanda Muliro: Polisi, ni rahisi kwao kumtambua mhalifu kabla au baada ya kufanya uhalifu

    Kamanda Muliro basi kwa elimu hiyo itumie kuwakamata hao watekaji wanaendelea kututesa waTanzania ================== Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kutokana na mafunzo wanayopitia polisi, ni rahisi kwao kumtambua mhalifu kabla au baada ya kufanya uhalifu...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kamanda Muliro: Jeshi la polisi limejipanga kuhakikisha wananchi wanatimiza haki yao ya kupiga kura bila hofu na vitisho

    Vitisho vinaendelea ============== Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro, ametoa onyo kwa watu wanaotoa matamko na vitisho kwa wananchi kuhusu kwenda kupiga kura na kwamba limejipanga kuhakikisha wananchi wanatimiza haki yao hiyo ya kikatiba kikamilifu...
  10. DuaZaMama

    Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha. Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo...
  11. Waufukweni

    Kamanda Muliro: Watatu wakamatwa kwa kuharibu Mabasi ya Mwendokasi, wengine wasakwa katika fujo Magomeni

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Muliro Jumanne, amesema mbali na Mabasi ya Mwendokasi na Vituo vinne vya Mabasi hayo kupigwa mawe usiku wa jana, baadhi ya Wananchi hao walifanya fujo katika Vituo viwili vya Polisi ambavyo ni Kituo cha Polisi Magomeni Usalama na Kituo cha Polisi...
  12. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Jeshi la Polisi: Tumewadhibiti wafuasi wa CHADEMA walioleta fujo Mahakama Kuu Dar es salaam

    Polisi naona wanajidai wenyewe kwamba wamewadhibiti. Ila hawa jamaa Tarehe 15 Septemba, 2025 majira ya asubuhi eneo Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati mashauri mbalimbali yakiendelea, lilijitokeza kundi la Wanachama wa CHADEMA baada ya ukumbi uliokuwa unatumiwa kwenye kesi ya Tundu...
  13. McLaren

    GE2025 Kamanda Muliro: Hakuna chama kinachotaka kichafuke kwenye shughuli ya mchakato wa Uchaguzi

    Wakuu, Akizungumza kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro amesema kwamba watahakikisha Uchaguzi utafanyika kwa amani na vifaa vya Uchaguzi vitalindwa
  14. McLaren

    GE2025 Kamanda Muliro: Jukumu la Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu. Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na ushahidi wa kwenda kutihibitisha

    Wakuu, Akiwa anaongea leo kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge Madiwani 2025 Kamanda Muliro amesema kuwa kazi ya Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu na machafuko na sio kusubiri yakishatokea ndio wafanyie kazi Amesema "Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na...
  15. McLaren

    GE2025 Kamanda Muliro: Nina uhakika kwa Jeshi hili, sidhani kama yupo anaependa kufa!

    Wakuu Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii: "Nina hakika kwa Jeshi hili sidhani kama yupo anaependa kufa"
  16. JanguKamaJangu

    GE2025 Kamanda Muliro: Tutasindikiza masanduku ya kura. Kuna watu wanajifanya mahayawani kwamba wanaenda kuyateka. Ukijaribu, tutashughulika na wewe!

    Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesisitiza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kuhakikisha Uchaguzi wa 2025 unafanyika kwa amani, haki na utulivu, amesema hayo wakati akizungumza kwenye mdahalo kuhusu amani na demokrasia kwenye Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam...
  17. Manyanza

    GE2025 Hivi Kamanda Muliro anadhani Uchaguzi ni kutangaza tarehe na kugawa maboksi tu?

    CCM na vyombo vya dora vina maigizo 🤣🤣🤣 Haya sasa, Kamanda Muliro yupo live anatufundisha Katiba ya CCM badala ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Eti CHADEMA kuzuia uchaguzi ni kinyume cha Katiba, lakini kuvunja Katiba kwa kuficha Daftari la Wapiga Kura, kutoanzisha Tume Huru, na...
  18. McLaren

    GE2025 Kamanda Muliro: Haiwezekani kwa CHADEMA kutekeleza agenda yao ya “No Reforms No Election”

    Wakuu, Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba https://www.youtube.com/watch?v=caUT4k_qHjs
  19. DuaZaMama

    Kamanda Muliro atinga Kanisani Kwa Gwajima Ubungo

    Kamanda Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Muliro Jumanne Muliro akiwa nje ya kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church). Pia, Soma Askari Polisi waweka ulinzi mkali Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo, Dar es Salaam Source: Jambo Tv
  20. figganigga

    Kama kamanda Muliro leo hataongelea njia Watekaji wanazotumia kuteka watu, bora akae kimya

    Salaam, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dsm Muliro J. Muliro Leo tarehe 05 May 2025, ataongea na waandishi wa habari. Kama hatongelea utekaji nashauri akae kimya tu. Ndugu zetu wanapotea. Polisi wamevunja Miguu wananchi wa Tanzania. Je, Utawala wa Sheria Tanzania umeishia wapi...
Back
Top Bottom