kamala harris

Kamala Devi Harris ( (listen) KAH-mə-lə DAY-vee; born October 20, 1964) is an American politician and attorney who is the 49th and current vice president of the United States. She is the first female vice president and the highest-ranking female official in U.S. history, as well as the first African American and first Asian American vice president.A member of the Democratic Party, she served as a United States senator from California from 2017 to 2021, and as the attorney general of California from 2011 to 2017. Harris became vice president upon inauguration in January 2021 alongside President Joe Biden, having defeated the incumbent president, Donald Trump, and vice president, Mike Pence, in the 2020 election.
Born in Oakland, California, Harris graduated from Howard University and the University of California, Hastings College of the Law. She began her career in the Alameda County District Attorney's Office, before being recruited to the San Francisco District Attorney's Office and later the City Attorney of San Francisco's office. In 2003, she was elected district attorney of San Francisco. She was elected Attorney General of California in 2010 and re-elected in 2014. Harris served as the junior United States senator from California from 2017 to 2021. Harris defeated Loretta Sanchez in the 2016 Senate election to become the second African American woman and the first South Asian American to serve in the United States Senate. As a senator, she advocated for healthcare reform, federal de-scheduling of cannabis, a path to citizenship for undocumented immigrants, the DREAM Act, a ban on assault weapons, and progressive tax reform. She gained a national profile for her pointed questioning of Trump administration officials during Senate hearings, including Trump's second Supreme Court nominee Brett Kavanaugh, who was accused of sexual assault.Harris sought the 2020 Democratic presidential nomination, but withdrew from the race prior to the primaries. Biden selected her as his running mate in August 2020, and their ticket went on to win the general election in November. She assumed office as vice president of the United States on January 20, 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Kamala Harris ndiye Rais wa Marekani 2024. Mashine za kura zimedukuliwa, Maharamia watapiga kura

    Rais anachaguliwa kwenye kura na kwa hali ilivyo computer zinazotumika kupiha kura zimeonyesha kuwa na hirilafu inayompa kura nyingi zaidi Kamala, uwezekano mkubwa zaidi Kamala Harris awe rais wa 47 wa Marekani. Ikumbukwe hata uchaguzi wa 2020 kuna hitilafu zilitokea kwenye computer za kupiga...
  2. G

    Nimefurahishwa na takwimu za Betting kuhusu Donald Trump, angalau akemee vitendo vya ajabu ajabu

    Ni mwanaume Ni mwanaume mwenye msimamo Najua ipo siku femest inaweza kutawala Ila itupe muda kidogo kwakeli , Maana femist ndo wachochezi wakubwa wa ndoa za jinsia moja wanaamini mwanamke anaweza kujitosheleza wenyewe Anaiunga mkono Israel waziwazi Hadi kuhamisha balozi za us Jerusalem mji wa...
  3. Fun Fact: Kamala Harris ndiye atayepokea matokeo ya uchaguzi kutoka kwa electors na kuyawasilisha bungeni yakathibitishwe

    Electors kutoka majimbo yote hupeleka matokeo yao kwa Rais wa bunge la Senate. Na Rais huyu ni Makamu wa Rais wa Marekani. Kama mnakumbuka January 6, 2021. Waandamaji walikuwa wanapiga kelele anyongwe Mike Pence! Huyu alikuwa Makamu wa Rais wa Rais Donald Trump na alikataa kufanya figisu...
  4. Mchezo ya kubet imefika kuweka odisi haki kwa Kamala Harris vs Donald Trump

    Wale wajuzi wa siasa mtusaidie hapo nani anauwezekano wa kushinda watu waweke millions 😁😁😁
  5. Hii clip ya Kamala Harris akiumbuliwa na UNIVISION imenifikirisha sana. Mtu kama huyu anawezaje kuwa World Leader?

    Wakuu, Kuna hii clip ya Kamala Harris inatembea sana huko kwenye mtandao wa X na Republicans wanaishare kwenye akaunti zao. Jana Harris alikuwa anafanya Town Hall. Town Hall ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wananchi wanapata nafasi ya kumuuliza maswali mgombea au kiongozi wao maswali...
  6. Siasa za Marekani: Kitabu cha mafanikio ya Kamala Harris ambacho kurasa zake hazijaandikwa chochote

    Kumaanisha kuwa hakuna chochote cha maana alichofanya hahaha Cheki video:
  7. Obama kumpigia kampeni Kamala Harris

    Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, anajiandaa kufanya kampeni kwa ajili ya Makamu wa Rais Kamala Harris katika juhudi za mwisho kuelekea uchaguzi. Obama, ambaye ni Kiongozi mashuhuri wa Chama cha Democratic, ataanza kampeni zake kwa Harris Alhamisi ijayo huko Pittsburgh, huku akipanga...
  8. Maafisa usalama zaidi ya 700 wamuunga mkono Kamala Harris dhidi ya Trump kwenye Uchaguzi mkuu Marekani 2024

    Mbio za kampeni za uchaguzi nchini Marekani zimeendelea kuwa sukari na hii ni baada ya maafisa takriban 700 wa usalama wa kitaifa na wanajeshi nchini humo kumuidhinisha na kumuunga mkono Kamala Harris kwenye mbio zake za Urais dhidi ya Donald Trump. Kupitia barua yao ya pamoja, maafisa hao wa...
  9. Shambulio la risasi laitikisa Ofisi ya Kampeni ya Kamala Harris huko Arizona. Polisi watoa tamko!

    Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi walioripotiwa. Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, siku chache kabla ya ziara ya Harris jimboni humo, na...
  10. L

    Watanzania mnajifunza nini kwa Taifa letu juu ya andiko hili la Kamala Harris Mgombea Urais wa Marekani kupitia Democrat?

    Ndugu zangu Watanzania, Kila siku huwa ninawaambia na kuwaelekeza mambo mengi sana juu ya changamoto katika uongozi.huwa ninawaambia kuwa changamoto huwa hazikosekani. lakini kikubwa kinachopaswa kuangaliwa ni dhamira ,nia na hatua zinazochukuliwa katika kutatua na kumaliza changamoto na kero...
  11. Utawala wa Democrats watuhumiwa kukandamiza uhuru wa kujieleza Marekani

    Raia mmoja wa Marekani ameonekana katika video clip mtandaoni Twitter akibishana na baadaye kuwatimua maafisa wa FBI waliofika nyumbani kwake kufanya mahojiano naye kuhusu chapisho lake katika mtandao wa X lililosema "Mtu yeyote atakayemuua Kamala Harris atakuwa shujaa wa Marekani" ========...
  12. Sauti ya Kamala Harris kinanda masikioni mwangu

    Wallah! sauti ya Kamala imenikosha sana, kabda akilini mwangu nilikosa sauti nzuri kutoka kwakwe nyingi ya sauti zake nilizowahi kumsikiliza nilimwona kama mtu anayeongelea puani kitendo kilichokuwa kinanikera. Sasa bwana hii Debate aliyofanya majuzi kati yake na Trump imebadilisha kabisa...
  13. Trump atangaza kutoshiriki tena midahalo ya urais

    Mgombea urais wa chama Republican huko USA, Donald Trump ametangaza rasmi kususia midahalo yoyote ya urais inayomkutanisha na Kamala Harris. Uamuzi huu umekuja siku moja tu baada ya Trump kuhenyeshwa vibaya na mpinzani wake wa chama cha Democrat, mwanamama Kamala Harris kwenye mdahalo wa kwanza...
  14. Midahalo hata irudiwe mara kumi, kiufundi Trump hataweza kumshinda Harris katika mdahalo!

    Mdahalo wa kwanza baina ya Donald Trump na Kamala Harris katika kinyang'anyiro cha urais wa USA umefanyika usiku wa kuamkia leo huko marekani, baadhi yetu tulifanikiwa kuufatilia kwa kina katika kujifunza nk. Mbali na sera za wagombea kuna vitu vingi mnoo huangaliwa katika midahalo hiyo ili...
  15. Kamala Harris aahidi kuendelea kuilinda Israel

    Kwenye mdahalo wa wagombea uchaguzi huko Marekani uliofanyika hapo jana,mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic, Kamala Harris ameahidi kuendelea kuipa nguvu Israel kuendelea kujilinda dhidi ya maadui na jirani zake. Katika mdahalo huo bi Kamalla pamoja na ahadi hiyo amejidai anataka vita...
  16. Kamala, Trump wavutana katika Mdahalo wao, kila upande wadai umefanya vizuri

    Harris campaign wants a second debate Harris’s campaign has almost immediately called for a second debate against Trump. “Under the bright lights, the American people got to see the choice they will face this fall at the ballot box: between moving forward with Kamala Harris, or going backwards...
  17. USA Pesidential debate today: Kamala Harris (Democrats) vs Donald Trump (Republican): Hizi ndizo sheria na kanuni za mdahalo huu

    Mdahalo (debate) utaanza saa 10:00 alfajiri ( Saa za Afrika Mashariki) siku ya Jumatano na itaenda hadi around saa 12asubuhi.. Kwa watakaotaka kufuatilia, TVs zote za dunia CNN, BBC, FOX NEWS, ALJAZEERA, CBS, ABC, SABC, SKYNEWS nk nk zitarusha live mdahalo huo...
  18. Mdahalo wa Dunia kati ya Harris na Trump: Muda kamili kwa saa za Afrika Mashariki huu hapa

    Mdahalo huu mkubwa sana na Unaosubiriwa na Watu wenye Akili Kubwa (tulio na Akili zilizotukuka) utaanza Saa 10 Kamili Alfajiri (Kesho Jumatano) na kumalizika Saa 11 na Nusu. Haya mtaarifu na Mwenzako kuhusiana na huo muda na wale Wenzangu tusiojua Kiingereza tuhakikishe Kamusi za TUKI hazikai...
  19. G

    Mambo yalikuwa ni magumu sana kwa Iran awamu ya Trump. Walibanwa kisawasawa, wanaombea Kamala aendelee kuwapa ulaji baada ya Biden

    Iran ilikuwa dhaifu na imefilisika awamu ya Trump, Iran imekuwa tajiri na yenye jeuri ya pesa za kufadhili vikundi vya kigaidi awamu ya Biden. Trump aliiwawekea vikwazo vikali mno Iran ili wasiuze mafuta, Mkakati huu uliwafanya Iran wawe wamenyongonyea kiuchumi, Hawakuwa na nguvu wa la jeuri...
  20. Hawa ndo Marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani. Donald Trump yupo kwenye top 3

    Wakuu habarini za muda huu, Kwenye raundi zangu mbili tatu huko mtandaoni, nilikutana na article kutoka CBS News ambayo inaelezea wakina nani walikuwa na marais wabovu zaidi kuwahi kutokea Marekani, tangu nchi hiyo kupata uhuru mwaka 1776. Kulingana na CBS News, Rais mbovu na dhaifu kuwahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…