Kahama Urban District is one of the five districts of the Shinyanga Region of Tanzania. Its administrative centre is the town of Kahama. It is bordered to the north and south by Kahama Rural District, to the east by Nzega District and to the west by Bukombe District.
According to the 2022 Tanzania National Census, the population of the Kahama Urban District was 453,654.
In 2021 President Magufuli promoted Kahama from a town council to a municipal council.
Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000.
Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000.
Pia umbali Toka mbeya-tunduma ni km. 103 nauli ilikuwa sh.5000 Sasa imeongezeka Hadi sh. 7000.
Yaaani tunduma-mbeya...
Anonymous (0743)
Thread
barabara
kahamakahamamjini
kati
kero
kupanda
mbeya
mitaa
mjini
nauli
songwe
ubovu
ubovu wa barabara
Ninaomba kuwasilisha kero kubwa inayotukumba sisi wafanyabiashara wa Kahama Mjini Kati.
Barabara zetu ziko katika hali mbaya sana, zimejaa vumbi kupita kiasi. Kila gari linapopita linachochea vumbi kubwa ambalo linaingia moja kwa moja kwenye maduka yetu na kusababisha madhara yafuatayo:
❌...
Anonymous
Thread
barabara
kahamakahamamjini
kati
kero
maeneo
maeneo ya makazi
makazi
makazi ya watu
mjini
ubovu
ubovu wa barabara
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amewaomaba wananchi wa Kahama Mjini kumchagua Sweetbert Nkuba aliyewania kugombea ubunge endapo atapitishwa na chama chake cha CCM.
Wakili Mwabukusi ameandika katika ukurasa wake wa Facebook baada ya Nkuba kumtembelea ofisini...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kahama Mjini 2005 - 2015 James Daud Lembeli amejitosa kwenye kinyang'anyiro cha kuomba ridhaa ya kuipeperusha bendera ya chama cha mapinduzi (CCM) ngazi ya ubunge kahama mjini
Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.