Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Juma Daniel, mkazi wa Kijiji cha Kazingati kata ya Keza wilayani Ngara, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kumzaa, mwenye umri wa miaka miwili.
Daniel anadaiwa kumuua mwanaye huyo kwa kumchoma moto usoni na makalioni na kumjeruhi kwa kitu chenye ncha...