kadiri

Kadiri is a Major City in the Anantapur district of the Indian state of Andhra Pradesh. It is a Special Grade Municipal City Council and headquarters of Kadiri Mandal and Kadiri Revenue Division. Kadiri Taluka (Tehsil) was the largest taluk in the state of Andhra Pradesh when there was taluka system in Andhra Pradesh Kadiri is famous for its jasmine and saffron flowers. Kadiri saffron is widely sold in Andhra and Karnataka. The famous Sri Lakshmi Narasimhaswamy Temple is reminiscent of Kadiri to the people of Karnataka, Telangana And Tamil Nadu.

View More On Wikipedia.org
  1. Ametekwa aliyeimba 'Wajinga ndio watatiki' - Kadiri Ukosoaji utakavyoedelea, Ndivyo watu wataendelea kutekwa!

    Watanzania Tushukuru sana Mungu kuingilia Kati hii vita. Nimekua nasema humu Kila Mara, Uhai wa Kisiasa wa Samia na genge lake, utahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji Kwanini??. Kwa sababu Watanzania wa Sasa sio wa miaka ya 1990 ,wanajua wanachokitaka hivo wangeendelea...
  2. H

    Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

    Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina. Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
  3. CCM na DOLA Acheni kupoteza Kodi za Watanzania kununua watu, kadiri mnavyofanya ndivo mnatuimarisha zaidi na CHADEMA ! Mnaowanunua hawana msaada kwenu

    Hivi bado kuna mpuuzi tu Ndani ya CCM na DOLA ambaye bado anashupaza shingo na Kampeni ya kipumbavu ya ununuzi wa watu, kwakudhan ndo mnaisambaratisha CHADEMA ??. Hata kama mmejawa na maujinga mengi kichwan, ifike Mahali mnakaa mnayatizama mambo katika uhalisia wake !!. Hiyo Pesa ,ingetosha...
  4. A

    Mgawanyiko wa vitabu vya biblia kadiri ya katekisimu ya komunio na kipaimara ya jimbo katoliki Moshi

    Mgawanyiko wa vitabu vya biblia kadiri ya katekisimu ya komunio na kipaimara ya jimbo katoliki Moshi Anaujua mgawanyiko huo tafadhali atuwekee hapo
  5. PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa unadhoofishwa kimkakati ulikuwa unaheshimika ila kadiri unavyoambatana nao na kucheza mziki wao unapoteza mvuto, stuka

    Kassim Majaliwa ulijijengea heshima yako kwa muda mrefu Sana ukaonekana ni mtu usiyekuwa masihara na hauna utani lakini naona unaanza kuambatana na kundi lisilo na mvuto nakuhakikishia heshima yako hii uliyojitengenezea itapotea mithili ya mchanga wa mwambao watu wakubwa na heshima zenu mnaanza...
  6. T

    Tuseme tu ukweli, Dkt. Slaa kadiri anavyozeeka anazidi kuvurugika

    Yule Dkt. Slaa 'mtabe' wa kujenga hoja sio Dkt. Slaa huyu anayepuyanga tu bila hoja. Na hapa ndio tunakumbushwa juu ya kuchana na baadhi ya mambo umri ukikutupa mkono, balozi dkt. Slaa kaamua kukataa dhana hii ya wahenga. Kauli ya kusema Waziri Mkuu sio halali kwa sababu mahakama ilibatilisha...
  7. F

    Tundu Lissu ukiwa kwenye mstari wa mbele wa mapambano, yafanye yote kwa weledi na kadiri

    Mheshimiwa Tundu Lissu historia ya vita yako ya kutetea haki na utawala bora Tanzania imeandikwa kwa damu yako mwenyewe, na sina shaka hata kidogo wewe ni mpambanaji wa wapambanaji katika nchi yetu. Kati ya watu wachache wanaoweza kuelezea machungu ya kupigania haki na utawala bora duniani, basi...
  8. Naomba niwakumbushe kwamba tutahukumiwa kwa kadiri ya matendo yetu

    Wasalaam wana JF Kwa wale wanaoamini uzima wa milele yaani maisha baada ya kufa yenye raha (mbinguni) na yale yenye mateso (motoni) Ni hivi, kigezo ni kimoja tu matendo yetu, kwa urahisi wa rejea tusome: Ufunuo 20:13 Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake; na Mauti na Kuzimu zikawatoa...
  9. Wasiokula nyama wako hatarini kuvunjika mifupa kadiri umri unavyoendelea

    Tafiti iliyofanyika Uingereza ilijumlisha watu 26,000 wenye umri kati ya miaka 26-60. Imeonyesha kuwa ulaji wa nyama unatoa virutubisho vinavyosaidia mwili kuimarisha mifupa. Idadi kubwa ya wanaofanyiwa upasuaji kwa matatizo ya mifupa hasa ya nyonga ni wanawake na wengi ni wale walioacha au...
  10. Kuleni kadiri ya urefu wa kamba zenu

    Nadhani madhara ya kauli hii mama unaiona sasa Huko Mtwara askari wamefanya vile ulivyowaeleza wamekula na kuua lakini wakauana Uchifu hauna tija katika zama hizi kama ungekuwa na tija Marekani na Ulaya wangekuwa wanaendelea nao Ushauri tu tatua kero za wananchi achana na tuvitu ambavyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…