kada

Alexis Yougouda Kada (born 29 November 1994) is a Cameroonian professional footballer who plays as a midfielder for Moroccan club Maghreb de Fés. In 2013, he made an international appearance for the Cameroon national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ofisi ya CAG yatangaza Nafasi za Kazi 104 kwa Kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia moja na nne (104) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
  2. JamiiForums Tanzania Cracking utumishi written interview: Maalum Kwa Kada za ICT

    Habari za Masiku ndg zangu, Leo hii nimekuja na thread maalum kwaajiri ya wasailiwa wote wanaoitwa Utumishi for interview hasa hasa ICT officers becoz ni kada yangu ambayo imenipatia dream job. Ila hii inatokana na kuhenyeka interview 15 zao, 13 kati ya hizo niliishia written na kuambulia...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya maswali ya usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi

    Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo 1. Maswali kutokana na hii kazi 2. Kiwango cha mshahara 3. Nizingatie nini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Kada wa CCM atwangwa ngumi nzito na Mwenyekiti wake na kuvimba uso

    Diwani wa CCM kata ya Uwanja wa Taifa mjini Morogoro, Rashid Matesa ajeruhiwa baada ya kupigana na mwenyekiti wa CCM kata hiyo, Athumani Mswagala kwenye kikao cha chama kwa kinachodaiwa kupinga hoja ya mwenyekiti wake kutaka viongozi wawili wajadiliwe kutokana na utovu wa nidhamu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Waombaji wa kada ya Afya naombeni mje mnishauri

    Mdogu wa kike ana diploma ya nursing and midwifely, but katika kuomba ameniuliza kama anaweza kuomba nafasi ya muuguzi daraja II yaani wa certificate. Anauliza kufanya hvyo kwasababu upepo kwa upande wao ni mbaya yaani unakuta wilaya nzima wanataka RN mmoja tu wakati EN zaidi ya 20 mfano...
  6. JamiiForums Tanzania Ajira za Kada ya Sheria

    Wadau katika hizi Ajira zilizoitangazwa na Serikali niliona Kuna Ajira za Sheria na Kilimo/Mifugo kama sikosei. Ila mpaka Sasa hizo za sheria sijaona zinatangazwa.. sijajua hizo zingine za mifugo. Hivyo wadau zikitangazwa hizi za Sheria mnitaarifu mapema. Now naingia huko Chaka kufanya mavuno...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Waombaji wa kazi za Kada ya Afya TAMISEMI, kuna tatizo kwenye mfumo wa maombi ya ajira

    Hili tatizo tangu mfumo ufunguliwe! Ni nani ameshafaulu hapa? Kwenye kuchagua mahala pa kufanyia kazi hapafunguki kabisa.
  8. JamiiForums Tanzania TARIME: Kada wa CCM auawa kwa kisu katika ubishi wa kisiasa kati ya CCM na CHADEMA

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Sokoni Kata ya Sirari Wilayaní Tarime Mkoaní Mara, Moshi Sayi Maduhu, ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kifuani karibu na shingoni baada ya kutokea ubishi wa kisiasa kati yake na mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  9. JamiiForums Tanzania Tangazo la Haki Elimu linadhalilisha kada ya Ualimu

    Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa. Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Sahili za vitendo (practical) kada network administrator wanatoa maswali ya namna gani?

    Habari Nimeitwa kwenye practical ya utumishi kada network administrator, ningependa kupata hints jinsi namna maswali yanavyotoka na ni part ipi nijiandae vizuri.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali ukitaka kubadilisha kada ya utumishi baada ya kujiendeleza kielimu

    Naomba kusaidiwa hatua za kufuata kubadilisha kada kwa anayefahamu na pengine amepitia hatua hizo.
  13. JamiiForums Tanzania Kama kipengele cha kuwabeba polisi kingepitishwa kada zingine nasi tungefanya yetu

    Kwema Wakuu! Kwanza niipongeze serikali Kwa kufuta huo mswada wa kutaka kuwabeba polisi ati wasishtakiwe wakiwa kwenye majukumu Yao. Ingekuwa muswada wa hovyo kuwahi kutokea. Sisi waalimu nasi tungepeleka muswada bungeni kuwa tusishtakiwe tuwapo kwenye majukumu yetu, tukiwapa adhabu wanafunzi...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa usaili Utumishi kwa kada ya kilimo

    Wakuu habari zenu. Nahitaji kufahamu maswali yanayoulizwa pale Utumishi kada ya kilimo hasa kazi za (TARI) kwa wale waliowahi kufanya Usaili (Written) naomba mnifahamishe hapa
  15. JamiiForums Tanzania Usaili udom

    Habarini za asubuh, alofika Leo hapa udom kwajili ya usaili Wa kada ya technician II signal and telecommunication tujuane
  16. JamiiForums Tanzania Usaili kada ya Business System analyst

    Wadau naomba hints wenye uzoefu kada ya ICTO BUSINESS SYSTEM ANALYST...hasa kwenye practical nipitie vitu gani?Msaada
  17. JamiiForums Tanzania Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa Baadhi ya Kada, Kuna Haja ya Kuanzisha Hiyari ya Lazima, Watu Wachanje Kwa Lazima au Tuendelee Kubembelezania Hiyari?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona. Naomba uanze bandiko hili kwa hii clip Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa baadhi ya kada, japo chanjo ni hiyari, na ukweli ni kwamba mwitikio wa kuchanja kwa...
  18. JamiiForums Tanzania John Mnyika awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa kada wa CHADEMA, Sarah Alex

    Katibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko.
  19. JamiiForums Tanzania CCM tunatamani sana kumtetea kada mwenzetu Ole Sabaya ila hasafishiki kwa kweli

    CCM tuna utaratibu wetu wa kumuombea mtu msamaha kisha mkosaji anaenda mbele ya kadamnasi na kutamka maneno machache tu, NI SAMEHE MIMI NIMEKOSA NISAMEHE MIMI NIMEKOSA. Maneno haya huja baada ya kupitia tanuri la moto na viapo vingi sana mbele ya viongozi wakuu wa CCM. Tena utazungushwa sana...
  20. JamiiForums Tanzania Sio Lazima Mzazi wangu awe Kada, Mimi kuwa mwana CCM kindakindaki

    Kama kijana nimekuwa nikipata maswali mengi sana toka kwa vijana wenzangu pale ninapojaribu kuonesha husia zangu au pale ninapotoa hoja zangu zinazoonesha kuiunga mkono iwe hapa ama mahali kwingine kokote. Maswali hayo yamekuwa wakati mwingine yakiuliza chanzo changu cha hamasa ya Chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…