jumanne muliro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SACP Jumanne Muliro awaonya Polisi wanaojipa kazi zisizo zao

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amesema Jeshi la Polisi halitavumilia Askari wanaojihusisha na majukumu yasiyo yao, ikiwemo kujivisha Vyeo vya Taasisi nyingine kwa lengo la kujipatia rushwa. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo katika eneo la Kariakoo...
  2. PostGE2025 Muliro: Tutaendelea kuwakamata wanaopanga njama za uhalifu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linaendelea kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na wananchi katika kuimarisha ulinzi kwenye maeneo mbalimbali ya jiji. Kwa mujibu wa taarifa ya siku ya Jumamosi ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, SACP Jumanne Muliro...
  3. PostGE2025 Jumanne Muliro azikataa Video za mauaji kipindi cha maandamano zinaosambaa mtandaoni, adai zimetengenezwa

    Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno...
  4. GE2025 Muliro na Mafwele walivyorekodiwa wakiongea na askari kuhusu maandamano. Wakiri kukamata watu, wawatishia kifo

    Wakuu, Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe. Mbali na kuwakanya wamepewa na...
  5. GE2025 Kamanda Muliro kuelekea Oktoba 29, tumejipanga kwa kila tishio la kiusalama

    Jeshi la Polisi nchini limesema litaendelea kufuatilia kwa kina, kuzuia, kubaini na kutanzua matishio ya Usalama siku ya Oktoba 29, huku likitoa rai kwa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kutimiza haki na wajibu wao wa Kikatiba bila ya kuwa na hofu yoyote. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es...
  6. Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha. Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo...
  7. W

    Muliro: Askari Polisi wa Nchi yetu wana akili kuliko wa nje wanaotegemea vifaa vya Uchunguzi

    "Kulinganisha jeshi letu la polisi na Marekani ni makosa makubwa wakati unakuta kuna CCTV camera kuanzia ndani. Kuna footage kwenye gari, barabara, ofisini. "Sasa uchunguzi wake utalinganisha na Mtanzania ambaye anatumia akili yake. Ni kweli kuna mabadiliko makubwa kwenye uchunguzi, tunasoma...
  8. Afande Muliro: Jeshi la Polisi limewachukua 'Watu kadhaa' katika Kanisa la Askofu Gwajima

    Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amesema Jeshi la Polisi linawashikilia Watu kadhaa kutoka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo kutokana na kile alichoeleza kuwa walikuwa wakizuia Jeshi hilo kutekeleza majukumu yake. Wakati tukielekeza nini cha...
  9. Jumanne Muliro: Askofu Gwajima akitaka, akate rufaa (rufaa inakatwa kwa Waziri Bashungwa)

    Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam: "Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika...
  10. K

    Aibu kwa Taifa: Jumanne Muliro kujulikana kimataifa kuliko Amb. Mohmoud Kombo (MP)

    Aibu Jumanne Muliro kujulikana kimataifa kuliko Amb. Mohmoud Kombo (MP). Tumegeuka kuwa nchi ya kikatili!! kwenye wizara hii tuliwahi kuwa na Mkapa, Kikwete, Membe, Migiro, Malecella na Salim. Sasa tuna waziri ambaye hajulikani kwasababu nchi imefunikwa na matukio ya ajabu ajabu na kiki za kiusalama
  11. Afande Muliro atemwa? Je, ndio mwisho wa safari yake Kanda Maalum?

    Umejipendekeza sana, umetugonga Virungu vya ugoko hadi ukawa unachekelea. Kiko wapi sasa?🤣🤣 Sasa njoo mtaani uone kulivyo kutamu. Watoto wako walikuwa wanajiona cake, sasa hofu imewatanda. Nenda sasa kakutane na jeuri kama yako kwenye madilisha ya NSSF. Sitaki kusikie ukisema tusameheane...
  12. Jumanne Muliro: Wananchi wengi Dar wanafurahia polisi kuimarisha ulinzi

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema kuwa hali ya ulinzi jijini humo imeimarika kwa kiwango kikubwa tangu kabla ya Pasaka hadi sasa, na kwamba ongezeko la askari mitaani si jambo la kuwatia hofu wananchi bali ni hatua ya kulinda usalama wa wote. Akizungumza...
  13. Picha: Kamanda wa Polisi Dar, SACP Jumanne Muliro aandaa Iftar kujenga umoja na mshikamano

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ameandaa hafla ya Iftar nyumbani kwake Kimara, Dar es Salaam, Machi 22, 2025, kwa lengo la kuimarisha mshikamano ndani na nje ya jeshi la polisi.
  14. Nicole kufikishwa Mahakamani kwa Utapeli wa Mitandaoni

    Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema kuwa idadi ya Watu wanaojitokeza wakidai kutapeliwa na Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole inaendelea kuongezeka huku kiwango cha fedha kilichotapeliwa nacho kikiongezeka pia. Soma: Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa...
  15. Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za...
  16. LGE2024 Dar es Salaam: Mgombea wa CHADEMA aliyeuliwa kwa risasi, Kamanda Muliro asema amefariki kutokana na shinikizo la damu!

    Wakuu, Mbona mambo yanazidi kukorogwa! Aliyeelewa hapa aniaeleweshe! ==== Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus Timbisimilwa kuwa ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...
  17. Kamanda Jumanne Muliro atoa tahadhari watakaoenda kwenye dabi ya Simba na Yanga kudumisha amani na kuepuka vurugu

    Presha inazidi kupata kulekea hapo kesho 19 Oktoba kwenye mchezo wa Dabi ya Kariakoo itakyowakutanisha watani wa jadi Simba SC dhidi ya Yanga SC mchezo huu utakaochezwa katika Dimba la Benjamin Mkapa. Sasa ulinzi na usalama napo umechukua nafasi. wale watakaojifanyia kupagawa basi watakutana...
  18. Muliro: Clip ya anayedaiwa kuiba mtoto eneo la Goba ni ya Julai, 2022

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2024, Saa 3:20 asubuhi ilipata taarifa kuwa eno la Goba Matosa, Kinondoni kulikuwa na tukio la mauaji yaliyotokana na ugomvi kati ya watu wanaodaiwa kuwa ni wapenzi Polisi baada ya kufika eneo la tukio walibaini kuwepo kwa mwili wa...
  19. DAR: Wakamatwa baada ya kukutwa na Pistol toy (7), AK47 toy (2), Jambia toy (2), Shoka toy (2) walizotaka kutumia katika uhalifu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mkakati wake maalum wa kuzuia vitendo vyote vya kihalifu katika Jiji la Dar es Salaam. Kazi hii maalum ya kuzuia vitendo vya kihalifu ni muendelezo wa kazi hiyo iliyoanza mwezi Aprili 2024 na inayoedelea kulenga, kufuatilia...
  20. D

    Muliro kuongezewa muda kazini baada ya kustaafu akitenda kosa atashtakiwa kama raia au askari?

    Naam waungwana, hebu mnisaidie labda na wengine pia. Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro alistaafu rasmi mwaka jana. Kwamba siyo askari kiongozi tena. Akaongezwa miaka miwili. Swali langu. Je, akitoa amri kwa sasa na amri hiyo ikaleta madhara kwa umma au askari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…