joseph kabila

Joseph Kabila Kabange ( kab-EE-lə, French: [ʒɔzɛf kabila]; born 4 June 1971) is a Congolese politician who served as President of the Democratic Republic of the Congo between January 2001 and January 2019. He took office ten days after the assassination of his father, President Laurent-Désiré Kabila in the context of the Second Congo War. He was allowed to remain in power after the 2003 Pretoria Accord ended the war as the president of the country's new transitional government. He was elected as president in 2006 and re-elected in 2011 for a second term. Since stepping down after the 2018 election, Kabila, as a former president, serves as a senator for life.
Kabila's term was due to expire on 20 December 2016, according to the terms of the constitution adopted in 2006. Officials suggested that elections would be held in November 2016, but on 29 September 2016, the nation's electoral authority announced that the election would not be held until early 2018. Talk focused on the need for a census before holding elections. In August 2018, Kabila announced that he would step down and not seek reelection in the December 2018 general election. He was succeeded by Félix Tshisekedi in the country's first peaceful transition of power since independence. Independent observers felt Tshisikedi had lost heavily to another candidate, Martin Fayulu, and that Kabila had fixed the official result for the candidate most likely to be most helpful to him in the latter's post-presidency period. While in power, Joseph Kabila faced continuous wars in eastern Congo and internal rebel forces supported by the neighboring governments of Rwanda and Uganda.
In 2021, it was reported that Kabila embezzled over $138 million during his presidency.

View More On Wikipedia.org
  1. McLaren

    Rais Mstaafu wa Congo, Joseph Kabila ahukumiwa kifo na mahakama ya Kijeshi nchini humo

    Mahakama ya kijeshi DRC imemhukumu kifo aliyekuwa Rais Joseph Kabila, ikimtia hatiani kwa usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu. Chama chake PPRD kimesema kesi hiyo ni ya kisiasa dhidi ya mpinzani mkubwa wa serikali. Mahakama ya kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imemhukumu...
  2. The Supreme Conqueror

    "Mwendesha Mashtaka DRC aomba Hukumu ya Kifo kwa Kabila kwa kushirikiana na Waasi wa M23 Mashariki mwa Congo

    Mahakama ya kijeshi Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, leo Septemba 30 imemuhukumu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo Joseph Kabila adhabu ya kifo baada ya kupatikana na hatia ya uasi na makosa mengine kadhaa. Mwendesha mashtaka wa Serikali aliiomba Mahakama itoe hukumu ya kifo dhidi yake baada...
  3. R

    Kesi ya uhaini ya Rais wa zamani wa Congo Joseph Kabila kuanzakusikilizswa leo Kinshasa

    Kesi ya rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Joseph Kabila inafunguliwa leo mjini Kinshasa katika mahakama moja ya kijeshi mjini humo. Kabila anakabiliwa na kosa la uhaini, mauaji na mateso yanayofungamanishwa na kundi la waasi analodaiwa kuliunga mkono la M23 Soma pia: DR...
  4. Waufukweni

    DRC yapiga marufuku Vyombo vya Habari kutoa taarifa kumhusu Rais Mstaafu, Joseph Kabila

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
  5. Fbn

    Joseph Kabila Aingia Goma jumatatu leo na kupokelewa na M23 Hatari ya DRC kugawanywa kati yaonekana

    Viongozi wa afrika wanapokuta wana makosa wanatafuta njia za kuungwa mkono.sasa muelewe kuwa hata hapa waunga mkono ndani ya ccm wanaweza kuwa alipozaliwa .Utanganyika utajulikana sasa mfano kwa congo. kipindi cha idd amin ilikuwa hivi. https://www.youtube.com/watch?v=eIgfCC3q2oE
  6. Fbn

    Joseph Kabila Ajitangaza Rasmi kama M23 vita Mpya inakuja DRC

    https://www.youtube.com/watch?v=IntpG2fhmAE
  7. JanguKamaJangu

    Joseph Kabila adai Serikali ya DR Congo ni ya Kidikteta

    Siku chache baada ya Serikali ya DR Congo kuonesha nia ya kumfungulia mashtaka ya uhaini na makosa ya kivita pamoja na kumhusisha na Kundi la Waasi wa M23, Rais wa zamani wa Nchi hiyo, Joseph Kabila (53) amesema inachofanya Serikali ni utawala wa mabavu. Kabila amemkosoa Rais kwa kudhoofisha...
  8. M

    Seneti ya DRC yamuondolea Rais wa zamani Joseph Kabila kinga ya Kutoshtakiwa

    Bunge la Seneti la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limepitisha uamuzi wa kumuondolea aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Joseph Kabila, kinga ya kutoshitakiwa, hatua inayomfungulia njia ya kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma mbalimbali zinazomwandama. Joseph Kabila, ambaye alirithi uongozi wa...
  9. M

    DR Congo: Tume yaundwa kujadili ombi la kuondolewa kinga na kukamatwa kwa Joseph Kabila kwa tuhuma za kujihusisha na kundi la waasi la AFC/M23

    Bunge la Seneti limeanza kuchunguza ombi la kumvua kinga ya useneta rais wa zamani Joseph Kabila siku ya Alhamisi, Mei 15. Akishutumiwa na mamlaka ya Kongo kuwa mshiriki wa kundi la waasi la AFC/M23, mkuu huyo wa zamani wa nchi, ambaye sasa yuko uhamishoni, anakabiliwa na mashtaka mazito...
  10. Waufukweni

    Mahakama DRC kufuta Vyama vya Kisiasa kikiwemo PPRD cha Joseph Kabila

    Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, amethibitisha kuwa Mahakama zimetakiwa kufuta vyama kadhaa vya kisiasa, kikiwemo chama cha PPRD (People’s Party for Reconstruction and Democracy), kinachoongozwa na Rais wa zamani Joseph Kabila. Chama cha...
  11. B

    Interview with President Joseph Kabila Kabange in Namibia

    March 2025 Windhoek, Namibia EXCLUSIVE MAHOJIANO : NA JOSEPH KABILA RAIS MSTAAFU WA CONGO DR https://m.youtube.com/watch?v=kX6AYffI1Hc Kama Mwandishi nataka kufahamu Baada ya miaka 18 ya kutumika kama rais wa DR Congo na baadaye kustaafu, mh. Joseph Kabila umepotea sana je nini kinaendelea...
  12. musicarlito

    Inawezekanaje (baba)Laurent Kabila atofautiane kimtazamo na(mwana) Joseph Kabila?

    Habari wakuu Laurent Kabila alikataa kuwatambua Banyamulenge na watutsi wengine kama raia wa Congo kiasi alisema mkataba waliokubaliana ulikuwa wa vichochoroni Jana Joseph Kabila anamlaumu Tschekedi kukataa kuwatambua watutsi na Banyamulenge Hii imekaaje?
  13. W

    Kabila: Uongozi mbaya wa Rais Tshisekedi umezididsha mzozo

    Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila amesema kuwa, uongozi mbaya wa mrithi wake, Rais Felix Tshisekedi umechangia pakubwa kuzidisha mzozo mashariki mwa nchi hiyo. Kabila amesema hayo katika makala yake kwenye gazeti la Afrika Kusini la Sunday Times na kuongeza...
  14. Huihui2

    Tshisekedi amshutumu Joseph Kabila kwa kuwafadhili M23 ili kumpindua

    Fungua hii hapa: https://youtu.be/lElMstEAAww?si=0nAu1Paai2oo95i8
  15. Yoda

    Ilikuwa kosa kubwa sana Joseph Kabila kumuibia Tshisekedi ushindi wa urais Congo dhidi ya mshindi halali, Fayulu

    Uchaguzi wa Congo DRC wa mwaka 2018 ulikuwa ni fursa ya dhahabu ya Congo kurekebisha mambo mengi sana na kuipa nchi hiyo muelekeo sahihi wa kitaifa kwa mara ya kwanza ila uroho wa madaraka wa Kabila kulinda maslahi yake na kutoheshimu matakwa ya raia ukaikosesha Congo fursa hiyo. Katika...
  16. S

    Tatizo la lugha kwa waandishi wa habari; Gazeti la Guardian la IPP Media ladokeza kwamba Joseph Kabila, Kikwete, Uhuru Kenyata hawapo tena duniani!

    Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai! Haya ndiyo waliyosema Guardian. Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
  17. GoldDhahabu

    Prophet Uebert Angel: Maisha ya Joseph Kabila yapo hatarini

    Nani anayetaka kumwua Rais mstaafu wa DRC? Uebert Angel, muhubiri aliyejipatia umaarufu kupitia tabiri nyingi alizozitabiri kutimia, ametabiri kuwa maisha ya mtajwa yapo hatarini. Anaonya kuwa hata South Africa si salama kwake. Aliona katika maono Joseph Kabila akiwa amekimbilia South Africa...
Back
Top Bottom