jokate

Jokate Mwegelo is the District Commissioner for Kisarawe. She is a politician. Before being appointed, she was an entrepreneur and a media personality. In July 2018, the President of the United Republic of Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli appointed Hon. Jokate Mwegelo as the new District Commissioner for Kisarawe district in Pwani region. She is a member of Chama Cha Mapinduzi, previously served as Secretary in charge of Public Relations and Mobilization UVCCM - youth wing of Chama Cha Mapinduzi.
She is one among Tanzania's youngest influential leaders and entrepreneurs. In 2017, Hon.Mwegelo was included in Forbes 30 Under 30 in Africa. In August 2017 she was named by Africa Youth Awards among the 100 Most Influential Young Africans.. The 2018 Most Influential Young Tanzanians by Avance Media place her as the third most influential young Tanzanian and the most influential young Tanzanian under the category of Law and Governance .

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JOKATE: 💚 Shukrani za Dhati 💚

    💚 Shukrani za Dhati 💚 Awali ya yote natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Ndg. Dkt @samia_suluhu_hassan , Mwenyikiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa Imani yako kubwa kwangu hasa kwa kunipendekeza na kisha kuteuliwa na Halmashauri kuu ya CCM Taifa kuwa Katibu Mkuu...
  2. K

    Huyu ndiye Jokate Mwegelo – kiongozi, mwanasiasa na mwanamke shupavu

    HUYU NDIYE JOKATE MWEGELO – KIONGOZI, MWANASIASA NA MWANAMKE SHUPAVU Jokate Urban Mwegelo ni mmoja wa wanawake mashuhuri wa kizazi kipya nchini Tanzania ambaye amejipambanua kwa namna ya kipekee katika nyanja mbalimbali kama ubunifu wa mavazi, uandishi wa habari, uongozi, siasa na harakati za...
  3. K

    Neno la Shukrani baada la Jokate Mwegelo baada ya kuchaguliwa kuwawakilisha Vijana wa Vyama vyote vya Ukombozi Kusini Mwa Afrika

    JOKATE. U. MWEGELO✍🏼✍🏼✍🏼 Nawashukuru sana viongozi wenzangu wa vyama vya ukombozi kwa heshima kubwa ya kunichagua kuwawakilisha Vijana wa Vyama vyote vya Ukombozi Kusini Mwa Afrika kuwasilisha mapendekezo ya VIJANA kwa vyama vyetu hivi na hivyo kunipa fursa ya kuzungumza mbele ya wananajumui...
  4. SSH2025_2030

    Jokate hajachukua Fomu popote anataka tumfikirieje?

    Mheshimiwa Jokate Mwegelo hajachukua Fomu popote Duniani anataka tumueleweje?
  5. amarina

    Sekondari ya Jokate Mwegelo ni shule ya serikali au binafsi?

    Habari Rejea SoMo hapo juu kuhusu hii shule. Wanafunzi wanapopangwa shule za serikali baada ya matokeo darasa la Saba kuna makundi haya. 1. Vipaji maalumu 2. Mbweni 3. Teule 4. Kitaifa Ufafanuzi je JOKATE MWEGELO SECONDARY SCHOOL inaangukia kundi lip? Naomba ufafanuzi
  6. Kipenzi Changu

    Maigizo ya Jokate: Vijana 100 wa CCM wahamia CCM

  7. J

    Mazungumzo ya Katibu mkuu UVCCM Ndg Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Ndg Emanuel Martine Mkuu wa Idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM

    Mazungumzo ya Katibu mkuu UVCCM Ndg Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Ndg Emanuel Martine Mkuu wa Idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM Taifa Jokate Mwegelo @jokatemwegelo : Emanuel Martine hivi huu ni mkutano mkuu wa tawi la chuo cha Kampala au ni mkutano mkuu wa kitaifa...
  8. J

    Jokate apongeza matokeo kidato cha nne shule iliyopewa jina

    Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amewapongeza Wanafunzi, Walimu na Uongozi mzima wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani ikiwa ni sehemu ya furaha ya kuona Shule ya sekondari ya Wasichana iliyopewa jina lake Jokate Mwegelo Girls, imepata ufaulu mkubwa katika matokeo ya kidato cha nne ambapo...
  9. J

    Jokate Mwegelo aingia site kuongoza zoezi la Usajili Kieletroniki

    🗒️30 Julai, 2024 📍UVCCM HQ Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) ameshiriki kusimamia zoezi za usajili wa wanachama kwenye mfumo Kielektroniki wa Chama Cha Mapinduzi kwa kupita kwenye Vijiwe vya Boda boda kuongoza zoezi hilo la kuwasajili...
  10. J

    Jokate aeleza mpango mkakati wa kuwapatia mafunzo Viongozi wa Wilaya nchi nzima

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Komredi. Jokate Mwegelo, amesema hivi karibuni watakuwa na mafunzo kwa viongozi wao wa wilaya nchi nzima ili kuendelea kulinda nidhamu ya utendaji na uaminifu katika Taifa la Tanzania kwa vijana wanao aminiwa na Chama au Serikali...
  11. Stephano Mgendanyi

    Jokate: Chimbuko la CCM ni Mashina

    ✳️ CHIMBUKO LA CHAMA CHA MAPINDUZI NI MASHINA; CDE JOKATE 🗓️ 04 Mei, 2024 📍Geita Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amesema Chimbuko la Chama cha Mapinduzi ni kutoka kwenye Mashina kwani huko ndipo kwenye Wanachama na...
  12. Chachu Ombara

    Jokate Mwegelo: Mpaka sasa Raia Samia hajakosea chochote, tukatae wote wanaotaka kumdhoofisha

    Tukatae watu wanaotaka kumdhoofisha mwenyekiti wetu (Wa Chama Cha Mapinduzi Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania imefiwa na Rais akiwa madarakani, ingeikuwa nchi nyingine basi pangechimbika, lakini kwa Tanzania...
  13. J

    Jokate: Fomu ya urais ni moja tu

    "Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni...
  14. Stephano Mgendanyi

    Jokate Mwegelo Aainisha Mapinduzi Makubwa Katika Sekta ya Elimu Zanzibar

    📌📌KOMREDI JOKATE MWEGELO (MNEC) AAINISHA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU ZANZIBAR Asema Vijana wanayo kila Sababu ya Kumuunga Mkono Dkt. Mwinyi Mambo Mengi makubwa Dkt. Mwinyi ameyafanya kwa Kipindi Kifupi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Konresi Jokate...
  15. Comrade Ally Maftah

    Uteuzi wa Jokate Mwegelo ni uteuzi wa viwango

    SALAMU ZA PONGEZI KWA JOKATE MWEGELO ( KATIBU UVCCM - TAIFA ) Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Uteuzi wa Jokate kuwa Katibu wa UVCCM ulinisisimua kiasi cha kushindwa kulema lolote kwa kipindi tangu alipoteuliwa. Jokate ni kiongozi mwenye mvuto mkubwa kwa wananchi wa kawaida, kutokana n...
  16. sinaham

    Watu wenye nyota zao. Jokate tangu nimfahamu anasoma hawajahi kuwa down

    Jambo la msingi ni kuona mwenzio anapaa anawika ananoga proud proud 👏 kwako jekii nimezoea kukuita kimoyomoyo. Ninavyompenda jekii jojo hana Maringo. Na hana muda hata time. Nilimuombaga msaada akasema
  17. K

    Uandaliwe mpango kabambe wa kusambaza filamu za utalii zinazofanywa na Rais Samia kote duniani

    Nikinukuu kipande Cha taarifa iliyotolewa na gazeti la Mwananchi kuhusu hotuba ya Waziri mkuu aliyotoa bungeni April 3, 2024 akielezea filamu mpya ya kutangaza utalii inayoitwa "Amazing Tanzania" ambayo inatarajiwa kuzinduliwa mwezi mei, 2024 na mafanikio ya filamu ya The Royal Tour. Kuhusu...
  18. J

    Jokate Mwegelo ni kiungo sahihi cha utendaji UVCCM

    Anaandika Humphrey Shao wa Msakuzi Kaskazini. kiongozi ni lazima awe ni yule anayejishugulisha kufikri kwa sababu ya watu na awe anaendana na watu anawaongoza naona huu ndio Mtazamo uliomuongoza Dkt. Samia Suluhu Hassan kumchagua Mdada Mtanashati Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuongoza jumuiya...
  19. J

    Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
  20. Hamduni

    Jokate: Rais Samia kamaliza yote, deni lipo kwetu sisi kuhakikisha tunamtendea haki

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake kwakuwa amefanya makubwa katika sekta mbalimbali za Afya, Elimu, Miundombinu, Maji...
Back
Top Bottom