Jōhō (承保) was a Japanese era name (年号, nengō, lit. year name) after Enkyū and before Jōryaku. This period spanned the years from August 1074 through November 1077. The reigning emperor was Emperor Shirakawa-tennō (白河天皇).
Waziri wa Madini na Uchumi wa Buluu Hassan Joho ameonyesha gari la kifahari aina ya Ferrari Purosangue, ambalo thamani yake inakadiriwa kuwa takriban shilingi milioni 100.
Video hii inaibua mjadala mpana kuhusu utajiri na maisha ya viongozi nchini Kenya, hasa wakati Wananchi wengi wakikabiliana...
Sio jambo geni wala la kushangaza kwa baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania kukutana na changamoto mbalimbali baada ya kumaliza masomo yao. Kwa kawaida, kumaliza shahada au stashahada ni hatua ya furaha na fahari kwa mhitimu na familia yake. Hata hivyo, baadhi ya vyuo vikuu nchini...
University of Iringa - UoI, Wanataka tuwape Elfu Arobaini ya Joho. Ni wizi mkubwa.
Joho unavaa halafu halafu baadaye jioni unarudisha.
Waziri wa Elimu tusaidie japo tutoe Elfu nane.
Chuo cha Iringa wameanza wizi. Majoho wanayo na sisi wanafunzi wao.
Je, wametugeuza Mtaji?
Kwako Mwalimu kashasha.
Binafsi nimefika chuo lakini sijawahi kuhudhuria hizi graduation toka msingi mpaka namaliza masomo yangu ya chuo.
Kuna maanishwa kipi hasa au ndiyo modernization?
Moja ya video iliyogusa hisia za watu ni hii ya binti huyu aliyejivunia kuvaa joho huku kando yake kuna Baba yake akiwa na furaha tele mwanae kuhitimu Chuo. Ingawa sifahamu kuhusu mama yake, ila inachukua dakika chache tu kugundua moyo wa binti huyu unazungumza nini?. Anaonyesha hamu kubwa ya...
Nafikiri ili ufiti vizuri kwenye siasa za panda shuka ukanda huu wa Afrika Mashariki, inabidi uwe mnafiki na unajitoa ufahamu kweli kweli.
"Handshake" ya Raila na Ruto haikutegemewa kabisa kutokana na msimamo wa wafuasi na viongozi wa ODM, kama ilivyo kwa upande wa Ruto, mvulana kutoka Sugoi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.