john nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary and Vice President candidate for Tanzania for election to be held in October 2025. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania JOHN NCHIMBI NI NDUGU WA KINJEKETILE?

    Vita ya majimaji iliongozwa na Kinjeketile na akaweza kuwashawishi wananchi wengi vijana wakajiunga na jeshi lake. Vita ya majimaji ilikuwa na wapiganaji walikuwa na Imani kubwa kuwa watawashinda wazungu pamoja na hawakuwa na uwezo wa kuwashinda. Leo hii tunashihudia John Nchimbi akionyesha...
  2. JamiiForums Tanzania JOHN NCHIMBI NI NDUGU WA KINJEKETILE?

    Vita ya majimaji iliongozwa na Kinjeketile na akaweza kuwashawishi wananchi wengi vijana wakajiunga na jeshi lake. Vita ya majimaji ilikuwa na wapiganaji walikuwa na Imani kubwa kuwa watawashinda wazungu pamoja na hawakuwa na uwezo wa kuwashinda. Leo hii tunashihudia John Nchimbi akionyesha...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

    Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  4. JamiiForums Tanzania Dr. Emmanuel John Nchimbi ni uncompromised statesman Tanzania

    Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki. Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania. Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kwa nafsi zetu. Ni nani mwingine CCM zaidi ya Dkt. Nchimbi anayeweza kusema jambo na WaTanzania wakamsikiliza

    Nilisema nimejiweka tayari kuzibua masikio yangu yote kumsikiliza Dr Nchimbi kama analo jipya la kuwaambia waTanzania juu ya ubovu wa chama chake. Hii ni bila kuathiri uamzi wangu niliokwisha hitimisha kwamba "Kupona kwa Tanzania, hakuna budi CCM yenyewe ife", kwanza. Nimemsikia Dr Nchimbi...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi ndie pekee mwanasiasa mzoefu kitaifa na kimataifa anayeaminika na kukubalika pasina chembe ya shaka ndani na nje ya CCM

    Hali hiyo inampa Dr.Emmanuel John Nchimbi turufu ya kipekee sana kwamba ndie kiongozi pekee wa kisiasa nchini anae enjoy suport ya uhakika na ya kutosha ndani ya ccm, lakini suporti ya uhakika na ya kutosha miongoni mwa vyama vya siasa vya upinzani Tanzania. Zaidi sana Dkt. Emmanuel J. Nchimbi...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli za Nchimbi zaunganisha Taifa. Watanzania waunga mkono utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2025

    My friends ladies and gentlemen, Sasa ni wazi, upekee wa kauli za makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Emmanuel John Nchimbi katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, umeendelea kua kiungo muhimu na chachu ya umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote bila kujali itikadi, mirengo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Taifa, ni vizuri kuanza kumzoea Nchimbi kama Rais wa Tanzania baada ya Samia kumaliza ngwe yake ya pili 2030

    Nadhani hakuna ubishi wala mashaka dhidi ya haiba, uwezo, uzoefu, uadilifu na weledi wa Dr. Emmanuel John Nchimbi kwenye nafasi yake kama makamu wa Rais wa Tanzania. Mungwana amesimana vizuri kwenye nafasi yake, na anautendea haki wajibu na jukumu lake la kikatiba katika kumsaidia Rais Dr.Samia...
  9. JamiiForums Tanzania Harambe ya THRDC itakayoongozwa na Dkt. Emmanuel John Nchimbi itavunja record ya makusanyo ya pesa nyingi zaidi ya lengo kwa muda mfupi sana

    Makamu wa Rais Dr Emmanuel John Nchimbi anaiwakulisha serikali katika mkutano mkuu wa THRDC na kuongoza harambe muhimu sana kwa ustawi wa shirika hilo la haki za binadamu nchini. Unadhani harambee hiyo itakayoongozwa na makamu wa Rais, itavuka lengo walilojiwekea THRDC kwa kiasi gani, na...
  10. JamiiForums Tanzania John Nchimbi waelekeze Youtubu wafute Ile video yako na Sofia Simba mkimkataa Magufuli baada ya kupitishwa kugombea urais

    Leo john Emanuel Nchimbi, amesoma meseji aliyotumiwa na Hayati magufuli ya kumjuza yakuwa hawezi mwacha kamwe maana aliisha muaidi kumpa cheo. Leo Nchimbi wakati anasa.meseji.yake alipoteuliwa kuwa Balozi. Nchimbi anatumia meseji hiyo kutaka kutuamini yakuwa alikuwa Rafiki yake wa karbu ndio...
  11. JamiiForums Tanzania Kama Samia alishinda Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa 98%, ni wazi Nchimbi atashinda kwa 100% uchaguzi mkuu wa 2030

    Kwasababu, ni vizuri kuyaeleza haya mambo mapema ili kuepusha suprise amabazo zinaweza kuleta madhara kwa baadhi ya wanasiasa hasa wa upinzani ambao daima huangukia pua kwa kutegemea public sympathy votes. Katika uchaguzi mkuu huru, wa haki na uwazi uliofanyika mapema Oct.29,2025, mgombea urais...
  12. JamiiForums Tanzania Maoni: Huenda Dkt. John Nchimbi akawa ndie makamu wa Rais bora zaidi Tanzania tangu uhuru

    Ni mwajibikaji mstahimilivu sana, msikivu asie na papara na mwenye uwezo mkubwa mno wa kujidhibiti kikamilifu hususani kisiasa licha ya kua na ushawishi na uwezo mkubwa zaidi kisiasa. Daima anahakikisha kwamba hafanyi lolote lile lililo nje ya wajibu wake wa kikatiba kama principal assistant of...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Kishindo cha Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi na Eng Ezra John Chiwelesa kinasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo 6/9/2025

    Wanabiharamulo na wananchi wote wa Mkoa wa Kagera mnaalikwa kushiriki kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara tarehe 6/9/2025 katika Uwanja wa Mpira wa CCM Biharamulo Mjini. Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi, atapanda jukwaani...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 John John Nchimbi achukua fomu ya Ubunge, atoa ahadi ya kushirikiana na watia nia wote kuijenga Nyasa

    Mapema leo Agosti 26, 2025 mgombea Ubunge Jimbo la Nyasa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) John John Nchimbi amefika mbele ya Ofisi ya msimamizi wa Uchaguzi Jimbo ambapo mara baada ya kujitambulisha kwa barua kutoka tume huru ya Uchaguzi alikabidhiwa rasmi fomu na ndugu Ausi Mkwanda Limia...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Unajua nini kuhusu Dr. Emmanuel John Nchimbi?

    Dr. Emmanuel Nchimbi amewahi kushika nafasi mbalimbali za ajira na uongozi, nyingi zikiwa ndani ya serikali na chama. Mpangilio wake wa kazi unaweza kuonekana hivi: Ajira na Nafasi Alizoshika 1. Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini – (2005–2015) Alichaguliwa kupitia CCM na kushiriki kikamilifu...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 John Nchimbi aongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa

    Aliyekua Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi ameongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa baada ya kupata kura 9,157 kati ya kura 10,695 zilizopigwa akifuatiwa kwa mbali na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Stellah Manyanya aliyepata kura (548).
  17. A

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Makamu Mwenyekiti CCM na Katibu Mkuu (J.Malecela, Horace Kolimba) kushindwa kusimamia Haki za Bara ni Sawa na John Nchimbi, Mpango na Kassim

    Itakumbukwa huko nyuma Marehemu Ali H.Mwinyi Raisi aliingiza nchi OIC kinyume cha Katiba , ikapelekea G55 , na mwishowe Mwl aliandika kitabu , uongozi na hatima ya Tanzania na kupelekea J.M Malecela, aliyekubali kufuata ya Mwinyi, kwa Matamanio ya kurithi kiti, Chama kumpotezea, na Horace...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John Nchimbi, achukua fomu kuwania Ubunge wa Jimbo la Nyasa

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi, amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Nyasa. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Katika Bunge la 12, Jimbo la Nyasa lilikuwa linawakilishwa na Mhandisi Stella Manyanya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…