johari

Abang Abdul Rahman Zohari bin Abang Openg (born 4 August 1950), popularly known as Abang Johari or Abang Jo, is a Malaysian politician who has been the sixth and current premier of Sarawak since 2017. A member of Parti Pesaka Bumiputera Bersatu, he has been the president of the party since 2017.
He has been the member of the Sarawak State Legislative Assembly for Gedong since 2021, and previously represented Satok from 1981 to 2021. He is the son of the first Yang di-Pertua Negeri of Sarawak, the late Abang Openg Abang Sapiee.
Abang Johari took over the premiership (then known as Chief Minister) following the death of his predecessor Adenan Satem in January 2017. He is also the first chairman of Gabungan Parti Sarawak since its formation in June 2018 after its split from Barisan Nasional.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    Hamza Johari, kabla ya Mange Kimambi, tuanze na ya Mdude&Polepole

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, amejiapiza kumkamata Mwanaharaakati Mange Kimambi. Ila kuna watu wepesi ambao angeanza nayo, ambayo hayaitaji Majadiliano na Serikali ya Marekani Tunaomba Uwakamate waliomteka Mdude na Polepole. Pia wafikishwe mahakamani waliomuua Mzee Kibao. Hapo kweli ndo...
  2. PAYE

    Rais Samia kuendelea na Hamza Johari kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Amemtea tena leo kushika Wadhifa huo

    Tangazo kwa umma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bw. Hamza Saidi Johari ataapishwa kesho kutwa Jumatano tarehe 5 Novemba, 2025 saa 4:00 asubuhi Ikulu Chamwino, Dodoma. Imetolewa na...
  3. The only

    Jiwe johari

    Wakuu nani ana idea ya soko la hili jiwe nimeliona mahali liko hivi 1.linarangi mingi kama rainbow 2.kwenye giza linangara(mimi sikulitest maana nililiona mchana) 3.linauhai linahifadhiwa kwenye unga na linawekewa mayai baada ya siku 3 yanatoka yakiwa matupu.(niliona mayai mawili matupu...
  4. Jamii Opportunities

    Conference & Banquet Operations Manager at Johari Rotana October 2025

    Job Description We are currently seeking for ambitious, dynamic, self motivated Food & Beverage professionals who assist to organize and direct a team that develops top quality of food & beverage products with prompt, accurate and personalized service. As a Conference & Banquet Operations...
  5. The Supreme Conqueror

    Mzee Butiku naye analinda kula yake kupitia MNF pale Rotana Johari Buildings amesahau matamko yake amelipwa Trilioni ngapi Watz M60 tumchangie?

    Kwa kifupi tu Andrew Nyerere mwenye Ubini na ihalali wa yale majengo alishamaliza kila kitu na ndiyo maana familia ya ndani ya Baba wa Taifa wapo kimya. Butiku asitake kula matapishi yake tuko imara kwa data aliwahi kuiponza Taasisi ya TPO leo anaona maslahi ya wanaye ni bora kuliko Taifa hafai...
  6. Jamii Opportunities

    Outlet Cashier at Johari Rotana September 2025

    Job Description We are currently seeking for passionate and dynamic Finance professionals who pride themselves on their ability to deliver extraordinary levels of customer service and provide creative solutions to our guests. As an Outlet Cashier you are responsible for cashier’s house fund and...
  7. Waufukweni

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari awasilisha muswada wa marekebisho ya Sheria Tisa (9) Bungeni, agusa Bandari na Uhujumu Uchumi

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni 5, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. Aidha mara baada ya kuwasilisha maelezo hayo, Mjumbe wa Kamati ya...
  8. E

    Mawakili wa Lissu wawashukia Waziri Bashungwa, AG Johari

    Mawakili, Peter Kibatala na Jebra Kambole wanaomwakilisha Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu katika kesi za uhaini na kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni wamelalamikia kauli zilizotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa wakisema zinaingilia kesi hizo katika Mahakama ya Hakimu...
  9. DeepPond

    Johari: Nipate mume yeyote, kigezo ni awe anapumua

    "Mwanamke yeyote ndoto yake kubwa kuwa na Mume, katika maombi yangu yote hilo naliomba sana lakini siwezi kumpangia Mungu atayajibu lini". "Mkisikia natangaza harusi mjue maombi yamejibu, nipate mwanaume yeyote ili mradi TU awe anapumua" - Muigizaji Johari Chanzo: EATV
Back
Top Bottom