JKT Oljoro FC is a Tanzanian football club from Arusha that previously played in the Tanzanian Premier League. In the 2015/16 season they are playing in the Tanzanian First Division League. They play their home matches at the Sheikh Amri Abeid Memorial Stadium in Arusha, Tanzania. Promoted to the Tanzanian Premier League after the 2010/11 season, they finished the 2011/12 season in 6th position playing 26 matches, winning 9, drawing 8 and losing 9, scoring 19, conceding 24 with a goal difference of −5 and 35 points.
Yanga 5 VS JKT Tanzania 0 | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025
Mechi ipo live
Salama zinatumwa
Game over Yanga asimamisha Mnara wa 5G kwa JKT Tanzania
Magoli ya Yanga yamefungwa na Mohamed Hussen, Depu, Dube, Mudathir na Shekhan
Brigedia Jenerali Paul Masinde amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya Operesheni Nishati Safi katika Kikosi cha Mgambo 835 JKT wilayani Handeni, mkoani Tanga, kutumia ipasavyo mitandao ya kijamii na kujiepusha na kujiunga na vikundi vya uhalifu.
Kwa upande wake, Kaimu Kamanda wa Kikosi hicho...
Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani ya taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale.
JKT Tanzania wameonesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya...
Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo.
(1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box
(2) Kadi nyekundu yenye utata na...
Mwamuzi wa kati Japhet Smart wa Katavi atachezesha mchezo wa kesho kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba SC pale Meja Jenerali Isamuyo.
Japhet Smart atasaidiwa na Glory Tesha kutoka Dar Es Salaam na Abdulaaziz Ally kutokea Arusha.
========================
Huyu ndiye refa Aliyemaliza mpira mara...
Hamdi Kocha wa Yanga
"Ukiwa unafukuzia ubingwa ni ngumu kukaa kileleni, ni bora kukaa nafasi ya pili ukiwa unampumulia kinara wa ligi, narudia tena hakuna kazi ngumu kama kukaa kileleni"
"Halafu leo sijapendezwa na refa, muda wote alisimamisha mchezo na kupoteza muda"
Mechi ilikuwa nzuri
Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri
Hii inathibitisha ubora wa ligi
Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine
Coach hakuifanyia tathmini nzuri timu ya JKT Tanzania kuwa ni wazuiaji wazuri na wanacheza physical game akaamua kuanza na...
Leo lazima kuwe na ubaya ubwela pale Meja Isamuyo, tafadhalini sana uwanja huo una nidhamu zake, eneo hilo ni kambi ya Jeshi, mambo ya kuingia uwanjani kuruka ukuta ama kuvunja geti mpitie mlango mwingine tofauti na ule uliowekwa ukomeshwe leo, Utopolo hawana uwezo wowote zaidi ya nje ya uwanja...
Mabingwa wa muda wote wa ligi ya Tanzania Bara, Mabingwa watetezi wa ligi kuu msimu huu na vinara wa ligi YOUNG AFRICANS SC watashuka dimbani leo majira ya saa 10 za jioni ugenini kuwakabili JKT TANZANIA katika dimba la Meja Jenerali Isamhyo.
Je, Yanga kuendelea kujichimbia kileleni wa...
Azam FC wameachia picha za muonekano mpya wa mabenchi ya wachezaji wa akiba, baada ya kufanyiwa maboresho.
Azam FC wameachia picha hizo saa chache kabla ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa Uwanjani hapo.
Mara ya mwisho Azam FC ilipocheza Azam Complex dhidi ya Fountain Gate...
Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni...
1. Hii ni moja kati ya mechi ngumu msimu huu, JKT wamecheza kwa mbinu na nguvu nyingi dakika zote.
2. Refarii hajafanya kosa kutoa tuta, lile ni tuta, wa kulaumiwa ni mchezaji wa JKT kufanya utoto dakika za mwisho ( inawezekana ni mwanafamilia wa Simba).
3. Joshua mutale apewe mapumziko na...
Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC
Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande?
Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD
Usikose uhondo huo
Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao awali ulihairishwa baada ya mpinzani wetu kupata ajali sasa umepangwa kuchezwa Disemba 24, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo huu awali haukuchezwa kutokana na JKT Tanzania kupata ajali ya gari na baadhi ya wachezaji wao...
Bodi ya Ligi imeahirisha mechi kati ya Simba SC na JKT Tanzania kufuatia ajali iliyolikumba kikosi cha JKT Tanzania. Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa 1:00 asubuhi baada ya basi lililowabeba wachezaji na wafanyakazi wa JKT Tanzania kuacha njia na kuanguka mtaroni, na kusababisha majeraha...
JKT ilimpa kazi Jemedari ya kuwa mtendaji wake mkuu lakini pia jamaa ni mwajiriwa wa Crown FM, unajua being a CEO is a big task, mipango yote ya klabu iko kwako, Sasa huyu jamaa ukimsikiliza anapokuwa hewani anavyoshambulia watu personal badala ya issues unaweza sema ni msomi au pundit katika...
Kikosi cha timu ya soka ya JKT Tanzania, kimepata ajali baada ya basi lililowabeba kuacha njia na kuanguka mtaroni majira ya saa 1:00 asubuhi leo na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wengine.
Basi hilo limepata ajali likiwa linatokea jijini Dodoma kucheza mechi ya NBC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.