jitafakari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MO DEWJI, tamaa yako ya pesa imeiharibu Club ya Simba, sisi kama club hatusubiri mikataba yenu, jitafakari

    Huyu ndugu aliingiza tamaa ya pesa, kaanza kuuza wachezaji atakavyo, Sasa club imekwama, MO jitafakari, usidhani hatukutafakari.
  2. Zitto Kabwe Jitafakari

    Nilimsikiliza Zitto Kabwe, mmoja wa vigogo katika viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani hapa Tanzania, akitoa hotuba yake katika mkutano wa Baraza la Vyama vya siasa. Nilimsikia akimuomba Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa, "asaidie" ili Mbowe awe huru. Nilisikiliza pia majibu ya rais...
  3. Amos Makalla Jitafakari na utimize yote unayoanzisha

    Umetoa maagizo juu ya machinga halafu huyafuatilii. Hali iliyoonekana inaanza kuwa Nzuri inaanza kuharibika tena! Watu wanarudi barabarani na kuanza kupanga bidhaa na kuacha uchafu tena. Mbezi, Posta, Mwenge na Kkoo hali inaanza kurudi kama huko awali! Nimepita Baridi Leo Posta nimekuta...
  4. Neno la leo: Ukiona wanatamani ushuke kimaisha au uanguke jitafakari

    Ukiona mtu au watu wanatamani ushindwe, uanguke, uumie, ufeli au kupoteza uhai kabisa wewe binafsi mkeo au watoto wako usikimbilie kusema binadamu ni wabaya, binadamu wanachuki, binadamu wanakinyongo, binadamu wana wivu n.k huo ni muda wako kujitafakari. Kila binadamu ana wivu, kila binadamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…