jimbo la ukonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Bakari Shingo ashindwa kuendelea kwenye kinyang'anyiro kwa kushindwa kukidhi kigezo cha lugha ya Kiingereza

    Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Bakari Shingo, amejiondoa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi za uwakilishi wa Tanzania kwenye taasisi muhimu za kimataifa za mabunge baada ya kushindwa kukidhi kigezo cha umahiri wa lugha ya Kiingereza wakati wa mchakato wa uteuzi. Uchaguzi huo ulifanyika ili...
  2. DuaZaMama

    PostGE2025 Jerry Silaa Waziri pekee aliyeshindwa kutetea Jimbo, Bakari Shingo mbunge mteule wa jimbo la Ukonga

    Katika jambo ambalo halikutarajiwa katika jimbo la Ukonga na wachunguzi wengi na watafiti wa siasa ni kitendo cha Mhe.Jerry William Silaa na aliyekuwa Waziri wa Habari Teknolojia na Mawasiliano ya Habari kushindwa kutetea jimbo lake mbele ya Bakari Shingo, aliyekuwa mgombea ubunge wa Act katika...
  3. Its Tesha

    GE2025 Jerry Silaa yupo Polisi kwa kuvuruga uchaguzi jimbo la Ukonga

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ukonga Kupitia CCM amepigwa chini katika jimbo hilo huku taarifa zikisema kuwa amekamatwa na jeshi la Polisi kwa kuvuruga uchaguzi katika jimbo hilo.
  4. Mafyangula

    GE2025 Mgombea wa ACT- Jimbo la Ukonga, Bakari Shingo, avamiwa na Kundi la Vijana Inayodaiwa kuwa Wafuasi wa CCM

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ukonga kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Bakari Shingo, amevamiwa na kundi la watu vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), tukio lililotokea katika eneo la Pugu Mpakani, wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam. Tukio hilo, ambalo limetokea katika...
  5. A

    Alex msama aorodheshwa kugombea ubunge jimbo la ukonga kwa tiketi ya chaumma, mwenyewe akanusha vikali

    Wakati wa mchakato wa kutia nia kwa wana CCM kuomba kugombea ubunge kwa majimbo mbalimbali ya Tanzania, mwana-CCM Alex Msama Mwita alikuwepo akilitaka Jimbo la Ukonga ambalo lipo jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, Msama aliachwa kwenye majina yalirudi jimboni kwa ajili ya kura za maoni ambapo...
  6. A

    KIMENUKA: Kimenuka CCM yatakiwa kumzuia Jerry silaa kucheza 'rafu' ukonga ziara ya Mchengerwa yatajwa kuwa kampeni ya kificho

    Baadhi ya watia nia ya ubunge kwenye kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu ujao katika Jimbo la Ukonga, Ilala, Dar es Salaam wamemlalamikia mbunge aliyemaliza muda wake, Jerry Silaa kwa kitendo chake cha kuanza kupiga kampeni kabla ya kipyenga kupulizwa. Wamsema kitendo hicho, licha ya kwenda...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mhe. Mchengerwa Ataka Kukamilika kwa Ujenzi wa Barabara Jimbo la Ukonga kwa Wakati.

    Mhe. Mchengerwa ataka kukamilika kwa ujenzi wa barabara jimbo la Ukonga kwa wakati. Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Mohamed Mchengerwa amemtaka mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Barabara ya Banana – Kitunda – Kivule – Msongola na Kivule – Majohe Junction...
  8. A

    Jimbo la Ukonga wataka mabadiliko Ubunge, wamtaja Msama kuwa ni mpambanaji

    Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likipamba moto nchini kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani, wapiga kura wa Jimbo la Ukonga wamemtaja Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama kuwa ni mtu sahihi kwa 2025-2030. Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wanapoongelea uchaguzi wa mwaka huu, wamekuwa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Ragi Samwel ajitosa kugombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyewahi kuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala (KIU), Ragi Samwel , amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga kupitia tiketi ya CCM. Samwel alipokea fomu hiyo leo, Juni 30, 2025, na...
  10. M

    Barabara za jimbo la Ukonga mbovu sana kulikoni?

    Jimbo la ukonga ambalo mbunge wake ni mh jerry slaa lina miundombinu ya barabara ambayo ni mibovu labda kuliko majimbo yote ya Dar es Salaam. Barabara ya banana- kitunda mashimo matupu. Barabara ya mombasa hadi bombambili ni shida kubwa Barabara ya kampala hadi bwera ni shida Barabara ya...
  11. Mindyou

    PreGE2025 Kamati ya Ushauri Mkoa wa Dar waridhia jimbo la Ukonga ligawanywe mara mbili

    Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es salaam (RCC) ikiongozwa Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila leo Machi 24, 2024 imepokea na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Ilala (DCC) ya kuligawa jimbo la Ukonga lililopo Wilaya ya Ilala kuwa majimbo mawili ambayo ni jimbo la Ukonga na jimbo...
  12. Mbangaizaji wa Taifa

    DAR: Mkutano Mkuu wa Jimbo la Ukonga Watangaza kumkataa Mbowe na kumuunga mkono Lissu

    Kuna haja washauri wa Mwenyekiti Mbowe kumshauri upya. ====== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam, Gaston Makweta pamoja na Katibu wa Jimbo hilo Robert Nyambuya wametangaza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Tundu Lissu katika...
  13. Mwangi T.

    PreGE2025 Jimbo la Ukonga ni la mwisho kwa maendeleo Dar es Salaam

    Pamoja na kuwa jimbo hili limeongozwa na chama twala kwa miaka yote isipokuwa mitano tu tangia nchi ipate uhuru wake lakini bado limekuwa la mwisho kimandeleao jijini Daresalaam! Kwa Upande wa miundombini hsa barabara imekuwa ndio kilio cha miaka mingi kwa wakazi wa jimbo hili. Ukiacha...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Rais Samia amewaomba Wakazi wa Ukonga kumshika Mbunge wa Jimbo hilo Jerry Silaa

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaomba Wakazi wa Ukonga kumshika Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Jerry Silaa kwakuwa ni Waziri anayefanya kazi vizuri. Rais Samia amesema hayo leo August 01,2024 akiwa Pugu njiani kuelekea Dodoma...
  15. BARD AI

    PreGE2025 Mbunge Jerry Silaa akataliwa na Wananchi wa Jimbo la Ukonga mbele ya Waziri Ulega

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na wafanyabiashara wa Ukonga, aliwaambia wananchi hao kuwa wanasalimiwa na Mbunge wao, ambaye pia ni waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, lakini wananchi hao walionesha kutokubaliana na salamu hizo. Baadhi ya wananchi walionesha kuwa wanataka...
Back
Top Bottom