jiji la mbeya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Mbeya ina changamoto ya chemba kuvuja na kutiririsha maji taka mitaani na kwenye mito

    Mitaa ya Mbeya kuna “njemba” zimepewa tenda za kukusanya taka kwenye kila kata lakini zinaweza kupita siku tatu hadi nne gari ya taka haijapita kubeba taka sasa sijui pesa za taka wanakusanya kwa ajili ya nini. Sasa tuachane na huo uchafu ambao wenye mamlaka wameonekana kushindwa kutatua...
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania KERO Jiji la Mbeya lina noise pollution ya kiwango kikubwa sana mchana

    Kuna unregulated PA advertising ambayo karibia kila saa inapita hapa katikati ya mji. Kuna haja iundwe mamlaka inayosimamia au ku regulate matangazo ya kibiashara. Ni kero kubwa sana.
  3. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Hili hapa Bata la nanenane 2024 ndani ya Jiji la Mbeya...!!

    INTRODUCTION:- Wale wenye Nchi nawasalimia UBAYA UBWELAAAA Wale wananchi wenzangu, wanasalimia kwa "Wananchiiiiiiii" Twende kwenya mada .... BODY:- Nanenane ndio hiyooo, na kama kawa nimeshafika Mbeya tokea 31/07. Na hii ndio ratiba ya gambe .... 1. 31/08 bata lili liwa Rombo Bar, Kabwe...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO TARURA Mbeya hawaoneshi njia mbadala wanapofunga barabara kwa ajili ya ukarabati

    Kuna huu mtindo wa Tarura jiji la Mbeya hasa pale wanapofanya marekebisho ya barabara mbovu zile za ndani, huwa wanaweka kibao cha kuonesha barabara imefungwa (kwa watumiaji wa vyombo vya moto) lakini hawaoneshi njia mbadala ya kupita, sasa je wanaomiliki vyombo vya moto watumie barabara zipi...
  5. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Kubadili Bajaji kwenda Mabasi katika Jiji la Mbeya: Njia Mpya ya Kuelekea Usafiri Bora

    Jiji la Mbeya, kama miji mingi inayoendelea nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa za usafiri. Bajaji, ambazo ni maarufu kwa kuwa nafuu na rahisi kupenya katika mitaa midogo, zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri wa jiji hili. Hata hivyo, kuongezeka kwa idadi ya bajaji...
  6. MLIMAWANYOKA

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya: Mfupa Mgumu kwa Makonda na CCM

    Tumeona ziara ya Comrade Makonda MNEC na mwenezi wa CCM Taifa maeneo mengi ya nchi. Hata tuliokuwa tuna muona Makonda kama muhalifu (mwenye kudhulumu haki ya kuishi) sasa tuna muona shujaa. Ukiachana na kuwa watu wengi wana angalia vi clip ambapo vinaonesha jinsi anavyo tatua migogoro kwa...
  7. Heci

    JamiiForums Tanzania CCM haikujenga uwanja wa Sokoine Mbeya, iliwapora wananchi. Uwanja urudishwe kwa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

    Sisi wana Mbeya ni wahanga wa matukio ya kibabe ya kidhalimu yaliyofanywa na yanayoendelea kufanywa na chama hiki mumiani. Miongoni mwa udhalimu huo ni kuporwa kwa uwanja wa wananchi, uwanja wa Sokoine kisha CCM kujimilikisha. Uwanja wa Sokoine ulijengwa na wananchi wa Mbeya Mjini, kisha...
  8. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa

    Picha: Spika Dkt. Tulia Akson Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maono ya kuendeleza na kupendezesha jiji la Mbeya

    Mwangaluka! Mwakaata! Mwagona! Mwaghona! Mughonile! Mapembelo! Kamwene! Ukurasa wa 1 MAONO YA KUENDELEZA NA KUPENDEZESHA JIJI LA MBEYA “When it comes to innovating big ideas and realising them, the sky is the limit” “Suala la kuibua fikra pana na pevu na jinsi ya kuzitekeleza, huwa halina...
  10. Nyalotsi

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya kuna TARURA?

    Pamoja na Jiji kuwa na makusanyo mengi ya Kodi lakini ni Jiji ambalo liko nyuma kwa upande wa barabara za mitaa! Mitaa ya zamani kama Mwanjelwa, Nzovwe, Soweto, Uyole barabara hakuna ni mashimo tu. Mitaa mipya ambayo wakati mwingine imepimwa na viwanja kuuzwa na Jiji hakuna hata barabara nzuri...
Back
Top Bottom