jezi za simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mngony

    Mdhamini wa Jezi za Simba alitoa ahadi ya kusajili mchezaji yeyote Klabu ikimtaka, Je imekuwa hivyo?

    Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri? Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine. Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli...
  2. The Supreme Conqueror

    Kwa hizi Endorsment za Mnyma Simba Nategemea Mwakani Mkutano Mkuu tusikie Faida siyo hasara

    Wakuu nisiwachoshe sana.
  3. Pdidy

    Nani alivujisha jezi za Simba, Uongozi wa simba mmechukua hatua gani Kulinda hadhi na hatimiliki za kilabu?

    JE, SIMBA SC IMECHUKUA HATUA GANI KUKOMESHA UVUJAJI WA JEZI? Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mjadala mkubwa mitandaoni baada ya jezi mpya za Simba SC kuvujishwa kabla ya kutambulishwa rasmi na klabu. Hii imeibua maswali kadhaa: Nani hasa aliyesababisha uvujaji huu? Uongozi wa Simba...
  4. D

    hizi jezi za Simba, mbele wapi? nyuma wapi? mbona hazieleweki.

    I will be short hizi jezi , mbona kama makengeza, mbele wapi, nyuma wapi?? mcheki kapombe amkuwa kama kanyongwa , ajulikani kageuka mbele au nyumA.
  5. Expensive life

    Kitendo cha jezi za simba sc kuvujaka kabla ya uzinduzi ni dhahiri kuwa hawawezi kuwa mabingwa wa NBC 25/26

    Simba sc inatakiwa isafishwe abaki muwekezaji tu pale, kuanzia idara ya habari hadi viongozi wote wapigwe chini. Waanze upya kiuongozi ndio mambo mengine yafuate, unaenda kwenye vita na jopo lile lile ambalo mipango yenu inavuja kwa maadau? Wanasimba tunzeni huu uzi hamuwezi kuwa mabingwa...
  6. M

    Zilizovuja kumbe zilikuwa ni zenyewe bwana Yanga bingwa tena kwa kufaulu nje ya uwanja

    Nilikuwa nasubilia kwa hamu kujua kama zile jezi zilizovujishwa za Simba kama zilikuwa ni jezi halisia hili nijiridhishe na jambo Fulani,,, Lakini nimejiridhisha Leo kwamba zilikuwa ni jezi zenyewe halisia baada ya kuzinduliwa zile zile zilizovujishwa! Hapa nawapa kongole yanga kwa kuwa vizuri...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Hafla ya tukio la uzinduzi wa Jezi za Simba Sports Club pale Super Dome Masaki

    Tukio lipo mubashara Azam Sports 1HD Klabu ya Simba inatarajiwa kuzindua jezi zake zilizotengenezwa na kampuni kubwa ya kiitaliano ya Diadora. Karibuni kwenye tukio kubwa la jezi kubwa za timu kubwa
  8. Beira Boy

    Baada ya jezi za Simba kuvuja Simba wasogeza mbele uzinduzi wa jezi hizo watatu wafukuzwa ali kamwe asema mtu wao hajafukuzwa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Simba wamesogeza mbele uzinduzi wa jezi zao ni baada ya jezi hizo kuvuja Ali kamwe amesema kuwa wana shushushu wao huko ukoloni na watatu wamefukuzwa kuhusiana na hiyo inshu ya kuvuja kwa jezi, lakini shushushu wao hajafukuzwa Bado yupo...
  9. DELETED ACCOUNT

    Ukweli kuhusu jezi za Simba ni huu

    Nitalielezea hili jambo kwa ufupi sana, mengine mtajalizia wenyewe. Nimeacha kuongelea sana soka la Tanzania maana wababaishaji ni wengi, kuanzia viongozi, wachezaji, wachambuzi na waandishi wa habari hadi mashabiki. Kiufupi ni kwamba jezi za Simba zinazoenda kuzinduliwa J5 ni zile zile ambazo...
  10. kavulata

    Kwanini jezi za Simba zizinduliwe Superdome Masaki, 'sisi' wa Msimbazi sio muhimu?

    Wenye fedha ndio muhimu msimu huu hapa Simba. Uzinduzi wa jezi za Simba umewalenga wao tu sisi wa Tandale tusubiri masazo baada ya vibopa kuzivaa kwanza. Hii imetudhalilisha vibaya sana sisi tunaopaka rangi nyekundu usoni viwanjani wakati wa mechi. Naomba matajiri waende kuishangilia timu...
  11. ngara23

    Sina uhakika kama diadora ndo watengezaji wa jezi za Simba

    Nimeona jezi za Simba alizitengeza diadora zikiwa mbaya mno. Nina wasiwasi kama kweli jayrutty alitwambia ukweli kama diadora ndo atakuwa na mashirikiano nae ili wazalishe jezi Bora Diadora ni kampuni kutoka Italia na imejijengea heshima kubwa hasa kuvalisha mastaa wakubwa wa mchezo wa tennis 🎾...
  12. mngony

    Boss wa Kampuni mpya ya kutengeneza Jezi za Simba aliwahi kukamatwa na TAKUKURU na kushtakiwa kwa Utakatishaji fedha haramu na ukwepaji kodi

    Mwaka 2020, Taasisi ya kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU ilimkamata JOSEPH RWEGASIRA SAMSON aliyekuwa amejificha mkoani simiyu na kumshtaki kwa makoaa ya RUSHWA, UTAKATISHAJO FEDHA HARAMU, UBADHIRIFU NA UKWEPAJI KODI YA SERIKALI. Kwa sasa ndio mmiliki wa Jayttu Investiment iliyotangwaza leo...
  13. Waufukweni

    Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

    Kampuni ya JAYRUTTY imeshinda tenda ya zabuni ya utengenezaji na usambazaji wa jezi za Simba SC. Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Bilioni 38,120,400,000 na Kampuni ya JAYRUTTY kwa ajili ya kutengeneza na kusambaza jezi na vifaa vyenye nembo ya Simba. Kampuni ya...
  14. Shanily

    Ali Kamwe aombe radhi yaishe asilete ujuaji wake

    Defamation Haina uzito kwa tz tu kwakua watu wanachukulia poa, lakini kwa nchi za wengine ni bonge la case. sio kosa kuponda jezi za Simba, kosa ni kutaja jina la mtengenezaji na msambazaji. kataja neno sanda ni kuharibu brand ya watu. Sanda ni brand ndomana jina la sanda linasoma kwenye jezi...
  15. GENTAMYCINE

    Tusidanganyane wala Kuficha Uzi wa Yanga SC kwa CAFCL ni mzuri kuliko Wetu wa Simba SC wa CC

    Sijazoea Unafiki na najua kwa huu Ukweli wangu nitachukiwa mno na wasiopenda Ukweli na Wadau wa Unafiki. Yanga SC wametuzidi Simba SC kwa Jezi nzuri katika Michuano ya Kimataifa inayoenda kuanza hivi karibuni.
  16. DELETED ACCOUNT

    Kwanini Taifa Stars hawavai nembo mpya ya Sandaland (SANDA)?

    Wakati Simba ilipozindua jezi mpya ya msimu huu wa 2024-25 na jezi hizo kuja na nembo mpya ya Sanda iliyozua gumzo kubwa, mimi ni mmoja wa watu waliopaza sauti nikitoa hoja na wasiwasi wangu kuhusu kilicho nyuma ya nembo hiyo mpya. Moja ya kitu nilichomalizia kusema mara ya mwisho nilipoongelea...
  17. P

    Viongozi wa Simba vaeni jezi za timu yenu kama hamuwezi vaeni za Yanga.

    Jana tarehe 3/8/2024 ilikuwa ni siku ya Simba day. Ni siku ya pekee kwa wapenzi wa Simba katika kutambulisha wachezaji wapya, bench la ufundi, jezi n.k. Tunajuwa viongozi siku zote wanakuwa mfano, ila hapo unyamani kuna baadhi ya viongozi hawosomeki sijuwi ni hawataki kuonyesha utambulisho wao...
  18. Samia atosha tukutane2030

    Mimi nilijitoa masomo ya sayansi. Hawa wanasayansi wa kujadili jezi za Simba na Yanga tusahau kuona uvumbuzi mpya

    Hello! Sometimes najuta kuacha masomo ya Sayansi mapema sana, ila muda mwingine naona kuwa nilifanya uamuzi sahihi nikiangalia wenzangu waliokomalia hayo masomo ya Sayansi almaarufu physics na Chemistry. Wale niliosoma nao Ordinary level na wakaendelea na masomo ya Sayansi mpaka sasa...
  19. B

    Kama SANDA ndo brand mbona haipo logo ya SANDA kwenye maduka yao?

    Akili kichwani. Hisia moyoni. Vaa usivae utajua wewe mwenyewe,ila kuna mambo yakipuuzi sana simba hivi hawakutazama kwa jicho pili?
  20. realMamy

    Pongezi kwa Timu ya Simba kwa kutoa Jezi nzuri na zenye kuvutia watazamaji na wavaaji pia

    Watu wengi wameandika kuwakosoa lakini hii ni ishara kuwa mmefanya kitu kizuri machoni pa watu. Maboresho mnayoendelea kuyafanya kila Mwaka yanatia matumaini ya kufika mbali zaidi kuliko kutokufanya chochote. Naupongeza uongozi Mzima kwa kuja na kitu kizuri ukiachilia mbali mapungufu madogo...
Back
Top Bottom