jeshi la polisi tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Pongezi na Mapendekezo kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Napenda kutoa pongezi la dhati kwa jeshi la polisi Tanzania kwa kazi kubwa, ngumu, na yenye hatari mnayoifanya kila siku katika kulinda amani na usalama wa wananchi. Huu ni ushuhuda wa jitihada zenu, uvumilivu, na dhamira ya kutekeleza majukumu yenu kwa uadilifu. Hata hivyo, napenda kutoa...
  2. M

    Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

    NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization. Makundi ya kigaidi huteka, huua. Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
  3. H

    Kwa yale yaliyodhihirika kufanywa na Jeshi la Polisi Tanzania, Tuombe Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Lilitangaze Kuwa ni Kundi la Kigaidi

    Kwa yale yaliyodhihirika kufanywa na jeshi la Polisi Tanzania, kuanzia utekaji, mauaji ya maelfu ya wananchi, na Ufukiaji wa miili ya watu waliowaua; Hatua ya kwanza, ni vema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Ulaya, Umoja wa Afrika na SADC, wakatangaza rasmi kuwa kinachoitwa...
  4. Kimbesa11

    Jeshi la Polisi Tanzania litabaki kuwa jeshi bora duniani, hongereni kwa kufanya kazi kizalendo

    Sote tumeona uzalendo na utendaji KAZI mzuri wa jeshi letu la Polisi, tumeona kujituma kwenu katika kulinda na kutetea Mali zetu zisiibwe au kuharibiwa na majangiri kwa kivuri Cha maandamano. Hamkuruhusu majangiri na vibaka waendelee kuchoma moto na kuharibu maduka yetu, popote mlipo mlipigania...
  5. figganigga

    Kumbe Jeshi la Polisi Tanzania ni wepesi kiasi hiki!🤣🤣

    Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana. Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa...
  6. figganigga

    Ni aibu kwa Jeshi la Polisi Tanzania, Kukamata watu na kulazimisha wajiunge CCM

    Salaam Jeshi la Polisi Tanzania, Linakamata watu wa Upinzani then linawalazimisha wajiunge CCM. Ukikubali wanakuachia na ukikataa hupatikani. Polisi wanakuja bila jezi zao za Polisi, wanakukamata(kuteka) na ndugu wakipiga simu wanakana kukukushikilia.. Baadaye wanakuambia kwanini unaunga...
  7. tonicimmobility

    Inauma sana vijana wadogo wanauawa kikatili na Polisi akili zao zipo kulinda wanasiasa na si raia

    Tuna Vyombo vya Ulinzi na Usalama ambavyo suala la Usalama wa Raia kwao siku hizi halionekani kuwa ndo msingi mkuu Jeshi la wananchi mpaka mmeitwa jeshi la wananchi maana yake mkisema muwatoe wananchi ninyi sio jeshi tena, hamjaitwa jeshi la wanasiasa, hamjaitwa jeshi la serikali, hamjaitwa...
  8. Waufukweni

    GE2025 DCP Misime: Jeshi la Polisi litawalinda wapiga Kura wote Oktoba 29, 2025

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amewahakikishia wananchi kuwa jeshi hilo limejipanga kikamilifu kuhakikisha amani na usalama wakati wa uchaguzi mkuu. Amesema wananchi wanapaswa kwenda kupiga kura bila hofu kwani kila hatua ya mchakato imetiliwa mkazo katika kulinda usalama...
  9. tonicimmobility

    Zaidi ya askari 4,000 wasambazwa mtaani kulinda amani ya Tanzania

    Jeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii. Msemaji wa Jeshi hilo, DCP David Misime, amesema zaidi ya askari 4,000...
  10. R

    GE2025 Polisi: Tutahakikisha Kampeni zinafanyika kwa amani kwa kushirikisha wananchi ili kuzuia uhalifu

    Wakuu Mikakati ya Jeshi la Polisi na Amiri Mkuu wa Jeshi mmeielewa? ------------- Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, DCP David Misime, amesema jeshi hilo limejiandaa vizuri kuhakikisha katika mchakato mzima wa uchaguzi, linakuwa na mikakati thabiti ya kuhakikisha amani, utulivu na usalama...
  11. Waufukweni

    Polisi Tanzania wajengewa uwezo kwa kupatiwa mafunzo ya kisasa nchini Scotland

    Katika kuhakikisha Jeshi la Polisi Tanzania linaendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wananchi, limeendelea kuwekeza katika mafunzo ya ndani na nje ya nchi kwa maafisa na askari wake, lengo likiwa ni kuboresha utendaji kazi na huduma kwa wananchi katika ulinzi wa maisha na mali zao Mmoja...
  12. Waufukweni

    Picha: Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) yashiriki uzinduzi Kanisa la Mwamposa

    Wakuu! Nimewaletea hapa picha ya Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) na wenyewe wameshiriki uzinduzi Kanisa la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa.
  13. Samia atosha tukutane2030

    Ifike wakati jeshi la polisi Tanzania lione aibu

    Haya ndiyo matumizi mabaya ya mitandao?👇👇
  14. Mzalendo2015

    Waziri wa Mambo ya ndani Mhe. Bashungwa ajiuzulu mara moja

    Nakumbuka miaka 1970s hapa Tanzania kulitokeza matukio yalosababisha mauaji ya mamia ya Watz wasio na hatia kwa madai kuwa ati walikuwa ni waganga wa kienyeji, wachawi na majambazi! Lawama za mauaji hayo zilielekezwa kwa Jeshi la Polisi wakti huo Waziri wa Mambo ya Ndani akiwa Marehemu Mzee...
  15. mshale21

    Kwa aina ya ukamataji wa jeshi la polisi Tanzania, ni wazi wanakaribisha vitendo vya kiharifu nchini

    wakuu, kwa mtindo wa ukamataji wa jeshi la polisi, ni wazi kabisa wanakaribisha matendo ya kiharifu nchini, maana huwezi kuwa na uhakika kuwa huyu ni askali polisi kweli au kibaka. Nadhani , ni wakati muafaka kwa jeshi la polisi kukaa na kujitasmini kama ukamataji wa watuhumiwa unafuata...
  16. Carlos The Jackal

    Hivi Kitengo Cha Forensic Criminology Jeshi la Polisi Tanzania kazi yake ni nini hasa?. Mbona hawaonekani kwenye Matukio ?

    Chukulia Tukio la Mdude, mlango umevunjwa, Wamempiga, lazima Kuna traces walizoacha . Mzee Kibao , Sativa , KITIMA na wengineo ambao walipatikana wakiwa hai au Kufa. SIJAWAHI ONA KWENYE MITANDAO POLISI WA TANZANIA , KITENGO CHA FORENSIC ,WAKIFANYA KAZI. Sana sana, watafika, wabebe mwili...
  17. Elisante Yona

    Majukumu na Kazi za Jeshi la Polisi Tanzania

    1. Polisi Tanzania (PT) ni chombo cha Muungano wa Tanzania kilichoundwa ili kuhakikisha usalama wa rai na mali zao, kudumisha Amani na utulivu katika jamii. 2. Kuzuia, kubaini, na kupambana na uhalifu, Ni chombo cha Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kilichopewa mamlaka na wajibu wa...
  18. kipara kipya

    Mfumo wa Jeshi la Polisi Tanzania wa kuzuia matukio hatarishi ni wa kipekee Afrika wa kupongezwa sana

    Jeshi la polisi Tanzania lipo imara katika kuzuia viashiria vyovyote vya uvunjifu amani maarufu (intelejensia)..mfumo wao ni wa kipekee barani Africa nchi nyingi zimekumbwa na machafuko sababu ya polisi kuwasubiri wahuni wawe wengi wawaondoe mwisho wa siku hushindwa nguvu... Lakini jeshi letu...
  19. Megalodon

    Jeshi la Polisi Tanzania kwenye Ukarimu wa Uovu (The Banality of Evil )

    MOSSAD ( Israel Foreign Intelligence Agency ) inapata taarifa juu ya Adolf Eichmann- kiongozi wa Utawala wa Nazist ambae alijificha Agerntina kwa miaka mingi .Adolf alikuwa ni Supervisor kwenye Mauaji ya Mayahudi ( Holocaust) . Chap MOSSAD chini Peter Malkin inafanya international Espionage...
  20. robbyr

    Barua ya Wazi kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa heshima, Kiongozi wa Jeshi la Polisi Tanzania, Makao Makuu, Dar es Salaam. Mpendwa Kiongozi, Natumai barua hii inakukuta salama. Ningependa kuchukua fursa hii kuungana na wenzangu katika kujadili suala la ulinzi na usalama nchini Tanzania. Kwanza kabisa, napenda kuwapongeza kwa...
Back
Top Bottom