jeshi la israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Jeshi la Israel lasambaza video ya kuendelea kutukumbusha waliweza kumbamiza Ayatollah na viongozi wengine 40 ndani ya sekunde 40 tu

    Tusijisahau sana SEKUNDE 40 zilitosha kwa Israel kuwabamiza VIONGOZI 40 (Akiwemo Ayatollah) Tafsiri : Unaweza kufanya nini ndani ya sekunde 40 ? Unaweza kumimina maji kwenye glasi, unaweza kuvaa viatu, unaweza kuandika barua pepe, unaweza kujipulizia manukato, Kwa jeshi la Israel, sekunde...
  2. R

    Jeshi la Israel yadai kumuua Kamanda wa kikosi cha Basij ya Iran (IRGC)

    Jeshi la Israel limedai kupitia chapisho kwenye mtandao wa X leo, kuwa limemuua kamanda wa kikosi cha Basij, ambacho ni kundi la kijeshi la usalama wa ndani chini ya Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC). “Tukiongozwa na taarifa sahihi za kijasusi kutoka Idara ya Ujasusi wa Kijeshi, Jeshi la...
  3. R

    Jeshi la Israel limesema limemuua kamanda wa ujasusi wa Hezbollah, Hussein Makled

    Jeshi la Israel limesema limemuua kamanda wa ujasusi wa Hezbollah, Hussein Makled. Kwa mujibu wa jeshi hilo, Makled — aliyekuwa mkuu wa makao makuu ya ujasusi wa Hezbollah — aliuawa katika shambulio maalum lililofanywa usiku kucha katika mji mkuu wa Beirut. Hadi sasa, hakujakuwa na tamko rasmi...
  4. R

    Video: Jeshi la Israel ikishusha Makombora Gaza

    Jeshi la Israel ilifanya Mashambulizi kwa kushusha Makombora Gaza baada ya kutangaza na kutoa onyo Septemba 9, 2025 kwa Wapalestina kuhama na kuondoka kwenye makazi kwani watafanya mashambulizi huku Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kudai ndo mwanzo wa vita Source: AP NEWS
  5. R

    Video: Mji wa Gaza kabla na baada ya Vita inayoendelea hadi sasa

    Video hii inaonyesha Muonekano wa Mji wa Gaza July 2023 kabla ya Mashambulizi ya Jeshi la Israel kwenye Mji huo Septemba 1, 2025. -------------------- As Israeli bombardment intensified and expanded in scope, journalist Motaz Azaiza shared a video of a main road in Gaza City, showing a...
  6. Jackal

    Jeshi La Israel, IDF,Sasa Hivi Latumia "Suicide Drones" Kuua Magaidi Wengi Wa Hamas Huko Gaza

    Mytake:Sasa wavaa vipedo, misuli na makobazi wanapigwa kotekote,ardhini,majini na angani. ..... The IDF revealed a shift in Gaza warfare: suicide drones now kill most Hamas terrorists. The “Atalef” drone is standard issue across ground forces, with platoons equipped with their own intel drones.
  7. U

    Jeshi imara lenye weledi mkubwa la IDF kupeleka ndege za kijeshi kuisaidia kuzima moto mkubwa huko nchini Cyprus you

    Mungu ibariki IDF kwa moyo wa huruma. Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Gideon Sa’ar, pamoja na mwenzake wa Cyprus, Constantinos Kombos, “wanaendelea kuwasiliana kwa karibu na mara kwa mara kuhakikisha kuwa msaada unafikishwa na kutumika haraka iwezekanavyo,” imesema wizara hiyo. “Israel...
  8. R

    Jeshi la Israel yashambulia Vituo vya Shirika la Afya Duniani (WHO), Gaza

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limelaani vikali mashambulizi dhidi ya jengo lililokuwa na wafanyakazi wake mjini Deir al Balah, Gaza. Mashambulizi hayo yalifanyika baada ya jeshi la Israel kutoa amri mpya ya uhamishaji. WHO imesema wafanyakazi na familia zao, wakiwemo watoto, walikumbwa na hatari...
  9. The Zanzibar Echo

    Jeshi la israel lasema limewaua wanasayansi tisa wa masuala ya nyuklia wa Iran

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) linasema limewaua wanasayansi na wataalamu tisa wa nyuklia wa Iran. Hapo awali, jeshi la Israel lilisema liliwaua sita katika wimbi la kwanza la mashambulizi dhidi ya Iran usiku wa Alhamisi. Israel sasa inasema kuwa wanasayansi hao tisa waliuawa “mwanzoni mwa...
  10. W

    Orodha ya viongozi na wanasayansi waliouawa na viwanda vya nuclear vilivyoharibiwa na Israel

    Mashambulizi haya yametikisa misingi ya ulinzi wa Iran, uu si mzozo wa kawaida, ni vita ya akili, ujasusi na teknolojia. Ndani ya lisaa pekee usiku wa manane Israel waliweza kushambulia viongozi wakuu wa majeshi ya Iran na wanasanyansi wakubwa wa nuclear, Israel haipigani vita, Inajilinda...
  11. Echolima1

    Kwa mara ya kwanza meli za vita za Israel zashambulia Bandari 3 zinazomilikiwa na Wahouthi

    Meli za jeshi la wanamaji la Israel zimeshambulia bandari ya mji wa Hudaydah, ambao iko chini ya udhibiti wa waasi wa Houthi nchini Yemen. Jeshi la Israel imesema kuwa mashambulizi hayo yalifanywa ili kujibu kwa makombora ya Houthi yaliyolenga Israel, na yalilenga kusitisha matumizi ya bandari...
  12. U

    Makomandoo wa Hamas wavamia battalion ya Jeshi la Israel waua wanajeshi 3 huko Gaza, 2 wajeruhiwa vibaya

    Wadau hamjamboni nyote? Three Israeli soldiers were killed and two were wounded by an explosive device during operations in northern Gaza’s Jabalia yesterday evening, the military announces. The slain soldiers are named as: Staff Sgt. Lior Steinberg, 20, a combat medic, from Petah Tikva...
  13. Dalton elijah

    Jeshi la Israel IDF linajitayalisha Na "shambulio Ambalo Halijawahi Kushuhudiwa". Tangau Kuanza Kwa Vita

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameelezea kuwa Israeli itaendelea kudhibiti Gaza nzima licha ya shinikizo la kimataifa ambalo linaitaka kuondoa kizuizi cha vifaa vya misaada ambacho kimeiacha eneo hilo ukingoni mwa njaa. Jeshi la Israeli, ambalo limetangaza kuanza kwa operesheni mpya limewaonya...
  14. Ritz

    Vikosi vya Al-Qassam:Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa Jeshi la Israel

    Wanaukumbi. BREAKING: Al-Qassam Brigades: Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun. ================ BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam: Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na...
  15. Echolima1

    Tukiwaambia jeshi la Israel lina mkono mrefu muwe mnaelewa!

    KIPONDO CHA NGUVU 🔴 Kamanda wa Hezbollah Ali Kaid Hashem katika kijiji cha Khania, kusini mwa Lebanon. Kakoswa na kombola la kwanza kaamua kukimbia lakini akakutana na bomu la pili ambalo hakuweza kupona aliangamizwa palepale bila huruma. https://x.com/osint613/status/1914638512684458055?s=61
  16. Webabu

    Marubani 1000 wa jeshi la Israel wasaini waraka wa kupinga vita.

    Ni uhakika kuwa nguvu kubwa ya jeshi la Israel ipo kwenye mapigano ya angani kwa kutumia ndege za teknolojia za kisiasa kuwapiga inaoamini ni maadui zake. Jumla ya marubani wa ndege hizo wengi wao wakiwa ni wastaafu wamesaini waraka kupinga kuendelea kwa vita ambavyo wameona havijafikia malengo...
  17. U

    Jeshi la Israel lasalimu amri na kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake na kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  18. U

    Jeshi la Israel kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake, kuwa kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  19. and 100 others

    26 Oktoba 2024, Usiku Wa Kutisha na Usiosahaulika Kwa Marubani Wa Jeshi La Israel

    Hii ni siku ambayo jeshi la Israel waliamua kwenda kufanya mashambulizi ya anga nchini Iran kama kulipiza kisasi baada ya mashambulizi yaliyofuatana ambayo Iran iliita 'true promise one' na 'true promise two'. Naomba nisielezee sana huko, story itakuwa ndefu, ningependa niende kwenye mada moja...
  20. U

    Jeshi la Israel yaani IDF halina utani, lafanya shambulizi kali la kutokea angani huko Syria kwenye mji wa pwani ya Latakia,

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za hivi punde za motomoto zinasema IDF wamefanya shambulizi kali la anga huko Syria Mlengwa hajajulikana bado ila naahidi kuwa nitawajuza nani kaliwa kichwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki nyumba ya Yakobo The Syrian National News Agency...
Back
Top Bottom