Meja generali mstaafu Yitzhak Brik amesema sio kweli kwamba wapiganaji wa Hamas wamedhoofishwa baada ya vita vya miaka miwili.
Meja huyo amesema hata kama viongozi wote wakuu wa Hamas wameuliwa lakini kinyume na madai ya IDF,wapiganaji hao wamejikushanya upya na kurudi idadi yao ile ile au...
Tako jana majeshi ya Israel yalikuwa yakitoa maelekezo kwa raia wa Gaza kutulia ndani ya majumba/Mahema yao huku wakisubiri maagizo mengine kutoka ngapi za juu za majeshi ya Israel.
Mchana wa leo hii Majeshi ya Israel yametoa amri raia wema waondoke maeneo hayo waelekee kaskazini mwa Gaza na...
Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) kwa lugha ya Kiarabu, Kanali Avichay Adraee, ametoa onyo kwa raia wa Yemen walioko karibu na bandari za Ras Isa, Hodeidah, na as-Salif kuondoka katika maeneo hayo kuanzia Jumapili jioni hadi taarifa nyingine itakapotolewa.
Adraee alisema:
"Kutokana na...
IDF imewaita makumi kwa maelfu ya askari wa akiba kabla ya upanuzi mkubwa wa mashambulizi yake Gaza.
Hatua hiyo ya kijeshi iliyoidhinishwa na Waziri Mkuu Netanyahu, inakuja ikiwa ni sehemu ya mpango mkubwa zaidi wa kuzidisha operesheni huko Gaza kwa lengo la kuishinda Hamas na kuachiliwa huru...
Moja ya maajabu ya dunia nayo endelea kushuhudia na dunia inayo endelea kushuhudia ni jeshi la Israel(IDF) ni kuendelea kupigana na Hamas mpaka leo toka 2023 mpaka sasa 2025.
Pamoja na hali ya kutisha ya uharibifu inayo endelea Gaza bado jeshi la Israel halijatimiza lengo hata moja lililo...
Wadau hamjamboni nyote?
Sajenti wa IDF Yosef Haim Tzvi Serlin, mwenye umri wa miaka 19 kutoka Jerusalem, alianguka wakati wa mazoezi ya kivita na Kitengo cha 504 kaskazini mwa Israel siku ya Jumatano na baadaye alifariki, jeshi limetangaza.
Mwanajeshi huyo alipewa matibabu papo hapo na...
Magari aina ya Toyota Pick-Up ya Red-cross yaliyotolewa kwa ajili ya zoezi la ubadirishanaji Mateka na baada Magaidi wa Hamas kuyang’ang’ania na kuanza kuyatumia kwenye shughuli za kigaidi leo Jeshi la anga la Israel limeyaangamiza 20 na mengine bado yanasakwa popote yalipo huko Gaza!!
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema kwamba rasmi wa Hamas aliyekuwa akilengwa, Ismail Barhoum, alikuwa waziri mkuu mpya wa Gaza. Katz alithibitisha kuwa Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) "limefanikiwa kumuangamiza" Barhoum katika shambulio lililofanyika...
Wadau hamjamboni nyote?
Kazi ya kuua Viongozi wa magaidi ya Hamas imeanza upya huko Mashariki ya kati kwa vifo vya makamanda 2 waandamizi
IDF na Shin Bet wametangaza kuwa maafisa wawili waandamizi wa Hamas wameuawa katika mashambulizi ya anga katika Ukanda wa Gaza.
Mmoja wao ametajwa na jeshi...
IDF imethibitisha kufanya shambulio la anga katika mji wa pwani wa Sidon, Lebanon, asubuhi ya leo, na kumuua kamanda mwandamizi wa Hamas.
Shabaha ya shambulio hilo, Mohammed Shaheen, alikuwa mkuu wa operesheni za Hamas nchini Lebanon, kwa mujibu wa jeshi na Shin Bet.
IDF inasema Shaheen...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Iran kupitia Jeshi lake la irgc wameanza kuwapelekea Fedha magaidi ya Hezbollah kupitia uwanja wa ndege wa Beirut
===============
Iran’s IRGC Quds Force has been smuggling cash to the Hezbollah terror group in Lebanon via the Beirut international airport in...
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kuanzisha operesheni mpya katika Hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Gaza, baada ya kugundua kuwa wapiganaji wa Hamas wamerudi eneo hilo.
IDF ilieleza kuwa hospitali hiyo imekuwa ngome kuu ya wanamgambo wa Hamas na imetumika kwa shughuli zao tangu...
Shambulio la alfajiri ya leo, la jeshi la Israel, tunaambiwa limehusisha ndege 100. Ndege zimeshambulia, na zote zimerudi salama. Ina maana, jeshi la Iran limeshindwa kudungua hata ndege moja ya Israel. Jambo kama hilo la kwenda kumshambulia adui yako kwa ndege, sidhani kama Iran inaweza kuthubu...
Wanaukumbi.
BREAKING: Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa.
Huku ni kushindwa kwa aibu.
Chanzo: Channel 11/Kann News
=========================...
Hii video niliitizama Oct 2023, kipindi Israel inajiandaa kufanya mashambulizi Gaza kama retaliation ya Oct 7.
Nikaipuuzia, baadae baada ya kusikia mauaji ya watu karibu 40K nikaitafuta kwenye chanzo youtube nikakuta imefutwa.
Kwa kile wanachosema watu hapa kwamba Hamas ni human shield, kwamba...
Wadau hamjamboni nyote? IDF inaendelea na majukumu yake bila kupoa
MUHAMMAD KAMEI NAIM Kamanda Mkuu kitengo cha makombora ya kulipua vifaru cha Hezbollah ameliwa kichwa muda mfupi uliopita
Mungu ibariki Israel
=========
IDF says it killed head of elite Hezbollah anti-tank missile array...
Taarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel.
Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic...
Wadau hamjamboni nyote?
Jeshi la Israel laagiza kuwa wakazi wa vijiji 22 vilivyoko kusini mwa Lebanon kuondoka kwenye makazi yao mara moja na kamwe wasithubutu kurejea huko kwa Usalama wao
Kazi ya kuwashughulikia magaidi wa Hezbollah kwenye maeneo hayo ya vijiji kusini mwa Lebanon inaendelea...
Mimi na familia yangu leo ifikapo saa mbili kamili usiku tutakuwa sebuleni tukiangalia makala maalum iliyoandaliwa na kitengo cha utafiti wa habari cha Al Jazeera (Al Jazeera Investigation Unit) kama kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kuanza kwa vita baina ya Palestina na israeli.
Katika makala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.