Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ya Wachezaji wa ndani imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2025 kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5-6 dhidi ya Sudan.
Tanzania licha ya kufunga goli 1-0 lililofungwa na Crispin Ngushi dakika ya 33 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kutokana na kupoteza...