jasho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je ni Heri kuvaa Suti ya Bei wakati una Jasho, unanuka na kuwashwa au bora ununue Sabuni uoge na kuvaa Lubega yako ?

    Better one Step with the People than 10 Steps Without...
  2. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe ndiye aliyepambania Uhai wa Lissu kwa Jasho na Damu Mpaka Kumvushia Nairobi Kenya lakini leo Lissu anampaka matope na kumuona hafai

    Ndugu zangu Watanzania, Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana yaani wale ambao waliwasaidia kwa jasho na Damu lakini Mwisho wa siku wamegeuka na kubakia Maadui...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kutokwa na jasho jingi

    Habar gan wakuu Nimekuwa nikisumbuliwa na hali ya kutokwa na jasho jingi hata kukiwepo na barid, tangu umri wa barehe mpaka leo miaka kama 10 imepita kwa anaejua hilo msaada pls
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe ametumia ujana wake wote kuitesekea CHADEMA kwa jasho na machozi

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwamba apewe Maua yake tu,apewe heshima yake tu.Atambulike na watu wote angali hai kuwa ndiye Mwamba aliyetumia ujana wake wote Kuitesekea na kuijenga CHADEMA kwa jasho na Machozi.Ametumia Muda wake wote kwa ajili ya chama. Inasikitisha sana unapoona Mwana CHADEMA...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

    Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe. Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha...
  6. JamiiForums Tanzania Profesa Jay machozi jasho na damu

    PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU VERSE..1 Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa kama ya wanyama/ hiki ninachosema kila jicho linaona/ nina futa chozi la mnyonge kilio cha kila kona/...
  7. JamiiForums Tanzania Wazee naombeni msaada, mwili wangu unatoa sana jasho tiba ni nini?

    Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake muwe mnathamini jasho la waume zenu

    Kuna baadhi ya wanawake wenye tabia ya kutothamini jasho wala kuhurumia nguvu za waume zao. Watanzania walio wengi kipato chetu ni cha kuunga unga ili kipato chako kikuwezeshe kutimiza mahitaji ya familia yako na wakati huo uweke akiba kwa ajili ya kesho kunahitaji mahesabu ya hali ya juu sana...
  9. JamiiForums Tanzania Sheikh Qassem: akihutubia kwa woga na akitokwa jasho. Nadhani Israel sasa isitishe hii operation

    Maneno anayoyatoa na vitendo ni tofauti kabisa. Anaonekana kabisa akiwa ana khofu kubwa sana. Inasemekana hapo akiwa amejificha mbali sana. Hakuna AC na hakuna Ventillation. Anaishi kwa wasiwasi na mateso makubwa. Ukimtizama anaonekana kujawa woga,khofu na wasiwasi. Nadhani Dunia ikemee Israel...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mbona miili yenu haitoi jasho, mna AC mapafuni

    Nina siku kadhaa nikikaa tu mahala kupata safari lager, watu laZima waniulize bro vip umetoka mkoa? Nasema hapana Wanasema unavyotoka jasho hivi wewe ni wa mkoa nami naamua kukubali. Jua na joto la Dar linachoma kama pasi, lakini watu miili mikavu wala hawajali wapo kawaida, nashangaa hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…