Shalom,
Ndugu zangu January Makamba na Nape Nnauye kwa niaba yangu mimi na wenzangu wengine na wanachama wa CCM, sisi baadhi yetu bado tunawapenda na tuna imani kubwa nanyi na mioyo yetu bado iko na Nuru juu yenu, siasa ni sawa na mchezo wa basketball substitutions ni muda wotewote na hata...