jamiiforums kufungiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    TCRA mmepata faida gani kuifungia JamiiForums? Acheni kuwa na maamuzi ya mihemuko

    Bonge wa Zimbabwe mwenyewe alipost picha akiwa na Mama. Rostam alikiri kununua mgodi wa makaa ya mawe. Tulitumia VPN na tukawa tunaingia bila tatizo JamiiForums. Vpn ni salama zaidi kuliko hata hivi mlivyofungua.
  2. JamiiForums

    Salamu za Shukrani kwa Wanachama wa JamiiForums

    Kufuatia zuio lililotolewa Septemba 6, 2025 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa siku 90, member wa JF, Mshana Jr alianzisha uzi...
  3. Rayns

    Me niko Poland, we uko wapi?

    Wakuu habari zenu, najua tunapitia mengi ila ni afadhali tunapumua... Unajua hizi siku 90 za JF kupigwa ban na TCRA, Jana nilikaa nikawaza sana… nikasema siwezi kabisa kukaa TZ kimya bila JF. Hivyo jana usiku ikanibidi nifanye safari ya ghafla kwenda Poland kwa jamaa yangu mmoja hivi Huku...
Back
Top Bottom