jaji mutungi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    GE2025 Jaji Mutungi: Mkafanye kampeni za kistaarabu, mtaambiwa uchaguzi haupo, msikate tamaa

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na mshikamano wa kitaifa. Kwa hali ya...
  2. Carlos The Jackal

    Jaji Mutungi : Awamu hii Mahakama yenyewe imekubali Shauri la Mch Dkt Malisa dhizi ya CCM, hili tu la kukubali kusikiliza Kesi, Haliwatii Aibu?

    Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!! Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??. NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
  3. Carlos The Jackal

    Jaji Mutungi, Msajili wa vyama vya Siasa, ulipo huoni Aibu wee Mzee? Tazama CCM wanavyokuumbua , umegeuka kua Muhuni katika Tanzania ya Wasomi!!

    Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa. Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA. Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
  4. I

    PreGE2025 Rais wa TLS Adv Mwabukusi amkaanga Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi

    Akitolea mfano kutoka NCCR Mageuzi alizungumzia jinsi Ofisi ya Msajili inavyohusika kuvuruga Vyama vya kweli vya upinzani, sasa tunashuhudia kinachoendelea CHADEMA, ambapo amesema; "Shetani hawezi kumfukuza Pepo, hakuna Ufalme unaojifitini. Msajili anajua kwanini Vyama vipo." "Nimekuuliza...
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Jaji Mutungi: Mataifa mengi yamekuwa na Chaguzi na kuishia na vurugu lakini Tanzania ni Kinara wa Amani

    Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi amewataka Viongozi wa vyama vya kisiasa kutumia mafunzo ambayo Ofisi yake imewafunda kwa ajili ya kujenga mtazamo mpya na chanya, ambapo muktadha wake ukiwa kudumisha amani iliyopo hapa nchini. Akizungumza Leo Mei 5 na Viongozi wa vyama vya siasa...
  6. B

    PreGE2025 Jaji Mutungi: Lissu na "no Reforms no Elections" hawajafanya kosa lolote kisheria

    Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi: --- Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa asema tayari hatua zimechukuliwa dhidi ya Amos Makalla kuhusu CHADEMA kununua virusi vya M-pox na Ebola

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa majibu kwa chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla. Katika barua yake, Msajili ameeleza kuwa tayari ofisi yake ilishachukua hatua...
  8. Mindyou

    PreGE2025 Gharama ya Usajili wa Vyama vya Siasa Nchini

    Ofisi ya msajili wa Vyama vya Siasa nchini inadaiwa kuongeza gharama za usajili kwa asilimia 9,900, gazeti la JAMHURI limeelezwa. Awali, gharama za usajili zilikuwa ni Sh 25,000 kwa usajili wa muda na Sh 50,000 tu kwa usajili wa kudumu, lakini sasa taarifa zinadai kuwa gharama wa muda...
  9. Librarian 105

    Jaji Mutungi: ni kweli bila shaka katiba mpya haitatekwa na wanasiasa?!

    Alitoa kauli hiyo baada ya ofisi yake ya msajili wa vyama vya siasa kuelekea kukutana na baraza la vyama vya siasa nchini (bila ushiriki wa Chadema). Kujadili hatua za mwanzo za utekelezaji wa agizo la Rais la kuagiza kuanza kwa mchakato wa katiba mpya. Rais Samia alimtaka kuitisha mkutano...
  10. Deogratias Mutungi

    USHAURI: WanaJF tuwe na sehemu ya kuwasilisha maoni yetu ya Katiba pendekezwa kwa Jaji Mutungi?

    Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
  11. J

    Mnyika: Msajili Jaji Mutungi ameitisha kikao cha Makundi mbalimbali kujadili Katiba Mpya 26/5/2023, Sisi CHADEMA hatutaenda Hatuna Imani naye!

    Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika anesema amepokea Barua Kutoka kwa Msajili wa vyama vya Siasa Jaji Mutungi ikiwaalika kushiriki Mkutano wa kuratibu Katiba Mpya Mnyika amesema Serikali imeamua Mutungi ndio ayaunganishe makundi yote nchini yaani Wafanyabiashara, Wasanii, Wakulima, Wafugaji...
  12. BARD AI

    NCCR Mageuzi wamuomba Rais Samia kumfukuza kazi Jaji Mutungi

    Chama cha NCCR-Mageuzi, upande wa Mwenyekiti James Mbatia umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wakidai inashindwa kutekeleza majukumu yake kwa weledi ikiwamo kusuluhisha mgogoro unaoendelea ndani ya chama hicho. Chama hicho...
  13. Q

    Jaji Mutungi: Mkutano wa leo Sio mkutano wa Rais na Vyama vya Siasa ni mkutano wa Wadau wa Siasa, Rais anakuja kuufungua tu.

    Baada ya Chadema kuususia na kuonyesha msimamo Msajili kabadili gia angani, kwa hiyo Chadema walikuwa sahihi kwa vile wao waliandika barua ya kuonana na kuzungumza na Rais sio kuhutubiwa na rais. ====================== “Mkutano wa kesho ulioitishwa na Baraza la vyama vya siasa sio mkutano wa...
  14. J

    Jaji Mutungi: Kesi ya nyani huwezi kumpelekea ngedere ndio maana mkutano wa vyama vya siasa utaongozwa na mtu huru

    Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema mkutano wa Wadau wa siasa utafanyika tarehe 21/10/2021 na utaongozwa na mtu/taasisi huru. Jaji Mutungi amesema ili kuepuka lawama za wale wanaomlalamikia IGP au wale wanaodhani Msajili ana makandokando fulani ndio maana wameamua mkutano huo uwe...
  15. Hismastersvoice

    Jaji Mutungi, kama sheria ipo lakini kuna msuguano wanaosuguana hawasuluhishwi

    Kitendo cha kuvitaka vyama vya siasa vikutane na jeshi la polisi kupata usuluhishi kuhusu haki ya kufanya siasa ni kukwepa wajibu wako, vyama husika vipo kisheria na viliposajiriwa vilipata maelekezo yote ya kikatiba, sidhani kama vilipata maelekezo ya kutokufanya siasa bila ya makubaliano na...
  16. Analogia Malenga

    Jaji Mutungi: Sijazuia mikutano ya ndani ya kisiasa ya vyama

    Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi amesema kauli yake aliyoitoa wali katika mkutano wake na waandishi wa habari Dodoma ilipotoshwa Amesema hajazuia mikutano ya ndani ya vyama vya siasa bali ameshauri vyama vya siasa kujizuia kufanya mikutano ya ndani kwa wakati huu...
  17. Erythrocyte

    Jaji Francis Mutungi atangaza kuzuia Mikutano na Makongamano ya Vyama vya Siasa kwa muda kutafuta suluhu

    Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania, Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na CCM baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana. Kwa wasiojua katiba ya nchi, Francis...
Back
Top Bottom