jaji mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mkuu Ibrahim Juma ametugeuka sasa anapotaka Magereza yaongezwe nchini

    Mapendekezo yetu siku zote sisi wananchi, Azaki, activists na vyama yapo wazi kabisa sio kuongeza Magereza kila wilaya hapana. Nakumbuka hata wewe Jaji Mkuu umekuwa ukiyapigilia msumari mapendekezo mahususi ya kutatua changamoto ya msongamano wa wafungwa na Mahabusu katika magereza yetu uliwahi...
  2. K

    Jaji Mkuu anapaswa kuomba Magereza yaongezwe au anapaswa kusaidia kupunguza mahabusu Magereza?

    Ukishangaa ya Musa utastaajabu ya firauni, nchi hii tunazidi kupoteana na Kama siyo kupoteana Basi tunazidi kuzama. Unapomsikia Jaji Mkuu akaiomba Magereza yaongezwe lazima ushangae, maana Magereza yaliyopo sasa yamejaa mahabusu. Badala akae na Watumishi wa mahakama wajadili kupunguza mahabusu...
  3. B

    Kufika Mahakamani ni Haki yetu, si kosa Kisheria

    Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria: Vitisho hivi ni vya nini? Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi. Tuna hata haja ya kutunishia misuli? Jambo moja la hakika, hatutakuwa...
  4. K

    Namshauri Jaji Mkuu ajiuzulu

    Kinachofanyika mahakamani kwa miezi mitatu mfululizo ni ishara kwa muhimili wa mahakama kushindwa kutekeleza wajibu wake na kutekeleza maelekezo ya serikali. Kwa kuwa mkuu wa muhimili wa mahakama ni yule yule aliyekuwepo wakati watu wanaonewa na kubambikiwa kesi na kwa kipindi chote hicho...
  5. Jaji Mkuu Martha Koome amemuonya Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya kuingilia shughuli za mahakama

    JAJI MKUU NCHINI KENYA AMUONYA RAIS Jaji Mkuu Martha Koome amemuonya Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya kuingilia shughuli za mahakama na kutoheshimu sheria za nchi. Jaji Koome amemhimiza Rais kuwateua majaji 6 aliowaacha nje,wakiwemo wawili waliopinga muswada wa kubadili katiba wa BBI. ==== Chief...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…