jaji hamidu mwanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Hamidu Mwanga akataa kujitoa kwenye kesi ya CHADEMA

    Jaji Hamidu Mwanga, anayesikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, amesema kwamba anakataa kujitoa kama ilivyoombwa, kwa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kuomba mapitio ya uamuzi wa Jaji Mwanga

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijaridhishwa na uamuzi uliotolewa na Jaji Hamidu Mwanga wa Mahakama Kuu wa kusitisha shughuli za chama hicho, kikisema kitaomba mapitio ya shauri hilo, huku pia kikiomba jaji huyo ajitoe kwani hawana imani naye. Katika uamuzi huo...
Back
Top Bottom