Habarini,
Hatimae baada ya Jackline Mengi kuzungushana na kina Regina mahakamani kuhusu masuala ya mirathi, sijui mwishowe alifikia makubaliano gani na kina Regina na Abdiel Mengi, I think sahivi kwenye swala la pesa she's set for life, nafikiri anatumiwa pesa kila mwezi kwa ajili ya child...