itikadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya tishio ya jihadi ya itikadi ya msimamo mkali, tishio lingine ni kutoka mataifa ya magharibi, wanaitwa LIBERALS.

    Hawa ndio wanao-force watoto wenu wasome vitabu vyenye details za kishoga shoga mashuleni. Hawa ndio wanaoforce uwezekano wa kumbadili mtoto wako jinsia ukihisi tu ana elements za jinsia ambayo sio alionayo. Hawa ndio wanao -force mwanamke afanye abortion kwa namna na wakati wowote aupendao...
  2. Iran aliapa kuwa mfalme wa jihad duniani, sultan wa msimamo wa itikadi kali na mshindi wa chuki dhidi ya mamlaka za kikristu, kihundu na kiyahudi.

    Basi kwa namna hio aliandaa kimya kimya njia za kutetemesha mamlaka ambazo hakuzipenda. Alifadhili machafuko kwa namna ambayo hakuonekana alihusika na walileta maafa makubwa. Kila mkono wa ugaidi duniani haswa wa kutoka mashariki ya kati unashikwa na Irani kwa asilimia zaidi ya 65% Mamlaka ya...
  3. Nakuambiaje, hii leo Israel abadirishe dini na awe muislam, hautakuja kuona mabango ya free palestine. So the issue ni itikadi wala sio haki ya ardhi.

    Niambie ni lini mwenyaaazi wa JF waliwahi kuandika nyuzi kama hizi ku-condemn yafuatayo👇🏻👇🏻 Ushawahi kusika free sudan? Ushawahi kusikia free syria? Ushawahi kusikia free yemen?
  4. Tubishane kwa Hoja na Itikadi za Vyama Vyetu, Kwenye Masuala ya Msingi Kama Taifa Tusimame Imara Kama Mwamba

    Nchi Yetu Tanzania Kupitia Katiba yetu tumeruhusu mfumo wa Vyama vingi na Uchaguzi wa Kwanza wa Mfumo wa Vyama vingi tumeanza 1995 Toka miaka hiyo tumeshuhudia minyukano ya kisera na kiitikadi kwenye Vyama vyote Pia tumeshuhudia minyukano ya wanasiasa na Wanaharakati kwenye medani za Kisiasa...
  5. Jana Mbunge wa Kenya kauliwa na huku kwetu kiongozi wa kidini kavamiwa. It makes you wonder kwamba je wewe mpambanaji wa kawaida what worst can happen

    Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao. Nawatakia Amani ndugu zangu.
  6. Kabla ya kuingia itikadi ya msimamo mkali Mashariki ya Kati ilikuwa huba ya kisomo, uvumbuzi na utulivu

    Kabla ya wengi wa vijana wa kiarabu na kiajemi kurubuniwa ufahamu wao na mindset zao kuwa engineered katika fujo, force na chaos while kutupilia mbali utu na teknolojia, mahala pale palikuwa penye utulivu na intelect ya kutosha. Pafyumu Kinu cha kusindika miwa Incense Burners Vifaa na elimu ya...
  7. Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  8. I

    Jinsi waislam walio wachache wanavyonyanyaswa nchini India na wahindu wenye itikadi kali

    Katika onyesho la kushangaza la kutovumiliana kidini, Wahindu wenye itikadi kali nchini India walibomoa nyumba ya raia wa Kiislamu kwa madai ya kuimba "Pakistan Zindabad" wakati wa mechi ya kriketi kati ya Pakistan na India. Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari nchini humo, tukio hilo...
  9. M23 na janjaweed (RSF) ni kitu kimoja kwa itikadi zao za kimbari

    Kwa wale wenye kumbukumbu watakumbuka kile kikosi cha kijeshi cha waasi Sudan kilichokua na jina la Janjaweed wakati wa enzi ya utawala wa el Bashir. Kikosi hiki kilichoundwa na wasudan wenye kujiona wao ni waarabu lengo lake lilikua kuwafurusha waafrika weusi toka kwenye jimbo la Sudan la...
  10. Ujerumani: Watu 28 wajeruhiwa baada ya kugongwa na gari lililokuwa linaendeshwa na mkimbizi kutoka Afghanistan

    Yani hawa Wajerumani si ndio walikuwa upfront kuwapokea kwa wingi ngoja waendeleee kuona moto. Mara ya mwisho kuna mmoja alifanya hivi hivi sasa leo tuna mwingine kafanya yake, kuendesha gari na kuwasomba watu waliokuwa pembezoni. Hawa watu asili yao ni kuitafuta damu, damu ya asieamini kama wao
  11. Polisi Kuendelea Kusimamia Usalama Shughuli za Vyama vya Siasa Bila Kujali Itikadi: Bashungwa

    POLISI KUENDELEA KUSIMAMIA USALAMA SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA BILA KUJALI ITIKADI: BASHUNGWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa...
  12. PreGE2025 Bashungwa: Jeshi la Polisi litaendelea kusimamia usalama shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi ya Chama cha Siasa chochote. Amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia...
  13. E

    Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

    Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!! Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left. It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram. People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's...
  14. PreGE2025 LGE2024 RC Kihongosi; CHADEMA fanyeni Siasa za kistaarabu, tusibaguane kwa itikadi za vyama vyetu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Simiyu kuepuka kugawanywa kwa itikadi za vyama na badala yake kudumisha Amani na mashikamano baina ya Watanzania. Kihongosi ametoa rai hiyo alipozungumza na viongozi wa Chama hicho...
  15. Chadema itikadi yenu ni nini??

    Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Serekali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 27 Novemba Mwaka huu. Baada ya tafakuri ya kina, Kuna swali moja kubwa nimejiuliza kuhusu CHADEMA(Chama cha Demokrasia na Maendeleo). 1. JE NINYI NI WAUMINI WA ITIKADI GANI? Pamoja na mafanikio makubwa kisiasa katikA...
  16. Kuna watu kiu yao ya vurugu inayotokana na msukumo wa itikadi zao au hamasa binafsi inafanya nikumbuke quote hii katika movie ya The Dark Knight

    Baada ya kuwa Batman ameshindwa kumuelewa The Joker kuhusiana na njia zake za vurugu pamoja na makusudio yake maana waharifu wengi makusudio yao ni kujipatia pesa ila the joker haeleweki. Ndio hapo, yule mzee ambaye ndio Guardian wa Batman tangu utoto akamwambia Batman maneno haya: "Because...
  17. Unaweza kudhani labda huyu mtoto wa mmoja wa waanzilishi wa Hamas kanunuliwa na Israel, hapana, ni basi tu amekataa kuwa mhanga wa itikadi za kitapeli

    VITA YENU SIO YA UKOMBOZI WALA HAKI, ILA NI YA ITIKADI, ITIKADI YA KITAPELI. Mwamba anaitwa Mosab Hassan Yousef. https://youtube.com/shorts/06CNNyOmG0o?si=qaIhsskImYcfSPkj https://youtube.com/shorts/JLR7e6Gl1Rc?si=WqrAKJeMu6w3dabd https://youtube.com/shorts/4wwi8jW72cQ?si=TiduWhz6rCXcLUQN
  18. B

    Siasa za Mwalimu Nyerere za Ujamaa wa kujitegemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania

    Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
  19. Wayahudi wangekuwa na roho mbaya na itikadi za kitapeli tapeli huo msikiti wa Al-Aqsa ungekuwa ushaharibia muda mrefu

    Wayahudi wenyewe wanaamini hapo ulipojengwa msikiti wa al aqsa ndipo solomon alipojenga hekalu la kuabudu. Ndio maana wamejitengea kasehemu kao maeneo hayo ambapo wanafanya ibada na hija. Sasa niambie kama ingekuwa ni wale ndugu zetu wengine unafikiri hekalu wangeliacha hivi hivi...
  20. Dini ipo ndani ya moyo wako. Dini ni upendo. Dini ni uwazi. Dini sio haya mashirika mnayoenda kuyafaidisha na kutimiza itikadi zao.

    Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini. Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini. Mungu sio dini, Dini sio Mungu. Dini hizi ambazo viongozi wenu wanalindwa na mabaunsa huku wakiwahamasisha msiwe na hofu Mungu yuko na nyie. Dini hizi ambazo viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…