itaanguka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kichuguu

    Kwa nini Marekani Itaanguka Vibaya Sana Kwenye Vita ya Iran

    Vita yoyote iliyofanikiwa duniani hutokana kwa kiasi kikubwa na upangaji wa mashambulizi unaofanywa na makamanda kimedani. Marekani iliingia vita ya Vitenama ikiwa haina plani za kivita ikitegemea kupiga mabomu tu, njia ambayo pia imetumiwa na Urusi kuivamia Ukraine; mbinu hiyo huwa haifanikiwi...
  2. Hyrax

    Code: Kabla ya siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi kuna mibuyu mikubwa miwili itaanguka.

    Copy Code; Save the code.
  3. mcTobby

    Hivi nchi zote duniani zikiungana kumpiga Mmarekani si itaanguka?

    Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo. NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
  4. Mr Chromium

    Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

    Wakuu Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam. Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu. Kifupi wairan ni...
  5. Peter Mwaihola

    Zengwe: CHADEMA isipojiangalia Itaanguka Baada ya 2025

    Umewahi kujiuliza kwanini vyama vya siasa hupoteza mvuto au kufa kabisa na vinaibuka vyama vingine ambavyo huchukua nafasi hiyo na kuwa na nguvu ambayo haukuwahi kufikiwa? Yawezekana sio mara nyingi jambo kama hili kutokea katika uwanja wa siasa ya vyama vingi duaniani lakini inawezekana kabisa...
Back
Top Bottom